Maumivu ya mgongo sugu wa juu, mabegani na misuli shingo kukaza homa ya uti wa mgongo (Pneumonical Meningitis)

Folk Part II

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
294
332
MAUMIVU YA MGONGO SUGU WA JUU, MABEGANI NA MISULI SHINGO KUKAZA

HOMA YA UTI WA MGONGO ( PNEUMONICAL MENINGITIS)

download.jpeg

Ndugu zangu wana jamii forum kwanza nikili kwamba huu ugonjwa ninao na ni hatari sana kimaisha kiujumla na unakatisha tamaa sana kiasi kwamba mpaka inafika hatua unaweza kuchukua maumuzi magumu

DHUMUNI LA KUANDIKA UZI HUU NI KUSHEA NA WATANZANIA WENZANGU ILI WAUELEWE HUU UGONJWA

SASA HOMA YA UTI WA MGONGO NI NINI?

(pneumonical meningites)
Huu ni ugonjwa unaoshambulia utando unaofunika ubongo (brain) na Uti wa mgongo (spinal cord)

VISABABISHI VYA HUU UGONJWA
1.Bacteria
2.fungus
3. virus

NI NINI DALILI ZAKE?

DALILI AMBAZO NAZIPITIA MPAKA SASA

1.katikati ya kifua upande wa nyuma mgongoni kati ya scapula mbili za mabega Panauma sana kama pana moto mpaka leo

2.nikitaka kusoma kitu au kuandika kitu kwa mfano kama hii thread ndo naongeza maumivu zaidi

3.wakati huu ugonjwa unanianza tarehe 28/08/2016 nipo shule advance Form five misuli ya shingo , mabega , kifuani na mikononi ilikuwa inakakamaa sana na kuuma ila Hadi leo tarehe 11/04/2022 misuli ya mabega ndo inakaza sana misuli ya shingo na kifua ishaachia

4.majasho makwapani yalikuwa yananitoka sana ila saiz yamepungua

5.mwili kukosa nguvu

6. Mikono ilikuwa inakufa ganzi saizi inatokea mara mojamoja

7. Kipindi ndo naanza kuumwa nilikuwa sitaki mwanga kabisa hata simu ilikuwa shida kutumia ila macho yalikuwa yanaona vizuri tu saiz mwanga haunisumbui

8. Kukosa hamu ya kula

9.nikitaka kufikiri kwa kina ndo maumivu yanazidi
10. Nilikuwa nacheza mpira kwa sasa siwezi kucheza kutokana na huu ugonjwa ushaniharibu

HISTORIA YA MATIBABU YANGU

HOSPITALI NILIZOTEMBEA

1.kigonsera dispensary -Ruvuma
2.peramiho hospital - ruvuma
3.vwawa district hospital - Songwe
4.Ifisi hosipital -Mbeya
5.mbeya rufaa hospital-Mbeya
6.Muhimbili hospital -Dar es salaam
7.Moi hospital- Dar es salaam
8. Kairuki hospotal- dar es salaam
9. Vituo vya watu binafsi
10.Kanisani kwenye maombezi
11. Kwa waganga wa kienyeji

VIPIMO NILIVYOFANYA
1.Blood
2.makohozi
3.x ray za kutosha Hadi nahofia kansa
4.CT Scan - Mhimbili
5.MRI - MOI

NINI KILIONEKANA KWENYE HIVYO VIPIMO?

Cha ajabu hivyo vipimo havikuonyesha kitu chochote ndugu zanguni

JE HII HOMA YA UTI WA MGONGO WANAFANYA KIPIMO GANI?

Kipimo kinachofanywa kinaitwa lumbar puncture wanakuchoma sindando kwenye Uti wa mgongo na kuvuta majimaji ya kwenye uti wa mgongo kwa vipimo ili wajue kinachosababisha ni bacteria, fungus au virus

MATIBABU YAKE NI NINI?

Dawa za kutibu zinategemeana na vimelia walioshambulia uti wa mgongo watakaopatikana

WATU AMBAO WAPO HATARINI NA HUU UGONJWA

1. Wanafunzi
2. Watu wanaofanya kazi za kutumia akili sana

IKUMBUKWE

Hapa tanzania huu ugonjwa madakitari hawana ufahamu nao sana ukienda watakwambia upigwe x ray kumbuka elimu yetu tunasoma kwa kukalili

PIA

Nikubali kwamba madakitari huwa tunawaeleza tunasumbuliwa na mgongo kwa juu mabegani lakini kati ya madakitari wote niliokutana Nao baada ya kutokuona kitu huwa wanaishia hapo na hawapendekezi kipimo kingine . huu ugonjwa unatusumbua wale tunaoumwa mgongo sugu wa juu, mabegani, shingoni

Ukitaka kuuliza Kwa experience zaidi ya huu ugonjwa unaweza kunitafuta 0758954522

Ila mimi sio dakitari wala mganga ifahamike ivo nimeandika kwa faida ya wana jamii forum
download.jpeg

UKIFANIKIWA KUPITIA HUU UZI NJOO UTOE MREJESHO ILI KUSAIDIA KIZAZI KIJACHO NI UGONJWA HATARI KULIKO UKIMWI MAANA HUU NI MAUMIVU SIKU,MIEZI MIAKA NENDA RUDI😭😭😭😭

Nimechoka sana maisha yangu sijui nayaendesha vipi bado nina umri mdogo sana da! Miaka 24 ila naamini siku moja mungu atafanya maajabu

download.jpeg
 
MAUMIVU YA MGONGO SUGU WA JUU,MABEGANI NA MISULI SHINGO KUKAZA

HOMA YA UTI WA MGONGO ( PNEUMONICAL MENINGITIS)

View attachment 2184538

View attachment 2184539
UKIFANIKIWA KUPITIA HUU UZI NJOO UTOE MREJESHO ILI KUSAIDIA KIZAZI KIJACHO NI UGONJWA HATARI KULIKO UKIMWI MAANA HUU NI MAUMIVU SIKU,MIEZI MIAKA NENDA RUDI

View attachment 2184536
Sasa wali diagnose vipi ikiwa vipimo vilikuwa negative
 
Wao walishindwa ndugu but I know my self coz huu mwili ni wangu kutokana na elimu na uelewa wa physiology ya human kutoka UDSM chin ya mafund prof pratap, mkandala, madam frola na wengine,,, sema wao huwa hawataki kupokea mawazo ya mgonjwa
 
Ulitumia nini Kuconfirm hyo meningitis
 
Ulishawahi onana na physiotherapist wowote
 
MAUMIVU YA MGONGO SUGU WA JUU,MABEGANI NA MISULI SHINGO KUKAZA

HOMA YA UTI WA MGONGO ( PNEUMONICAL MENINGITIS)...
Hayo ndio maisha yangu ya kila siku, tangu niligundua Nina Hilo tatizo Mwaka 2010,hadi Leo naishi nalo bila kwenda kwenye matibabu yoyote wala kutumia dawa zozote za kutuliza maumivu. Katika hayo unayo pitia hapo, kwa upande wangu ongezea na maumivu makali sana ya kichwa.
 
Pole sana mhanga mwenzangu ipo siku mungu atafungua tutapona ila kwa huu muda cha moto tunakiona
 
Back
Top Bottom