uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kero Kituko Uwanja wa Ndege Zanzibar

    Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mhandisi: Uwanja wa ndege Mwanza umekosewa, vigezo havikuzingatiwa

    MHANDISI - UWANJA WA NDEGE MWANZA UMEKOSEWA, VIGEZO HAVIKUZINGATIWA UWE WA KIMATAIFA Hayo yameelezwa na mhandisi wakati mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Amos Makala alipofika kuangalia ujenzi unaoendelea. Mhandisi huyo anafafanua kuwa maelekezo ya mwanzo waliyopewa wakati wa uanzishwaji wa mradi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Cecil David Mwambe - Wawekezaji Mradi wa LNG badala ya Kutumia Bandari ya Dar es Salaam Watumie Bandari ⛵ na Uwanja wa Ndege wa Mtwara na Lindi

    MHE. CECIL MWAMBE - MRADI WA LNG WAWEKEZAJI WATUMIE BANDARI NA UWANJA WA NDEGE WA MTWARA NA LINDI BADALA YA DAR ES SALAAM Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Mhe. Cecil David Mwambe wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati amesema ni vyema wawekezaji wa mradi wa LNG badala ya kutumia Bandari ya Dar...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

    Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, huduma za Bolt/Uber zinapatikana karibu na uwanja wa ndege wa KIA?

    Naomba kujua, baada ya kutua KIA, je kuna huduma za usafiri za kimtandao kama Bolt ama Uber pale jirani kama ilivyo kwa JKN ama Mwanza ama Dodoma? Binafsi KIA sijawahi kutua pale nikatumia usafiri wa umma, mara nyingi hua kunakua na usafiri wa ofisi ama kuna mshikaji wangu hua anakuja kunipokea...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Mabula umesema vema kuhusu uwanja wa ndege Mwanza na barabara kuu njia nne

    Mimi nianze kwa kumpongeza mbuge wa nyamagana na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza bw adam malima kwa kusemea kwa nguvu kubwa ukamilishaji wa uwanja wa ndege wa mwanza, jengo la abiria na miundo mbinu yake. Suala la uwanja wa ndege ni la muda mrefu sana kila mara hupigwa chenga,hata bajeti ya...
  7. Tareman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taksi Mtandao Zinakatazwa Kupaki Uwanja wa Ndege wa Dar?

    Habari zenu wana JamiiForums? Leo nimekuja na hili suala ambalo nimejaribu kulitafutia uvumbuzi ila sijafanikiwa. Jumamosi ya tarehe 13/05/2023, nikiwa ndani ya uwanja wa JK T2 jijini Dar es Salaam nilishuhudia mambo ambayo sikutegemea kama yanaweza kutokea hususani kwenye maeneo kama yale...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Sintofahamu yaibuka kuhusu uwanja wa ndege wa Dodoma kutokuwa na taa za kuwezesha ndege kuruka na kutua usiku

    Sintofahamu hiyo pia imeongezeka baada ya jana Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kutoa taarifa kwamba uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Songwe umewekwa taa na huduma za ndege zinatolewa kwa saa 24. Ukosefu wa taa kwenye uwanja huo ulibainika baada ya ndege ya Precision namba PW 602...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma haifai kuwa Makao Makuu ya Nchi, inakuwaje Uwanja wa Ndege hauna taa? Ni aibu

    Baada ya juzi kuona taarifa ya mamlaka ya anga kuhusu ndege ya precision kuahirisha kutua Dodoma, nikasema moja kwa moja Makao Makuu ya Nchi hayawezi kuwa Dodoma. Hiyo inatokana na kwamba miundombinu yake bado haijawa vizuri ikiwepo kiwanja cha ndege. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Hamza...
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato umefikia kiwango cha asilimia 18.5

    Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato upo Kilometa 10 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma, ulianza Aprili 20, 2022 baada ya mkataba kusainiwa Septemba 2021. Mhandisi wa Miradi wa TANROADS Dodoma, Colman Gaston anasema mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Serikali itangaze tarehe ya kuwarejesha vyura wa Kihansi ili wadau wa mazingira tukawapokee uwanja wa ndege

    Mimi na wadau wengine wa mazingira ikiwemo taasisi ya TREE OF LIFE FOUNDATION tuna mpango madhubuti wa kwenda kuwapokea mashujaa wetu waliokaa ughaibuni kwa miongo miwili. Hii nchi ina longolongo nyingi sana huenda hao chura walikufa miaka mingi sana ila wajanja wazito wamewafanya ni mtaji wa...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere Terminal II kufungwa miaka 2 kupisha maboresho

    Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kufunga sehemu ya Terminal II kuanzia Juni mwaka huu kwa miaka miwili kupisha maboresho. Mkurugenzi wa TAA, Musa Mbura kasema shughuli zake zitahamishiwa Terminal III. Terminal II ilijengwa miaka ya 1980, maboresho hayo yanakuja baada ya Rais...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha uwanja wa ndege Chato

    Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa. Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege. Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema...
  14. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Mehran Karimi Nasseri: Mwanaume aliyeishi Uwanja wa Ndege kwa miaka 18

    Mehran Karimi Nasseri ni mwanaume ambaye ameishi ndani ya uwanja wa ndege kama nyumbani kwake kwa zaidi ya miaka 18. Serikali ya Iran ilimfukuza nchini bwana Nasseri bila kumpa pasi ya kusafiria (passport) wala viza kwa sababu alitoa kauli za kumpinga kiongozi mkuu wa nchi. Alipotoka Iran...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

    Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
  16. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi waongoza msafara wa viongozi wakuu asubuhi hii walipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza.

  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kampuni zafungua kesi kudai haki za kipekee katika uwanja wa ndege wa Zanzibar

    Sakata la mgogoro wa kimkataba wa utoaji huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume umeiweka matatani Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) baada ya mwekezaji katika uwanja huo kufungua maombi mahakamani akiomba ridhaa ya kuishtaki. Mwekezaji huyo kampuni ya Transworld...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yadai Ndege zinazotua viwanja vya ndani ya Hifadhi zinabeba Watalii

    WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar. Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Mauritania azuiwa kusafiri Uwanja wa Ndege

    Mohamed Ould Abdelaziz amesema Maafisa wa Usalama wamemzuia alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Nouakchott akijiandaa kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa, pia wakiishikilia pasipoti yake. Amesema "Nilijitambulisha lakini wakanizuia licha ya kuwa sina zuio lolote la Kimahakama.” Serikali...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ufisadi awamu ya JPM: Uwanja wa ndege Mwanza ulijengwa kwa bajeti ambayo haikupita Bungeni, mabilioni yachotwa

    Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
Back
Top Bottom