Wakuu Salaam,
Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo
Hapa anajua lazima Watanzania...
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.
Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo...
Nimekaa nawaza kwanini watekwaji wanakufa vifo vya kuteswa sana mpaka kiasi cha kufikia hatua ya kupigwa nondo mpaka kufa?
Lengo la watekaji huwa nini Kuna taarifa gani huwa wanazitaka kutoka kwa mtu waliomteka? Kama mtu atateswa na kutoa siri Kuna haja gani ya kumpoteza uhai wake?
Lengo la...
Wana JF
Kumekua na maoni, mitazamo, mapendekezo na wito kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri, taasisi na vyama vya kisiasa kumtaka waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ajiuzulu nafasi yake, lakini pia hata mkuu wa Jeshi la Polisi nchini nae kufanya vivyo hivyo kulingana na changamoto za...
"Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza utekaji, kwa namna ambavyo tumeiona mahakama kuu inapuuzs utekaji, hivi kweli hiyo rai ya kumtaka...
Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii
Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼
======
Mohamed Dewji ameandika:
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
Wakazi ameandika hivi kweye ukurasa wake wa Instagram:
Nimeona watu kwenye Twitter wakichukizwa na wasanii kwa kutosimama na jamii kupigania mambo muhimu, na mnafikiria kuanza kususia bidhaa zao (unsubscribe, unfollow, stop streaming, n.k.). Roma alitoa kauli ambayo hamjaielewa vizuri, na Nay...
Juzi kaitisha press conference kuelezea hali ya usalama inavyoendelea nchini baada ya mauaji ya Mzee MeD kiongozi wa CHADEMA.
Mimi kwangu kule nakuita kujilipua na uthubutu wa aina yake katikati ya mazingira tuliyo nayo sasa... Maana kusema KWELI na kwa UWAZI kwasasa ni kujitafutia majanga...
Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine
Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga
=========
Mwakinyo ameandika haya...
Kumekua na wimbi la matukio mbali mbali yameripotiwa kutokea nchini hivi karibuni.
Unamaoni gani kwa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na kwa wananchi kwa ujumla kuhusu matendo haya ambayo yamekua yakiripotiwa mara kadha wa kadha ili yakome kabisa, kwasababu yamekua yakiichafua nchi...
Kwa kanuni na Sheria ndani ya Jamhuri ya Tanzania, jeshi la Polisi Tanzania ndio lenye mamlaka ya kulinda raia na mali zake, hivyo vitendo vya wanananchi kutekwa na kuuawa jeshi ili linatakiwa kupokea lawama juu yake na kukabiliana nazo kikamilifu.
Ni aibu sana tena kama wauni wanadiriki...
TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO
Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane...
10 September 2024
Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania;
"Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
Inahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu;
"Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la kudumu kokomesha utekaji na uuaji, ieleweke wazi kwa raia na wakazi wote hapa Tanzania kwamba kuanzia...
Nikiwa mwanachama wa kawaida wa CCM, najivunia sana historia na harakati za chama chetu tangu enzi za uhuru. Hata hivyo, naona kuna mambo yasiyo sawa yanayotokea hivi sasa, ambayo yanatia hofu kubwa kwa usalama wa raia nchini.
Tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Mzee Kibao na mfululizo wa...
Hiki kifo cha Ally Kibao kimetokea ni kwa vile Rais hakupewa taarifa sahihi kuhusu utekaji na mauaji.
Kwa hali tuliyofikia ya watu wanateka hadharani na kuua eti wakisema "tumekuja kuchukua mtu wetu" haikubaliki na hii inaashiria kuwa ndani ya CCM na Serikali iko shida kubwa.
Kisa cha...
Nchi yetu Ina maajabu mengi sana ,nilitegemea kuona tweet na posti nyingi tangia jana kutoka kwa wasanii wakipaza sauti juu ya Hali hii lakini nimeishia kuona Lady jaydee, zuchu na Idrisa tu angalau wamepiga kelele kukemea jambo hili ,kwa nini nyinyi wasanii hamjitambui ?
Nani amewaroga au...
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Kada wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Sekretarieti, Ndugu Mohamed Ali Kibao.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo, Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amewapa pole familia ya ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.