Kwa kuanza, moja kati ya nchi zenye idadi kubwa kabisa ya vijana barani Africa ni Tanzania. Ila chakusikitisha ni kwamba idadi ya vijana wengi wakitanzania hawazitambui nafasi zao katika jamii, ilihali wengi wao wakiwa ni wasomi wa elimu ya juu
Mfano wa nafasi hizo ni
Siasa
Utunzaji wa...
Utangulizi.
Katika miaka ya hivi karibuni, suala la uwajibikaji na utawala bora limekuwa likichukua nafasi kubwa katika mijadala ya kisiasa nchini Tanzania. Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu kwa maendeleo endelevu na ustawi wa taifa lolote. Makala hii inalenga kuandika juu ya mambo...
Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo.
Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa duniani. dhumuni hilo la maisha lazima liwe linasaidia pia maendeleo chanya kwako na watu wengine pia...
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji mzuri wa huduma hizo, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Katika andiko hili...
HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Watumishi wapya kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu Mkuu wa Serikali wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwa hakuna haki bila uwajibikaji katika Utumishi wa Umma.
Hayo yamesemwa leo tarehe 4...
Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA)
UTANGULIZI
Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
Edward Moringe Sokoine alizaliwa mnamo 1 Agosti 1938 katika kijiji cha Monduli, mkoani Arusha, Tanzania. Alikuwa ni mtoto wa tisa kati ya watoto 13 wa familia ya wafugaji wa kimasai. Sokoine alikulia katika mazingira magumu ya kifugaji na alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi ya...
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika sekta ya kilimo cha bustani. Sekta hii ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kutoa ajira kwa watu wengi. Hata hivyo, ikiwa uwajibikaji na utawala bora hauzingatiwi, sekta hii inaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya...
Utangulizi.
Utawala bora na uwajibikaji ni mada muhimu katika nyanja mbalimbali nchini Tanzania. Kama nchi inayotaka kuendelea, ni muhimu kuelewa jinsi utawala bora na uwajibikaji unavyoweza kusaidia kuunda mabadiliko yenye maana katika jamii. Hii inahitaji kuweka mfumo wa kushughulikia utawala...
Katika miaka ya hivi karibuni, taasisi ya TAKUKURU nchini Tanzania imejitahidi kufanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha kuwa uwajibikaji na utawala bora vinakuwa vipaumbele kwa viongozi na wananchi wote. Hata hivyo, kulikuwa na changamoto nyingi zilizokuwa zinakwamisha jitihada za TAKUKURU...
Jambo Jambo?
Mtautesa umma wa Watanzania, Mafisadi yatendelea kuiba, mtawafutia Bima za afya za bei rahisi.
Mtaweka tozo kila sehemu na hela za tozo zitaibwa na mafisadi na walamba asali. Ripoti za CAG hazitafanyiwa kazi.
Tukiuliza tutaambiwa tunapinga, tunatishia amani na vingine. Mtaiiba...
Kwenye Forum Meeting inayojadili uwajibikaji kutoka ripoti ya CAG, JF imeulizwa na taasisi ya WAJIBU, kuwa Nini kifanyike kuhusu media na social medias kuhusu kuhabarisha umma juu ya uwajibikaji na kujitambua.
Msingi wa swali ni kwa kuwa uchambuzi wa ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu...
Huwa nakaa najiuliza nani alituletea hili balaa maana imefika kipindi unaona kabisa jinsi gani watanzania wanashindwa kujali na kathamini taifa lau zaidi ya umaarufu binafsi wa kiongozi mkubwa wa nchi. Tabia ya viongozi kujenga umaarufu binafsi kuliko hata taifa lenyewe limezaa balaa kwenye nchi...
Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia?
Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo?
Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa.
Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
Kwa sasa maji hayana ratiba maalumu ila hapo mwanzo tuliaminishwa kuwa kwa sasa hapata kuwa na crises ya maji.
Maeneo mbalimbali ya Mbezi maji ni ya shida sana, Serikali iko kimyaa, kinachoshabgaza hivi serikali za mitaa kazi yake nini kama watu wanateseka na maji wiki 3 bila maji watu...
Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu.
Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
Wana JF nimeanza kuitangaza barabara hii ni kivutio ambacho kinavutia kwa maana kuwa inavutia.
Kwanza tunatakiwa kujua utalii ni kutoka sehemu moja kuelekea sehemu tofauti kwa nia ya kuona yaliyopo huko na kwamba binadamu anaweza kuvutiwa kuona na mambo mabaya na mazuri, ila mara nyingi...
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.
Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.
Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili...
Wadau najua hakuna kinachoshindikana kwa serikali ikitaka kujua jambo au mambo yote yanayotokea kwenye hiyo nchi, labda tu iwe haitaki. Kuna haya matukio ambayo mpaka sasa serikali haijayapatia ufumbuzi;
1. Kutekwa kwa mfanyabiashara Mo mpaka sasa wahusika hawajakamatwa.
2. Kupigwa risasi kwa...
RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita.
Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.