utekaji na mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

    Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa...
  2. Erythrocyte

    Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

    Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao. ================ Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio...
  3. R

    Aliyeidhinisha kutekwa na kung'olewa meno Ulimboka ndiye mwasisi wa kutekwa wanasiasa na wakosoaji nchini. Tusitegemee wakaacha leo wala kesho

    Dr. Ulimboka alikuwa anatetea haki ya huduma za Afya kwa wote lakini malipo yake alitekwa na kuumizwa sana. Toka tawala zilipofumbia macho kutekwa na kuteswa kwake ndipo wanasiasa wakaona njia pekee yakuwatisha wananchi wanaotaka haki nikuteka ring leaders. Hali ya utekaji ikaanza kushamiri na...
  4. J

    Haiwezekani kushughulikiana kisiasa bila kutekana na kuumizana? Au mifumo ya kisiasa (kuvumiliana) imefeli?

    Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni...
  5. Bulelaa

    Tuepushe kipi kati ya uhai na siasa, utekaji na mauaji ya kisiasa? Ni heri kukaa bila vyama vingi ili tusiuane au tubebe yote?

    Kwa masikitiko makubwa, nashangaa kuona eti maisha na uhai wa watu unaweza kukatishwa kwa sababu zinazoitwa ni Siasa! Ni ujasiri uliopita kiwango cha Rehema za Mungu, mtu anapoamua kumdhuru mtu, kumtesa na kumwaga damu yake kwa madai ya kuendelea kubaki kwenye nafasi za kisiasa huku akijua...
  6. kagoshima

    Swali fikirishi: Nikwanini CCM hawakuunga mkono maandamano ya kupinga utekaji na mauaji ya raia?

    Wadau mkopoa? Nisiwaxhoshe niende mojakwamoja kwenye swali. Pamoja na Katibu wa CCM Dr Emmanuel Nchimbi kuonekana hafurahishwi na utekaji na mauaji ya raia, Lakini yalipoitishwa maandamano ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji ya raia yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA, CCM...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Chalamila: Mabinti na Vijana wanajiteka wenyewe, taarifa zikifika kwa vyama vingine wanadhani kwamba amani imetoweka!

    Wakuu, Wanasema watu wanajiteka huku hamna tishio lolote nchini la watu kujiteka! CCM mnataka kuzidisha watu hasira zaidi ya hivi hali ilivyo sasa!
  8. BARD AI

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatili na mauaji yanayoendelea nchini

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
  9. Mindyou

    Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa pamoja na Soka wa CHADEMA aongea kwa uchungu baada ya mumewe kutekwa. Amtaja Rais Samia!

    Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa zaidi ya siku 40, amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan, akiomba msaada wa kumrudisha mume wake nyumbani. Akizungumza kwa uchungu, mwanamke huyo alisema kuwa amebaki katika hali ngumu akiwa na mtoto mdogo anayehitaji malezi na matunzo ya baba yake. Ombi...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

    Wakuu, Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano? Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
  11. Mindyou

    BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

    Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini. BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya...
  12. Richard

    Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  13. B

    Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Akson Mwansasu bado haamini kama Polisi Tanzania wanahusika na utekaji na mauaji ya Wanachi

    Akiongea na na Watangazaji wa kipindi cha asubuhi Good Morning cha Wasafi radio Septemba 27, 2024 Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Akson Mwansasu ameshangaa Jeshi la Polisi kuhusishwa na utekaji na mauaji ya raia wema Hivi karibuni vijana watatu wa chama cha demokrasia na maendeleo...
  14. Mystery

    Tunawasikia watawala wakiomba watanzania tutunze amani yetu. wakati hadi sasa hatujapata majibu sahihi ya watu kutekwa

    Kuna "contradiction" ya hili neno amani namna inavyotafsiriwa na hawa watawala wetu, wakati mambo yanayoendelea hapa nchini, mara Kwa mara tunawasikia watawala wakirudia msemo huu wa kuwaomba watanzania tutunze amani yetu tuliyojaaliwa na Mungu Kwa nguvu zote, wakitolea mifano wa nchi nyingine...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

    Kwema Wakuu! Nimeona nami kwa nafasi yangu hata kama ni ndogo, niishauri serikali kuhusu haya maandamano ya hawa ndugu zetu wa CHADEMA. Hakuna haja ya kutumia mabavu na ubabe kuzuia CHADEMA kuonyesha hisia za Maumivu ya ndugu zao waliouawa na kutekwa. Ni wanachama wenzao. Haitakuwa HAKI...
  16. Determinantor

    kwa Mara ya Kwanza KKKT tumesomewa barua kutoka kwa Askofu ikilaani utekaji

    Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya. Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi...
  17. Determinantor

    Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania

    Kama Una kiingereza kidogo hebu pata points mbili TATU hapo, majirani wameshaanza kutuTolea case study.... Hapa wanamkaanga Ruto, huku Sisi tunampigia Makofi Samia kwa Utekaji.
  18. S

    CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

    Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X. Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo...
  19. Mindyou

    Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

    Habarini wanajukwaa, Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus. Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe. Sativa aliendelea kusema kuwa...
  20. Mindyou

    Rasmi Tundu Lissu ajibu tuhuma za muda mrefu kuhusu wanachama wa CHADEMA kujiteka wenyewe

    Akiongea na BBC Swahili hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hatimaye amezizungumzia tetesi na tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba CHADEMA wana hulka ya kujiteka wenyewe ili wapate huruma ya wananchi. Kwenye mahojiano hayo, Lissu amegusia sakata la Chacha...
Back
Top Bottom