uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  2. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kupata Kiongozi kwa tafsiri halisia ya Kiongozi

    Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea. Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
  4. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Shuhudia jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo lililotafuna Milioni 723. Hatujapigwa kweli?

    Habari ndugu wapambanaji.. Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli? Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa.. Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemuondoa Prof. Kennedy Gastorn Umoja wa Mataifa kwa kashfa za Rushwa na Ufisadi

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi. Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuisema tu Serikali ina madeni, atakuja mwenye Serikali yake na yeye aje akusute

    Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza akastahimili lakini chawa wake anaweza asistahimili

    Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ndani ya CCM tunaamini kwenye kukosolewa na kujikosoa

    Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe. Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki. Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji ajali ya ndege ndiyo imeisha hiyo

    Tayari serikali imeshatoa taarifa ya uchunguzi wa ajali ya ndege iliyopata ajali wakati inatua uwanja wa Bukoba. Taarifa hiyo ya uchunguzi inakiri wazi uzembe wa kitengo cha dharura na uokozi uwanjani hapo. Pia hata kuleta mkanganyiko unaoiumbua serikali hususani ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi...
  10. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Kupigwa kwa Msichana Songwe, Mkuu wa Wilaya Awajibishwe

    Kupigwa na kujeruhiwa kwa Msichana Songwe: Tunataka Mkuu wa Wilaya awajibishwe haraka! Utangulizi Chama cha ACT Wazalendo kupitia kwa Msemaji wa Ustawi na Maendeleo ya Jamii, tumepokea kwa masikitiko makubwa kitendo cha Mkuu wa Wilaya wa Songwe Ndg. Simon Peter Simalenga kumshambulia binti...
  11. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO BIASHARA HARAMU YA BINADAMU: Umeshawahi kujiuliza wauza karanga na kahawa za kutembeza wanatokea wapi hapa Dar?

    Imezoeleka watu kufahamu biashara haramu ya binadamu kama biashara inayofanyika kwa kuvuka mipaka, yaani kati ya nchi moja kwenda nchi nyingine, lakini ukweli ni kwamba biashara haramu ya binadamu imeshamiri sana hata ndani ya mipaka ya nchi. Vijana hawa wengi unaowaona wanatembea barabarani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji: Nyerere kiongozi pekee aliyeonesha ukomavu kwenye uwajibikaji Tanzania

    Mwaka 1982 mwalimu aliambiwa na wana CCM kwenye Mkutano wa Halamashauri Kuu ya CCM kuwa mzee hali ni mbaya. Walimwambia tumefikia mahali rushwa imeshamiri kiasi kwamba Daktari anapokuwa thieta na mgonjwa wa upasuaji, anauliza wanandugu wazi Bahasha yangu iko wapi? Hamjui kamshahara kenu ka...
  13. Dibwi Method

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa ajali ya ndege ya Precision Air

    Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita. Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kijiji cha Ng'wan'holo Mwadui na hofu ya maradhi ya maji taka kutoka mgodini

    Wakati Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) likiendelea kuzuia majitaka yenye tope yanayotoka katika mgodi wa Williamson Diamond kuingia kwenye makazi ya watu, wataalamu wa madini wameonya wananchi kutoyasogelea hadi watakapopewa taarifa yapo salama. Maji hayo ambayo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Msaada: Taasisi ya WATED (Women Actions Towards Economic Development) yagoma kutulipa malipo yetu ya kazi ya makala tuliyofanya

    Tulipewa kazi ya kufanya makala na Taasisi ya WATED, ambapo ilifanyika mkoani Tanga, na ilitakiwa tulipwe na taasisi ya WATED wakishalipwa na Shirika la OHCHR ( Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights) baada tu ya kukabidhi kazi, na kazi ilikabidhiwa ndani ya wiki moja...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa anafahamu maana ya uwajibikaji? Ajali 3 kubwa zimetokea ofisi yake imeshindwa kuokoa watu lakini yupo tu

    PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali? Au hatambui maana ya cheo ni dhamana? 2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu ana Haki ya kupata Ulinzi wa Taarifa zake

    Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu. Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
  18. Orosso

    JamiiForums Tanzania Kwenu Sektetarieti ya ajira (PSRS), je, uwajibikaji na uwazi ni changamoto kwenu? Sio kipaumbele kwenu?

    Habari zenu wana jamvi. Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari. Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika na kufanya marekebisho katika dosari zinazojitokeza kila siku katika kutimiza majukum yao. Tunafaham...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kutumia jina la William Lukuvi kujipatia Tsh. Milioni 2.1

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mtu mmoja aliyejifanya kutumia jina la aliyekuwa Waziri wa ardhi,William Lukuvi na kwamba amemtuma na kuendesha mafunzo ya ujasiriamali visivyo halali Mkoani Kilimanjaro katika ukumbi wa polisi Moshi na kujipatia Tsh. Milioni 2.1 kwa wanafunzi...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Wahalifu wakae chonjo, huu ni wakati mbaya kwao

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ametoa onyo kwa wahalifu wote kwani wakati huu ni wakati mbaya sana kwao. Wambura ameyasea hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo ljumaa Septemba 16, 2022 kwenye kikao cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
Back
Top Bottom