uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani. Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wasusiwa uwanja

    Kama hii ni saa 10 jioni yaweza kuwa ni muda muafaka wa kujitathmini: Kufikiria kuunganisha nguvu hata kupitia ma coalition linaweza kuwa jambo lenye tija zaidi. Tuyaweke maslahi ya taifa mbele. Kipaumbele sasa ni katiba mpya. Umoja ni nguvu!
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku kuwasha fataki mechi ya fainali Yanga vs Usma uwanja wa Mkapa

    Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
  4. Heci

    JamiiForums Tanzania CCM haikujenga uwanja wa Sokoine Mbeya, iliwapora wananchi. Uwanja urudishwe kwa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    Sisi wana Mbeya ni wahanga wa matukio ya kibabe ya kidhalimu yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na chama hiki mumiani. Miongoni mwa udhalimu huo ni kuporwa kwa uwanja wa wananchi, uwanja wa Sokoine kisha CCM kujimilikisha. Uwanja wa Sokoine ulijengwa na wananchi wa Mbeya Mjini, kisha...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, huduma za Bolt/Uber zinapatikana karibu na uwanja wa ndege wa KIA?

    Naomba kujua, baada ya kutua KIA, je kuna huduma za usafiri za kimtandao kama Bolt ama Uber pale jirani kama ilivyo kwa JKN ama Mwanza ama Dodoma? Binafsi KIA sijawahi kutua pale nikatumia usafiri wa umma, mara nyingi hua kunakua na usafiri wa ofisi ama kuna mshikaji wangu hua anakuja kunipokea...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Mabula umesema vema kuhusu uwanja wa ndege Mwanza na barabara kuu njia nne

    Mimi nianze kwa kumpongeza mbuge wa nyamagana na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza bw adam malima kwa kusemea kwa nguvu kubwa ukamilishaji wa uwanja wa ndege wa mwanza, jengo la abiria na miundo mbinu yake. Suala la uwanja wa ndege ni la muda mrefu sana kila mara hupigwa chenga,hata bajeti ya...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Eti Yanga sc ndiyo watabeba kombe la CFCC kwenye huu uwanja thubutu

    Wananchiiii hapa ndiyo mnasema mnaenda kubeba kombe? 😝😝😝
  8. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mpira Dodoma umeyeyuka? Hayati Magufuli angekuwepo ingekuwaje?

    Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani? Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco. Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dunia uwanja wa vita

    Kiukweli wanadamu tumekuwa na roho mbaya sana. Dunia tunapita tu, Ila Kuna watu Wana roho mbaya hakuna mfano. Hivi ukimfanyia mwenzio roho mbaya unapata faida gani, ukimchafua mwenzio unapata faida gani. Kwa maana wanadumu kusudio letu la kuwa Duniani ni kumwabudu Mungu, mengine yote ni...
  11. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali iutazame uwanja huu Tanzania sio Dar Es salaam pekee

    Hapa ni Dimba la kisiba Rungwe. Tungekuwa na serikali yenye maono ungejengwa uwanja mzuri sana hapo na hoteli kubwa sana hapo. Tungepata fedha mingi sana. Mpaka sasa hatuna uwanja unaoweza kupiga mpira usiku miaka yote ya uhuru tuliyo nayo. Karibuni Greencity
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Songwe: Ujenzi wa runway, Uzio na Taa za kuongozea ndege, vyakamilika Uwanja wa Songwe

    1. UJENZI WA RUNWAY YA SONGWE AIRPORT UMEKAMILIKA. Mradi wa Ujenzi wa sehemu ya kuruka na kutua Ndege "Runways" ambapo kulifanyika ujenzi wa tabaka la juu la lami KM 3.3 imekamilika kwa 100% 2. UJENZI WA UZIO WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE NA TAA ZA KUONGOZEA NDEGE UMEKAMILIKA , JIJINI MBEYA...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Sintofahamu yaibuka kuhusu uwanja wa ndege wa Dodoma kutokuwa na taa za kuwezesha ndege kuruka na kutua usiku

    Sintofahamu hiyo pia imeongezeka baada ya jana Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kutoa taarifa kwamba uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Songwe umewekwa taa na huduma za ndege zinatolewa kwa saa 24. Ukosefu wa taa kwenye uwanja huo ulibainika baada ya ndege ya Precision namba PW 602...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma haifai kuwa Makao Makuu ya Nchi, inakuwaje Uwanja wa Ndege hauna taa? Ni aibu

    Baada ya juzi kuona taarifa ya mamlaka ya anga kuhusu ndege ya precision kuahirisha kutua Dodoma, nikasema moja kwa moja Makao Makuu ya Nchi hayawezi kuwa Dodoma. Hiyo inatokana na kwamba miundombinu yake bado haijawa vizuri ikiwepo kiwanja cha ndege. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Hamza...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Generali wa Kenya akimbia uwanja wa vita Goma, DRC

    Ni jambo a kuchekesha na kusikitisha. General Jeff Mungai Nyagah wa KDF(Kenya Defence Forces) ameukimbia uwanja wa vita huko Goma, DRC. Sababu zilizotolewa ni kudharauliwa na maisha yake kuwa hatarini. Gen Nyagah alkuwa kamanda wa EACRF East African Community Regional Force iliyotakiwa...
  16. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

    Inasikitisha sana wakuu
  17. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Mfululuzo wa Matatizo ya Uwanja Wa Benjamin Mkapa: Ubinafsishwe kwa Sekta Binafsi

    Ni miaka inakaribia 20 toka Uwanja wa Taifa maarufu kama Benjamin Mkapa Stadium, au Kwa Mkapa au Lupaso uzinduliwe, tumeshuhudia mfululizo wa matatizo mengi hususan makubwa kama yafuatayo; 1. Kuvunjwa kwa viti vya kukalia kutoka kwenye majukwa ya moja ya timu kubwa 2. Kuvunjika kwa milango na...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  20. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
Back
Top Bottom