utotoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TUKUMBUSHANE: Tukio gani la hatari uliwahi kufanya utotoni?

    Hope ni wazima wana JF, Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua? Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa wa kike Jesca, tulienda porini sio mbali sana na maeneo tunayoishi. Baada ya kutembea tembea kidogo...
  2. BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  3. Ni kitu gani ulijifunza utotoni baadaye ukagundua ulipotoshwa na wazazi/walezi?

    Ebu shea na sisi pengine wale wanaorithi kila kitu toka kwa wazazi watakiepuka kwenye malezi ya watoto zao. Mimi nilikuwa nakatazwa sana kucheza kwenye majumba ya majirani. Wazazi wangu muda wote walitaka wanione nyumbani tena nikiwa mtulivu. Niliamini kutembea kwenye nyumba za jirani ni...
  4. G

    Waarabu na wahindi tangu utotoni wanafundishwa biashara, mbongo anasubiriwa hadi afike 25. Kuna haja ya kuendelea kumtafuta mchawi ?

    Na ndio chanzo kikubwa cha biashara nyingi zilizofanikiwa kuanza kuyumba pale baba akifariki kila kitu kinaparanganyika. Unakuta familia tayari inajiweza kiuchumi inaingiza makumi ama mamia ya mamilioni kila mwezi lakini wazazi wanawakomalia watoto kusoma tu na matuisheni utadhani sio familia...
  5. Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho Marafiki wa kukutana high school Marafiki wa kukutana vyuoni Marafiki wa kukutana makazini Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki...
  6. Matatizo ya Afya ya Akili utotoni yanaweza kuchochea kupoteza kumbukumbu

    Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili. Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa mtoto anapofikia hatua ya kufanya maamuzi wakati wa ukuaji wake anaweza kuathirika mfano kusahau...
  7. Wengi wenye vitambi walipata utapiamlo utotoni

    Habarini wakuu sana. Ipo namna hivyo. Watu ambao hawakupata lishe ya kutosha utotoni huwa wanapoteza uwezo wa kuchakata msosi. Yaani mwili wake unavyotumia chakula ni tofauti na mtu ambaye alipata lishe ya kutosha. Sasa mtu huyu akipata pesa au uhakika wa msosi ukubwani, anajikuta anakula...
  8. Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

    Sio kila muda tuwe tunakuwa serious sana, acha tuburudike kidogo. - Kondoo anapigana na radi na radi inapigwa. - Radi itakupiga ukivaa nguo nyekundu.
  9. Wasichana watatu kati ya 10 wanaathirika na ndoa za utotoni Tanzania

    Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Zlatan Milisic amesema uchunguzi waliofanya umeonesha wasichana watatu kati ya 10 wenye chini ya miaka 18, wapo kwenye ndoa za utotoni. Zlatan amesema wanaoathirika zaidi ni wasichana wanaoishi vijijini huku akitaja madhara wanayokumbana...
  10. M

    SoC02 Jinsi mtazamo unavyojengeka kuanzia utotoni, Mchango wa wazazi kutimiza ndoto hai

    Utangulizi: Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha nne, kifungu kidogo cha kwanza Rejea: TLS – Online Legal Aid Repository Kila mzazi/mlezi huwa nania...
  11. Ndoa kama chaguo bora zaidi kwa vijana wa kike

    Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake). Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
  12. Katavi: Mila, desturi chanzo cha mimba na ndoa za utotoni

    Halmashari ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi inadaiwa kukithiri kwa tatizo la mimba na ndoa za utotoni huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni uwepo wa mila na desturi za baadhi ya makabila wanaoishi katika eneo hilo. Tatizo hilo limebainika wakati shirika lisilo la kiserikali la Marie Stopes...
  13. Mbunge: Serikali iwekeze katika elimu badala ya mabweni ili kukwepa mimba za utotoni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule mbali na makazi yao. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
  14. Tuliyapitia haya utotoni, na yana raha yake haswaa!!😂

    Uhuru ulituzidi tukawa watu wa hovyo sana😆😂
  15. Michezo ya utotoni, ni hatari katika ukuaji wa mtoto.

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo, shule ya msingi nilikwenda kumtembelea ndugu yangu mmoja, alikuwa anafanya kazi kijiji kimoja huko kanda ya ziwa, miaka hiyo. Baada ya kufika kule kijijini, nikakutana na marafiki wa rika langu; wakawa wananitembeza mtaa kwa mtaa, ili niweze kufahamu mazingira ya...
  16. Nini kifanyike kumaliza tatizo la mimba za utotoni?

    Great thinkers, Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
  17. TCRA /COSOTA au Mamlaka zinazohusika hamuoni tamthilia ya BONDITA Azam two unavyoharibu watoto kwa kuhamasishwa ndoa za utotoni.?

    -Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri. -Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu'' -watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework -Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni? -Ee...
  18. Umeshagundua sababu za kuchapwa utotoni kula kwa watu?

    Kwema! Mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vizuri anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi kupata utotoni; kama mzazi alikuwa sahihi kwa nini? Kama hakuwa sahihi kwa nini? Huelewi bado...
  19. Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  20. Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…