uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uwanja mchafu unasimamiwa na wachafu

    Ukiangalia mechi inayochezwa pale katika uwanja wa UHURU - Dar es Salaam, basi maeneo ya majukwaa YANATIA KINYAAA. ULE ukoko unapaswa kuondolewa kwa kuwa sisi tunatabia za uchafu, basi yale maeneo yapakwe rangi NYEUSI ili ionekane ni rangi siyo uchafu. Kwakweli tuache uvivu TUJIPENDE.
  2. Uwanja wa Ndege Songwe Kujengewa Chumba Maalum cha Baridi (Cold Room) Kuhifadhi Mazao

    Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
  3. Singida: Rais samia azungumza na wananchi kuhusu uchumi, elimu na afya - uwanja wa Police square

    Video: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katka mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Police Square Wilayani Manyoni mkoani Singida.leo tarehe 15 Oktoba, 2023 https://youtu.be/JIEFboO2SNY
  4. Msijifanye hamjui kuwa Simba SC nayo imechangia kwa 25% Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa...
  5. Waziri Dkt. Ndumbaro: Ukarabati Uwanja wa Mkapa Wafikia 95%

    Ukarabati wa Awamu ya Kwanza unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 95 na asilimia tano zilizobaki zinatarajiwa kukamilika ndani ya siku tano kuanzia leo. Akikagua ukarabati huo leo Oktoba 9, 2023, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas...
  6. Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

    Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10, Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha...
  7. Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

    Habari wakuu, Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye...
  8. F

    The Hexagon Arusha Stadium, uwanja wa kisasa kabisa wa mpira wa miguu kujengwa Olmoton Arusha

    Mwananchi Communications Limited Serikali ya Tanzania imejipanga kwelikweli katika kubeba jukumu la uenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 itakayoshirikiana na nchi za Kenya na Uganda. Mara baada ya nchi kutambua kuwa inataka uenyeji wa fainali hizo zitakazokuwa za 36...
  9. Beki wa Man United, Lisandro Martinez anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili au mitatu

    Lisandro Martinez anasumbuliwa na majeraha ya mfupa wa mguu ambayo yaliwahi kumweka nje ya uwanja muda mrefu, hivyo kuna uwezekano wa Manchester United kutomtumia kwa muda wa miezi miwili au mitatu ijayo. Aidha, beki mwingine wa timu hiyo, Sergio Reguilon naye imebainika ana majeraha hivyo...
  10. Piga kelele uwanja uliokusudiwa Dodoma ujengwe

    Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine. CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake (haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia...
  11. Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  12. Kwanini Uwanja wa Mpira Dodoma ulikuwa uwe wa kuchukua Watu 100,000, lakini Samia anaujenga wa Watu 30,000 tu?

    Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha. GENTAMYCINE naomba kujua ni...
  13. Uwanja wa uhuru

    Uhuru stadium mbona kama uko vile vile yaani wameususia kama CCM Kirumba?
  14. Catherine Magige Atoa Uwanja kwa UWT Wilaya ya Longido

    "Tupo kwenye harakati za kuhakikisha watumishi wetu, Makatibu wa UWT Wilaya, Jumuiya iwe inamiliki nyumba zake kila Wilaya ili Makatibu wetu wawe wanaishi katika mazingira mazuri na rafiki" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Nilichoamua kwa Longido niliona changamoto...
  15. T

    Jana Huko Chigali (Rwanda) kulikuwa na burudani ndani na nje ya uwanja!

    Jana Wananchi aka Utopolo walipata burudani ya kutosha ndani na nje ya uwanja. Hongereni watani kwa ushindi. Mlistahili kwa kuwa mna timu nzuri.
  16. Kigali ni uwanja wa nyumbani kwa Yanga kama ulivyo uwanja wa Majimaji

    Kama timu ya yanga isipoifunga El Mereikh pale Kigali basi wanayanga tusitegemee makubwa hapa nyumbani. Yanga na Simba zina mashabiki na wapenzi wengi wa soka pale Kigali kwa sababu ya uhusiano mzuri uliooneshwa kuwasajili Nionzima na Kagere. Halafu mbali na usajili huo kiswahili...
  17. Mwezi wa 10 nataka kupanda ndege nakuja Dar. Naombeni ramanI ya kutoka uwanja wa Nyerere hadi Mbezi

    Wakuu za jioni. Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana. Sasa nikifika uwanja wa nyie napita wapi na wapi hadi kufika mbezi?
  18. TPA: Tutajenga Uwanja Mkubwa wa Kisasa wa Mpira wa Michezo hapa Kizimkazi

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  19. Hizi ndizo gharama za kukodi Uwanja wa Azam Complex

    Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi. Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa. Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
  20. Ndege kadhaa za kivita za Urusi zalipuliwa na drones kwenye uwanja

    Hizi drones yaani tu, ndio vita vya kisasa, maskini Putin............ On the night of 26-27 August, the military counterintelligence service of the Security Service of Ukraine (SSU) struck Russian Su-30 and MiG-29 aircraft, as well as S-300s and Pantsirs, at the Kursk airfield with 16 drones...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…