Kilichofanyika Uwanja wa Manungu kule Mtibwa ni aibu kubwa sana

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,007
Tanzania ni moja ya nchi inayoongoza kujenga vitu chini ya kiwango mfano Uwanja wa Manungu wa Mtibwa umefanyiwa marekebisho hata kuweka majukwaa ya watu elfu tatu imeshindikana hii ni aibu sana.

Kuna ule uwanja wanatumia Polisi Tanzania upo Arusha inamaana Mtibwa wameshindwa kujifunza kupitia huo uwanja! Walichofanya Manungu ni kuweka ukuta tu yaani hamna maajabu.
 
Tanzania ni moja ya nchi inayoongoza kujenga vitu chini ya kiwango mfano uwanja wa manungu wa mtibwa umefanyiwa marekebisho hata kuweka majukwaa ya watu elfu tatu imeshindikana hii ni aibu sana

Kuna ule uwanja wanatumia polis Tanzania uko Arusha inamaana mtibwa wamesindwa kujifunza kupitia ule uwanja walichofanya manungu ni kuweka ukuta tu yaani hamna maajabu
Arusha kuna uwanja gani zaidi ya sheikh Amri Abeid?
 
Hapo sijui ilikuwaje amekuja kutaja Arusha.

Kama ni Polisi Tanzania ni Uwanja wa Ushirika Moshi.
Tatizo lako uangalii NBC premier league, ukitoa ushirika na uwanja wa Arusha Kuna uwanja wanatumia polis Tanzania ni mzuri kinoma
 
Back
Top Bottom