Catherine Magige Atoa Uwanja kwa UWT Wilaya ya Longido

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942
"Tupo kwenye harakati za kuhakikisha watumishi wetu, Makatibu wa UWT Wilaya, Jumuiya iwe inamiliki nyumba zake kila Wilaya ili Makatibu wetu wawe wanaishi katika mazingira mazuri na rafiki" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha

"Nilichoamua kwa Longido niliona changamoto nilikuja mwezi mmoja uliopita, nyumba waliyokuwa wamejenga walikuwa hawatakiwi maana kiwanja kilikuwa ni cha mtu na wakatakiwa waibomoe kwahiyo walipata hasara. Nilivyokuja kwenye ziara waliniambia ilinigusa sana, sikutaka kuwaambia ila niliwaza nitafanya nini kwa Wanawake wa Longido? - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha

"Leo nimekuja kwenye ziara yangu, nikasema niwatafutie kiwanja ili wapate sehemu ya kujengea Nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Longido. Nilitafuta kiwanja karibia Hekari moja na nusu, ni kikubwa sana, kitafaa kujenga Nyumba ya Katibu" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha

"Eneo la Uwanja wa UWT Longido lipo karibu na National Housing, Hospitali ya Wilaya. Eneo hili wanaweza pia kujenga nyumba za kupangisha na miradi mingine mbalimbali wakafanya hapa. Uwanja ni mali ya UWT Wilaya ya Longido, nimekuja nao ili niwaonyeshe mipaka ya eneo hili" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha

"Nimeona nisiwaache tu na kiwanja, nimewaletea Matofali 700, Mawe Lori 2 na Mifuko ya Saruji 60. Lengo langu Longido waanze ujenzi mara moja. Kadiri wanavyoendelea tutaendelea kuwawezesha na Mungu atakavyojalia" - Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha.

WhatsApp Image 2023-09-19 at 22.35.27(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-19 at 22.35.26.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-19 at 22.35.26(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-19 at 22.35.27.jpeg
 
"Tupo kwenye harakati za kuhakikisha watumishi wetu, Makatibu wa UWT Wilaya, Jumuiya iwe inamiliki nyumba zake kila Wilaya ili Makatibu wetu wawe wanaishi katika mazingira mazuri na rafiki" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha

"Nilichoamua kwa Longido niliona changamoto nilikuja mwezi mmoja uliopita, nyumba waliyokuwa wamejenga walikuwa hawatakiwi maana kiwanja kilikuwa ni cha mtu na wakatakiwa waibomoe kwahiyo walipata hasara. Nilivyokuja kwenye ziara waliniambia ilinigusa sana, sikutaka kuwaambia ila niliwaza nitafanya nini kwa Wanawake wa Longido? - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha

"Leo nimekuja kwenye ziara yangu, nikasema niwatafutie kiwanja ili wapate sehemu ya kujengea Nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Longido. Nilitafuta kiwanja karibia Hekari moja na nusu, ni kikubwa sana, kitafaa kujenga Nyumba ya Katibu" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha

"Eneo la Uwanja wa UWT Longido lipo karibu na National Housing, Hospitali ya Wilaya. Eneo hili wanaweza pia kujenga nyumba za kupangisha na miradi mingine mbalimbali wakafanya hapa. Uwanja ni mali ya UWT Wilaya ya Longido, nimekuja nao ili niwaonyeshe mipaka ya eneo hili" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha

"Nimeona nisiwaache tu na kiwanja, nimewaletea Matofali 700, Mawe Lori 2 na Mifuko ya Saruji 60. Lengo langu Longido waanze ujenzi mara moja. Kadiri wanavyoendelea tutaendelea kuwawezesha na Mungu atakavyojalia" - Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha.

Asante sana Mh Magige ubarikiwe kwa moyo wako wa utoaji
 
Back
Top Bottom