Mtumishi anapotoka Serikali Kuu na kuhamia Taasisi ya Umma, je anaendelea na cheo chake cha ajira?

MZALENDO_2021

Member
Jun 9, 2021
9
7
Hivi karibuni kuna mtumishi kahama kutoka Serikali Kuu kwa cheo cha mhasibu mwandamizi (Senior accountant-SA) akiwa ametumikia miaka 10 kwenye utumishi wa umma, baada ya miaka mitatu alikuwa anapanda kuwa Mhasibu Mkuu (Principal Accountant). je ni kanuni gani ya utumishi inatoa mwongozo wa kule anakohamia kwamba atapewa cheo gani? ukizingatia kuwa anakohamia cheo cha Mhasibu mwandamizi kina madaraja mawili, SA-I na SA-II.

Mtiririko wa upandaji wa Serikali za Mitaa ni : Accountant-II (yr-0), Accountant-I (yr-4), Senior Accountant-SA (yr-7), Principal Accountant-II (yr-10), Principal Accountant-I (yr-13).

Wakati ule wa taasisi ni Accountant II(yr 0), Accountant-I (yr-3), Senior Accountant-I (yr-6), Senior Accountant-II (yr-9), Principal Accountant (yr-12)

Mungu akubariki unapochukua muda wako kunielimisha.
 
Hivi karibuni kuna mtumishi kahama kutoka Serikali Kuu kwa cheo cha mhasibu mwandamizi (Senior accountant-SA) akiwa ametumikia miaka 10 kwenye utumishi wa umma, baada ya miaka mitatu alikuwa anapanda kuwa Mhasibu Mkuu (Principle Accountant). je ni kanuni gani ya utumishi inatoa mwongozo wa kule anakohamia kwamba atapewa cheo gani? ukizingatia kuwa anakohamia cheo cha Mhasibu mwandamizi kina madaraja mawili, SA-I na SA-II.

Mtiririko wa upandaji wa Serikali za Mitaa ni : Accountant-II (yr-0), Accountant-I (yr-4), Senior Accountant-SA (yr-7), Principle Accountant-II (yr-10), Principle Accountant-I (yr-13).

Wakati ule wa taasisi ni Accountant II(yr 0), Accountant-I (yr-3), Senior Accountant-I (yr-6), Senior Accountant-II (yr-9), Principle Accountant (yr-12)

Mungu akubariki unapochukua muda wako kunielimisha.

Principle au Principal?
 
Ni principal cio principle.

Km hakuna maelezo yoyote ya ziada, utaanzia ngazi ya mwanzo hiyo ya sa2.
 
Ni principal cio principle.

Km hakuna maelezo yoyote ya ziada, utaanzia ngazi ya mwanzo hiyo ya sa2.
Maelezo kama yapi? na umetumia kigezo kipi ku'equit SA (10yrs experience) kuwa sawa na SA-II ya 6yr experience?
 
Hapa ngoja nipite kimyakimyaja japo nimeandika. Ngoja tuwaachie wataalamu wenye fani yao waje kudadavua..
 
Anahama mwenyewe/kujiamisha au kuhamishwA.?
Kwa kawaida anatakiwa atumikie cheo miaka usiopungua matatu nje ya mwaka mmoja wa kujitathmini km anataka kurudi/kurudishwa alipoitoka au kuendelea kwenye ofisi hiyo mpya .
Kuna vingi wanazingatia mfano suala la muundo wa taasisi/idara na taratibu mahususi za ofisi husika(km ni agency au authority).
Uwepo wa nafasi na bajeti ya kupandishwa kwa mwaka ambao anahamia.
Naomba kurekebishwa

Hivi karibuni kuna mtumishi kahama kutoka Serikali Kuu kwa cheo cha mhasibu mwandamizi (Senior accountant-SA) akiwa ametumikia miaka 10 kwenye utumishi wa umma, baada ya miaka mitatu alikuwa anapanda kuwa Mhasibu Mkuu (Principal Accountant). je ni kanuni gani ya utumishi inatoa mwongozo wa kule anakohamia kwamba atapewa cheo gani? ukizingatia kuwa anakohamia cheo cha Mhasibu mwandamizi kina madaraja mawili, SA-I na SA-II.

Mtiririko wa upandaji wa Serikali za Mitaa ni : Accountant-II (yr-0), Accountant-I (yr-4), Senior Accountant-SA (yr-7), Principal Accountant-II (yr-10), Principal Accountant-I (yr-13).

Wakati ule wa taasisi ni Accountant II(yr 0), Accountant-I (yr-3), Senior Accountant-I (yr-6), Senior Accountant-II (yr-9), Principal Accountant (yr-12)

Mungu akubariki unapochukua muda wako kunielimisha.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom