utekaji na mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

    Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini. BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Akson Mwansasu bado haamini kama Polisi Tanzania wanahusika na utekaji na mauaji ya Wanachi

    Akiongea na na Watangazaji wa kipindi cha asubuhi Good Morning cha Wasafi radio Septemba 27, 2024 Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Akson Mwansasu ameshangaa Jeshi la Polisi kuhusishwa na utekaji na mauaji ya raia wema Hivi karibuni vijana watatu wa chama cha demokrasia na maendeleo...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunawasikia watawala wakiomba watanzania tutunze amani yetu. wakati hadi sasa hatujapata majibu sahihi ya watu kutekwa

    Kuna "contradiction" ya hili neno amani namna inavyotafsiriwa na hawa watawala wetu, wakati mambo yanayoendelea hapa nchini, mara Kwa mara tunawasikia watawala wakirudia msemo huu wa kuwaomba watanzania tutunze amani yetu tuliyojaaliwa na Mungu Kwa nguvu zote, wakitolea mifano wa nchi nyingine...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

    Kwema Wakuu! Nimeona nami kwa nafasi yangu hata kama ni ndogo, niishauri serikali kuhusu haya maandamano ya hawa ndugu zetu wa CHADEMA. Hakuna haja ya kutumia mabavu na ubabe kuzuia CHADEMA kuonyesha hisia za Maumivu ya ndugu zao waliouawa na kutekwa. Ni wanachama wenzao. Haitakuwa HAKI...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania kwa Mara ya Kwanza KKKT tumesomewa barua kutoka kwa Askofu ikilaani utekaji

    Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya. Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania

    Kama Una kiingereza kidogo hebu pata points mbili TATU hapo, majirani wameshaanza kutuTolea case study.... Hapa wanamkaanga Ruto, huku Sisi tunampigia Makofi Samia kwa Utekaji.
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

    Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X. Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

    Habarini wanajukwaa, Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus. Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe. Sativa aliendelea kusema kuwa...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rasmi Tundu Lissu ajibu tuhuma za muda mrefu kuhusu wanachama wa CHADEMA kujiteka wenyewe

    Akiongea na BBC Swahili hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hatimaye amezizungumzia tetesi na tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba CHADEMA wana hulka ya kujiteka wenyewe ili wapate huruma ya wananchi. Kwenye mahojiano hayo, Lissu amegusia sakata la Chacha...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mithali 11:6. Haki huokoa wenye HAKI. Fitna za kisiasa utawanaswa wenye Hila. HAKI ndio usalama wa nchi na sio vinginevyo

    MITHALI 11:6. HAKI HUOKOA WENYE HAKI. FITNA ZA KISIASA ITAWANASWA WENYE HILA. HAKI NDIO USALAMA WA NCHI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mithali 11:6 Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe. Bado Kuna mtifuano ndani ya nchi. Mambo...
  12. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Haki huinua taifa MITHALI 14:34 Umoja wa Makanisa ya Kipentekosti. (CPCT) mko wapi?

    Bwana yesu asifiwe watumishi wa wa Mungu? Tumeona mabaraza mbalilmbali ya viongozi wa kidini viki paza sauti zao bila uoga juu ya mauwaji, utekaji, kumizwa? Lakini hiki chombo muhimu( CPCT), SIJAWAI SIKIA tangu nizaliwe almost 50 years kukemea, kuonya, kushauli, kupendekeza jambo juu ya...
  13. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

    Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death! Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu! Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Sababu za Jeshi la Polisi kutokulaumiwa kuhusu utekaji na mauaji ya raia wema

    Katika muktadha wa hali ya usalama nchini, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukandamizaji vinavyohusishwa na TISS (Idara ya Usalama wa Taifa). Baada ya mabadiliko ya Sheria, mamlaka ya TISS yamepanuka, na hii imepelekea ripoti za watu kutekwa na kuuwawa bila uwazi. Wakati wa hotuba yake...
  15. Mtetezi.com

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta ninakichukia chama changu

    Mimi ni kada wa chama cha mapinduzi kwa zaidi ya miaka 18 sasa lakini kwa yanayoendelea sasa nimejikuta kukichukia sana chama changu. Yanayonikera 1. Ukosefu wa ajira 2. Hali mbaya ya kiuchumi 3. Ufisadi 4. Utekaji wa wakosoaji ambao pia wengine ni ndg, jamaa na marafiki zetu 5. Vyombo vya...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yataka uchunguzi huru mauaji, utekaji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia. Kauli ya...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Anayepinga maandamano ya 23/09 anaunga utekaji na mauaji ya raia

    Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia CHADEMA...
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Dkt Nchimbi Katibu Mkuu CCM: Hadidu za rejea za Tume ya Kuchunguza Mauaji Holela Ziko Wapi?

    Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania "Samia must go" kampeni iliyofeli baada ya kutamkwa

    Wengi hatufurahishwi na kinachoendelea nchini kwasasa. Utekaji na mauaji kwa watu wasio na madhara kwa serikali ni uonevu na kujiabisha kama nchi. Hili lazima lidhibitiwe Huenda yanayosemwa ni kweli kwamba nchi nyingi duniani zinautaratibu wa namna ya kushughurika na watu ambao ni threat kwa...
Back
Top Bottom