Ukiambiwa Kufuga kuku inalipa, kabla hujakimbilia Kufuga lazima ujiulize, anaeongea hilo ni nani? Je, ni muuza vifaranga, ni muuza vyakula vya kuku ama ni muuza nyama za kuku?
Je, umewahi kusikia matajiri kama Mo, Bakhresaa, Bill Gates, Aliko Dangote, Mukesh Ambani na wale wa hapo mjini kwako...