UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai

Mr George Francis

Senior Member
Jun 27, 2022
186
212
UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai.

Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?

Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi.

UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au kimwili. UZEMBE ni hali ya mtu kukosa uwajibikaji na umakinifu katika kutenda pamoja nakutojali hali ya mazingira.

Malanyingi watu wanaweza kutenda kosa hili huku wasijue ya kuwa kufanya hivyo ni kosa la jinai linaloweza kusababisha akafungwa jela au kuadhibiwa kulipa faini.

Leo nataka ufahamu mambo yafuatayo ili ujenge umakini katika maisha yako na ufahamu namna ya kujiepusha kutenda kosa hili ambalo watu wengi wanaposhikwa na kutiwa hatiani wanadhani kuwa wanaonewa ili hali ni kweli wametenda kosa la kijinai na wanastahili adhabu kwa mujibu wa sheria.

1. Sheria hairuhusu mtu kufanya umalaya au kufanya vitendo vya aibu mbele ya hadhara au kuzurura na kushawishi mahali popote pa hadhara kwaajili ya kufanya umalaya.

2. Sheria hairuhusu mtu kutangatanga au kujiweka mahali popote pa hadhara kwa lengo la kuomba au kukusanya sadaka, kumtuma au kumhimiza mtoto kufanya hivyo.

3. Sheria hairuhusu mtu kucheza kamari kwa fedha au thamani ya fedha katika mahali pa hadhara.

4. Sheria hairuhusu mtu kutangaza nje ya nchi na kujaribu kupata au kukusanya sadaka kwa kuonesha majeraha au kilema.

5. Sheria hairuhusu mtu kujiweka mbele ya hadhara katika hali ambayo inapelekea uvunjifu wa amani. Mfano: kushika bunduki au bomu mbele ya hadhara kunaweza kutishia hali ya amani na usalama na kuwajengea hofu watu waliopo katika eneo husika.

6. Sheria hairuhusu mtu kufanya kitendo cha aibu mbele ya hadhara bila ya udhuru wa halali.

7. Sheria hairuhusu mtu kushawishi kwa mambo yasiyokuwa ya kimaadili mahali pa hadhara.

8. Sheria inakataza mtu mwenye afya kamili kukaa bure bila kujishughurisha na kazi yoyote ya uzalishaji au kukaa bila ya kuwa na namna inayoonekana waziwazi kuwa inamwezesha kujikimu. Hivyo, Kukaa bure bila kazi hali ya kuwa huna tatizo lolote bali una nguvu, akili na uwezo wa kufanya kazi ni kosa kisheria.

9. Sheria inakataza mtu aliyeajiliwa chini ya ajira halali inayotambulika kuchezacheza au kufanya mzaha wakati wa muda wa kazi bila ya kuwa na udhulu halali. Hivyo, inatakiwa katika muda wa kazi uache kufanya masihara au mizaha isiyo na maana na badala yake ufanye kazi kwelikweli ili usije kutiwa hatiani.

Mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kutenda makosa yaliyotajwa hapo juu atahesabiwa kuwa ni mtu MVIVU na MZEMBE na mtu huyo anapaswa kuhukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela au kulipa faini ya shilingi laki moja (100,000/=) au vyote kwa pamoja.

Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 176(a-i) cha Kanuni Ya Adhabu Za Makosa Ya Jinai,Sura ya 16 (Penal Code) kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hadi kufikia hapa nina imani utakuwa umejifunza na kutambua kwa kina zaidi juu ya kosa la UVIVU na UZEMBE.

Elimu bila mipaka na tunaendelea kujifunza na kujikumbusha kila uchwao kuhusiana na mambo mbalimbali ya kijamii.

Endelea kufuatilia mada mbalimbali za kisheria na kijamii zinazokujia kila siku kupitia magroup yetu kutoka kwa wasomi na waandishi mbalimbali.

TANZANIA LAWYERS FORUM 👇👇👇
Jiunge Telegram: TANZANIA LAWYERS FORUM 🎓

Jiunge Facebook: TANZANIA LAWYERS FORUM | Facebook

It's me
A Lawyer and LifeCoach
Mr. George Francis
Contacts: 0713736006
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com

Thank you very much.
 
Mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kutenda makosa yaliyotajwa hapo juu atahesabiwa kuwa ni mtu MVIVU na MZEMBE na mtu huyo anapaswa kuhukumiwa kifungo cha kwenda jela au kulipa faini au vyote kwa pamoja.

Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 176(a-i) cha Kanuni Ya Adhabu Za Makosa Ya Jinai,Sura ya 16 (Penal Code) kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019.

Hadi kufikia hapa nina imani utakuwa umejifunza na kutambua kwa kina zaidi juu ya kosa la UVIVU na UZEMBE.

Elimu bila mipaka na tunaendelea kujifunza na kujikumbusha kila uchwao kuhusiana na mambo mbalimbali ya kijamii.

Endelea kufuatilia mada mbalimbali za kisheria na kijamii zinazokujia kila siku kupitia magroup yetu kutoka kwa wasomi na waandishi mbalimbali.

TANZANIA LAWYERS FORUM 👇👇👇
Jiunge Telegram: TANZANIA LAWYERS FORUM 🎓

Jiunge Facebook: TANZANIA LAWYERS FORUM | Facebook

It's me
A Lawyer and LifeCoach
Mr. George Francis
Contacts: 0713736006
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com

Thank you very much.
👏👏👏
Na kutokujua sharia siyo sababu ya msingi kukufanya usitiwe hatiani.
No One Above the Law
 
UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai.

Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?

Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi.

UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au kimwili. UZEMBE ni hali ya mtu kukosa uwajibikaji na umakinifu katika kutenda pamoja nakutojali hali ya mazingira.

Malanyingi watu wanaweza kutenda kosa hili huku wasijue ya kuwa kufanya hivyo ni kosa la jinai linaloweza kusababisha akafungwa jela au kuadhibiwa kulipa faini.

Leo nataka ufahamu mambo yafuatayo ili ujenge umakini katika maisha yako na ufahamu namna ya kujiepusha kutenda kosa hili ambalo watu wengi wanaposhikwa na kutiwa hatiani wanadhani kuwa wanaonewa ili hali ni kweli wametenda kosa la kijinai na wanastahili adhabu kwa mujibu wa sheria.

1. Sheria hairuhusu mtu kufanya umalaya au kufanya vitendo vya aibu mbele ya hadhara au kuzurura na kushawishi mahali popote pa hadhara kwaajili ya kufanya umalaya.

2. Sheria hairuhusu mtu kutangatanga au kujiweka mahali popote pa hadhara kwa lengo la kuomba au kukusanya sadaka, kumtuma au kumhimiza mtoto kufanya hivyo.

3. Sheria hairuhusu mtu kucheza kamari kwa fedha au thamani ya fedha katika mahali pa hadhara.

4. Sheria hairuhusu mtu kutangaza nje ya nchi na kujaribu kupata au kukusanya sadaka kwa kuonesha majeraha au kilema.

5. Sheria hairuhusu mtu kujiweka mbele ya hadhara katika hali ambayo inapelekea uvunjifu wa amani. Mfano: kushika bunduki au bomu mbele ya hadhara kunaweza kutishia hali ya amani na usalama na kuwajengea hofu watu waliopo katika eneo husika.

6. Sheria hairuhusu mtu kufanya kitendo cha aibu mbele ya hadhara bila ya udhuru wa halali.

7. Sheria hairuhusu mtu kushawishi kwa mambo yasiyokuwa ya kimaadili mahali pa hadhara.

8. Sheria inakataza mtu mwenye afya kamili kukaa bure bila kujishughurisha na kazi yoyote ya uzalishaji au kukaa bila ya kuwa na namna inayoonekana waziwazi kuwa inamwezesha kujikimu. Hivyo, Kukaa bure bila kazi hali ya kuwa huna tatizo lolote bali una nguvu, akili na uwezo wa kufanya kazi ni kosa kisheria.

9. Sheria inakataza mtu aliyeajiliwa chini ya ajira halali inayotambulika kuchezacheza au kufanya mzaha wakati wa muda wa kazi bila ya kuwa na udhulu halali. Hivyo, inatakiwa katika muda wa kazi uache kufanya masihara au mizaha isiyo na maana na badala yake ufanye kazi kwelikweli ili usije kutiwa hatiani.

Mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kutenda makosa yaliyotajwa hapo juu atahesabiwa kuwa ni mtu MVIVU na MZEMBE na mtu huyo anapaswa kuhukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela au kulipa faini ya shilingi laki moja (100,000/=) au vyote kwa pamoja.

Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 176(a-i) cha Kanuni Ya Adhabu Za Makosa Ya Jinai,Sura ya 16 (Penal Code) kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hadi kufikia hapa nina imani utakuwa umejifunza na kutambua kwa kina zaidi juu ya kosa la UVIVU na UZEMBE.

Elimu bila mipaka na tunaendelea kujifunza na kujikumbusha kila uchwao kuhusiana na mambo mbalimbali ya kijamii.

Endelea kufuatilia mada mbalimbali za kisheria na kijamii zinazokujia kila siku kupitia magroup yetu kutoka kwa wasomi na waandishi mbalimbali.

TANZANIA LAWYERS FORUM 👇👇👇
Jiunge Telegram: TANZANIA LAWYERS FORUM 🎓

Jiunge Facebook: TANZANIA LAWYERS FORUM | Facebook

It's me
A Lawyer and LifeCoach
Mr. George Francis
Contacts: 0713736006
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com

Thank you very much.
Asante mada nzuri.Ingawa nimechelewa.
 
Utekelezaji ndiyo mgumu! Nakumbuka enzi za Mwalimu wazururaji,Wahuni na Malaya hasa hasa nyakati za Kilimo walikuwa wanakamatwa,Watu wanaovaa nguo zisizo na Maadili mfano nguo fupi,zinazobana,zilikuwa zinachanwa hadharani! Lakini sasa siyo nyakati hizi zetu!
 
Kweli kabisa, kipindi hicho hata watu wenyewe walikuwa woga. Ikikuwa ngumu kumuona mdada hadharani anajiuza au kuwaona hawa wanaume wanaovaa vitop na kudanga
 
UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai.

Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?

Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi.

UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au kimwili. UZEMBE ni hali ya mtu kukosa uwajibikaji na umakinifu katika kutenda pamoja nakutojali hali ya mazingira.

Malanyingi watu wanaweza kutenda kosa hili huku wasijue ya kuwa kufanya hivyo ni kosa la jinai linaloweza kusababisha akafungwa jela au kuadhibiwa kulipa faini.

Leo nataka ufahamu mambo yafuatayo ili ujenge umakini katika maisha yako na ufahamu namna ya kujiepusha kutenda kosa hili ambalo watu wengi wanaposhikwa na kutiwa hatiani wanadhani kuwa wanaonewa ili hali ni kweli wametenda kosa la kijinai na wanastahili adhabu kwa mujibu wa sheria.

1. Sheria hairuhusu mtu kufanya umalaya au kufanya vitendo vya aibu mbele ya hadhara au kuzurura na kushawishi mahali popote pa hadhara kwaajili ya kufanya umalaya.

2. Sheria hairuhusu mtu kutangatanga au kujiweka mahali popote pa hadhara kwa lengo la kuomba au kukusanya sadaka, kumtuma au kumhimiza mtoto kufanya hivyo.

3. Sheria hairuhusu mtu kucheza kamari kwa fedha au thamani ya fedha katika mahali pa hadhara.

4. Sheria hairuhusu mtu kutangaza nje ya nchi na kujaribu kupata au kukusanya sadaka kwa kuonesha majeraha au kilema.

5. Sheria hairuhusu mtu kujiweka mbele ya hadhara katika hali ambayo inapelekea uvunjifu wa amani. Mfano: kushika bunduki au bomu mbele ya hadhara kunaweza kutishia hali ya amani na usalama na kuwajengea hofu watu waliopo katika eneo husika.

6. Sheria hairuhusu mtu kufanya kitendo cha aibu mbele ya hadhara bila ya udhuru wa halali.

7. Sheria hairuhusu mtu kushawishi kwa mambo yasiyokuwa ya kimaadili mahali pa hadhara.

8. Sheria inakataza mtu mwenye afya kamili kukaa bure bila kujishughurisha na kazi yoyote ya uzalishaji au kukaa bila ya kuwa na namna inayoonekana waziwazi kuwa inamwezesha kujikimu. Hivyo, Kukaa bure bila kazi hali ya kuwa huna tatizo lolote bali una nguvu, akili na uwezo wa kufanya kazi ni kosa kisheria.

9. Sheria inakataza mtu aliyeajiliwa chini ya ajira halali inayotambulika kuchezacheza au kufanya mzaha wakati wa muda wa kazi bila ya kuwa na udhulu halali. Hivyo, inatakiwa katika muda wa kazi uache kufanya masihara au mizaha isiyo na maana na badala yake ufanye kazi kwelikweli ili usije kutiwa hatiani.

Mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kutenda makosa yaliyotajwa hapo juu atahesabiwa kuwa ni mtu MVIVU na MZEMBE na mtu huyo anapaswa kuhukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela au kulipa faini ya shilingi laki moja (100,000/=) au vyote kwa pamoja.

Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 176(a-i) cha Kanuni Ya Adhabu Za Makosa Ya Jinai,Sura ya 16 (Penal Code) kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hadi kufikia hapa nina imani utakuwa umejifunza na kutambua kwa kina zaidi juu ya kosa la UVIVU na UZEMBE.

Elimu bila mipaka na tunaendelea kujifunza na kujikumbusha kila uchwao kuhusiana na mambo mbalimbali ya kijamii.

Endelea kufuatilia mada mbalimbali za kisheria na kijamii zinazokujia kila siku kupitia magroup yetu kutoka kwa wasomi na waandishi mbalimbali.

TANZANIA LAWYERS FORUM
Jiunge Telegram: TANZANIA LAWYERS FORUM

Jiunge Facebook: TANZANIA LAWYERS FORUM | Facebook

It's me
A Lawyer and LifeCoach
Mr. George Francis
Contacts: 0713736006
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com

Thank you very much.
Samahani mkuu je hiyo penal code iliyofanyiwa marekebisho naipataje??
 
Back
Top Bottom