uvivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

    Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki...
  2. SoC03 Siku ya Nyerere (Oktoba 14) iwe kielelezo cha uchapaji kazi wa Baba wa Taifa letu na sio alama ya uvivu (Kukaa Nyumbani) wa Mtanzania

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote. Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Google) Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
  3. Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu

    Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...
  4. Mashabiki wa Simba acheni uvivu nendeni mpige kura kwa Chama muda umebaki mfupi

    Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa. Kupiga kura ni rahisi sana usisubiri wala kutegea wengine wafanye. Download App ya Twitter kama hauna. Jisajili Twitter kama...
  5. Uvivu nao ni aina ya ulevi kama uraibu wa pombe, uzinzi na bangi?

    Uvivu upo kundi la ulevi kama ilivyo kwa waraibu wa pombe, umalaya, bangi, sigara, n.k ? Ni ulevi upi wa ziada wavivu huupenda?
  6. B

    Upinzani haipo Katiba Mpya bila kutoleana uvivu

    Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita? Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Hivi hata ya waungwana hatuyasikii? Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
  7. Uvivu wa serikali kukusanya kodi ndo unaleta tozo.

    Serikali imewaonea huruma wafanyakazi wanaolipwa kima cha chini lakini bado wanakatwa PAYE. Ikaona si sawa mtu alipwe laki 3 yenye kodi wakati kuna bodaboda wana ingiza mpaka laki 6 kwa mwezi na hawalipi kodi ya kipato. Sasa namna ya kuchukua kodi kwa watu ambao wana kipato na hawalipi kodi...
  8. UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai

    Je, umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini? Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi. UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au kimwili. UZEMBE ni hali ya mtu...
  9. UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai

    UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai. Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini? Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi. UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au...
  10. N

    Kigwangala awatolea uvivu walalamikia tozo wanaoonea wivu Mawaziri

    Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
  11. Uvivu na uchafu ni mapacha ambao ukiwakumbatia utaishi maisha ya ovyo ovyo sana

    Binadamu anapaswa kuwa msafi, hii ni moja ya tofauti kati yetu na wanyama ingawa wote ni jamii ya mamalia. Sisi tunaoishi kwenye chumba kimoja ambacho ukifungua macho asubuhi unaangalia vyote unavyomiliki, inapaswa kujiongeza sana. Bila kujiongeza unakaribisha panya na mende ndani. Unakuta...
  12. Mifumo ya malipo Tanzania inaongeza watu kuwa wavivu makazini

    Mtu anaenda safari analipwa 250000 kwa siku lakini mtu anayekesha na kazi mahali fulani analipwa chini ya 60000. Kwa hiyo mtu anayesafiri sana ndo anafanya kazi na sijui serikali ya mama samia imechukua kigezo gani. Kwa kweli hili halijakaa sawa maana linaendekeza nchi kuwa na wavivu...
  13. K

    Tatizo la uvivu wa wananchi na bunge ni vya kulaumiwa kwenye bei ya chakula

    Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari. Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa ya pwani, kati na mashariki inaongoza kwa uvivu. Vijana wanataka kukaa mijini tu bila shughuli wakati...
  14. Haji Manara awatolea uvivu wafuasi wa Magufuli. Awaambia wamuache Mama afanye kazi

    Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia. Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi. Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
  15. Gonjwa lisiloponyeka bila dawa

    Ukiachana na magonjwa ya kisaikolojia, kiakili, kimwili, kiroho na mengineyo mengi yale yanayozidi kubainika na kuongezeka siku hadi siku katika kizazi cha ulimwengu wa sasa; lipo gonjwa la muda mrefu, ambalo limedumu karne kwa karne. Gonjwa hili sugu ni kongwe kuliko magonjwa mengine baadhi...
  16. Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

    Joseph Mbilinyi alialikwa kwenye TV hiyo kwa ajili ya Mahojiano katika kipindi chao cha medani za siasa , mabango yakawekwa kila kona Hatimaye siku ya mahojiano ikafika , Kwenye mahojiano yenyewe sasa mambo yalikuwa hivi .
  17. Vijana wa Kiume badilikeni

    Habari za jumapili wana Jamii Forum Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato...
  18. J

    Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

    Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
  19. Naungana na Ndugai: Vijana wengi sio waaminifu, amesahau uvivu tu

    NAUNGANA NA SPIKA NDUGAI, VIJANA WENGI SIO WAAMINIFU, TENA WAVIVU Na, Robert Heriel Kauli ya SPIKA NDUGAI ni kauli thabiti yenye ukweli kwa 100% ndio maana naungana nayo. Ndugai anamadhaifu yake mengi tuu lakini kwenye hii kauli yake yupo sahihi. Vijana wengi watampinga, watamtukana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…