Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita!

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,561
12,686
Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi.

Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi.

Mbwa Kasoro Mkia

YAIPUKI Ndo Lugha Gani?
 
Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi.

Yaipuki ndio nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema nato mna maneno yenu mnaelewana wenyewe tu. Yaipuki ndo nini sasa?

Kuhusu manpads kuzizidi S300 sio issue sana kama unajua kila AD system inafanya kazi kwa range ipi na altitude gani. Kama ambavyo s300 haiwezi kutungua target inyotembea mitaa kadhaa karibu na ardhi ndivyo manpad isivo weza ku engage targets zilizo ft elf 40 juu ya usawa wa bahari. Fuatlieni haya mambo kabla ya kukurupuka na stori za mtandaoni
 
.
IMG-20230628-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom