uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Changamoto ya Uwajibikaji wa Viongozi Ngazi ya Kata

    Uwajibikaji wa viongozi ngazi ya kata ni suala ya kuzingatiwa hasa kwa watu waliopewa mamlaka ya kuongoza bila kubagua dini au itikadi ya vyama.Viongozi kutokuwajibika katika utozaji wa tozo ndogo ndogo katika kata kama vile Ulipiaji taka hii ni mojawapo ya changamoto inayonikumba mimi binafsi...
  2. Uwazi na Uwajibikaji ni muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa barani Afrika

    Kwa mujibu wa Toleo la 10 la Global Corruption Barometer (GCB) – Africa, watu wengi barani humo wanaona Rushwa imeongezeka katika Nchi zao Vilevile, idadi kubwa ya Wananchi katika Mataifa mbalimbali Afrika wanaona jitihada za kupambana na tatizo hilo bado haziridhishi Ili kukabiliana na...
  3. SoC02 Urithishaji wa maarifa na uwajibikaji katika familia

    Urithishaji wa maarifa na uwajibikaji katika familia Uwajibijikaji kwa tafsiri ya kikamusi ni kitendo cha mtu mwenye wadhifa kuchukua dhamana ya kosa lililofanywa ama na yeye mwenyewe au mtu mwingine aliye chini yake, agh. kwa kujiuzulu. Neno lingine la Kiswahili linaloweza kufanana kimaana na...
  4. SoC02 Kijana na Uwajibikaji

    Ngoja nikwambie kitu kuhusu kijana wa leo wa kitanzania. Vijana hatulali, vijana tunawajibika kufikia malengo yetu; Kila kijana ana ile ndoto kubwa anayoitamani kuifikia, na katika harakati za kuifikia ndoto hiyo kijana hukumbana na changamoto nyingi sana, Sitozisema hapa, sababu kila kijana...
  5. SoC02 Utamu wa ngoma...

    Nawasalimu ndugu zangu popote pale mulipo🤝🏽. Nina matumaini ni wazima wa afya, na kwa wale waliopata mtihani wa maradhi basi tunawaombea siha njema kwa MwenyeziMungu (Mtukufu, Aliye juu, Aliye mkuu). (Picha kwa hisani ya: Gift of Herbert J. Harris, 1986) Hii ni ngoma ya kijiji chetu. Kila...
  6. I

    SoC02 "Ulevi" wa mafanikio ya baba na madhara yake kwenye uwajibikaji wa familia

    Imeandikwa na : IDRISSOU02 Mdau wa JF. Picha na Sema Tanzania Hakika kila mtu anatamani mafanikio. Hata yule mtu mwenye mafanikio tiari, bado anatamani awe na mafanikio zaidi. Kutamani maisha yaliyo bora zaidi ndio kichochezi kikubwa kinachofanya...
  7. Mabadiliko ya wakuu wa mikoa na dhana ya kuchochea uwajibikaji

    Kwa mara nyingine Rais Samia Suluhu anaendelea kuonyesha aina ya uongozi unaojali uwajibikaji na usio toa nafasi ya kufanya kazi kwa mazoea. Falsafa hii ni muhimu kwa Taifa linalohitaji matokeo ya haraka na linalojali uwazi na uwajibikaji. Kwasasa kila atakaye pewa nafasi kwa kuteuliwa katika...
  8. R

    SoC02 Uwajibikaji sio ushamba ni heshima

    (ANDIKO) KUWAJIBIKA SIO USHAMBA, NI HESHIMA. Kutokana na mfumo wetu wa siasa tumeaminishwa lazima mwanasiasa awe msemaji na kiongozi wako, marehemu Mtikila aliona mbali hasa katika kupambania kuwa na mgombea/kiongozi binafsi asiyefungamana na chama cha siasa. Leo tupo katika nchi ambayo maisha...
  9. B

    Chongolo na kongamano kubwa la mafunzo ya uongozi na uwajibikaji

    KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa...
  10. Katibu Mkuu Wizara ya Afya ataka Mganga Mkuu Wilaya ya Kigoma aondolewe kwa kutokuwa muwajibikaji

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigoma amelalamikiwa kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha huduma ya afya na kukosa uwajibikaji pamoja na kuonesha utovu wa nidhamu Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi akiwa katika ziara Mkoani Kigoma ambapo pia inadaiwa mganga huyo...
  11. Rais, Idara ya Afya OR-TAMISEMI ihamishie Wizara ya Afya chini ya Mganga Mkuu wa Serikali ili kuongeza Uwajibikaji, utakuja nishukuru baadae

    Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA YA AFYA (MOH) na WIZARA NDOGO YA AFYA (Idara ya Afya OR-TAMISEMI). Ukienda Halmashauri na Mikoani...
  12. Kesho yenye uwajibikaji inahitaji Citizen journalism (Uandishi wa Umma)

    Tasnia ya Habari imeonekana kama moja ya muhimili wa serikali hata hivyo tasnia ya habari imeonekana kupoteza uwezo wake wa kuibua mambo na kuleta uwajibikaji kwa mihimili mingine ya serikali. Waandishi huripoti matukio na press hali inayofanya stori ziwe hazina maajabu ya kutosha kwenye...
  13. Uongozi: Mambo ya Kibajeti na yasiyo ya kibajeti kiutendaji

    Habari za leo wana JF Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi. Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
  14. Ludovick Utoh: Serikali iongeze uwajibikaji, kiwango cha upotevu wa rasilimali kwa mwa 2021 ni mara mbili ya mwaka 2020

    Katika Kongamano la Uthibit na Tathmini linalofanyika jijini Dodoma, Aliyekuwa CAG Ludovick Utoh ametoa wito kwa serikali kuongeza uwajibikaji ili kupunguza kiwango cha upotevu wa rasilimali ambao umekuwa ukiripotiwa na CAG. Ludovick amesema kiwango kilichopotea kwa mwaka wa fedha 2020/21 ni...
  15. Viongozi, Kukosolewa si kukosewa heshima

    Pamoja na mambo mazuri ambayo viongozi wetu wamekuwa wakifanya wawapo katika madaraka yapo mengi mabaya pia wanafanya, ikiwa ni pamoja na vitendo au mipango mibaya ambayo haina tija kwa jamii au inayoumiza wananchi. Kiongozi anayefuata dhana ya utawala bora hataona kero au kakosewa heshima kwa...
  16. Uwajibikaji wa Kidemokrasia umejikita kuwawezesha Wananchi na Wawakilishi wao kuwawajibisha Maafisa wa Umma na Sekta Binafsi

    Uwajibikaji wa kidemokrasia umejikita kwenye kanuni tatu ambazo zinawawezesha wananchi na wawakilishi wao—wadai haki— kuwawajibisha maafisa wa umma na sekta binafsi wenye wajibu wa kutoa huduma, ambao kwa maneno mengine, wanaitwa ‘wawajibikaji’. Kanuni hizo tatu ni uwajibikaji, usikivu, na...
  17. Kuwawajibisha maafisa wa Serikali ni kitovu cha Demokrasia

    Kuwawajibisha maafisa wa serikali ni kitovu cha demokrasia. Uwajibikaji wa kidemokrasia unawapa wananchi na wawakilishi wao nafasi na njia ya kutoa maoni yao na kupatiwa maelezo kuhusu utendaji kazi wa maafisa wa kuchaguliwa na wale wasio wa kuchaguliwa, na inapobidi wanashauri hatua za kuchukua...
  18. Sera ya Elimu Bure ni mtaji wa kisiasa unaopunguza uwajibikaji kwa wananchi

    Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
  19. Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  20. Kutoka Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika. "Bila Uwazi, Hakuna Uwajibikaji" -Ludovick Utouh

    Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…