utekaji na mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, auawa Kikatili Baada ya Kutekwa

    Matukio ya namna hii ya naumiza sana, binti mdogo akitafuta maisha yake ila ghafla yamekatishwa na watu wenye roho mbaya. Ila kuna jambo najiuliza je ni ishu za biashara za baba yake? au mahusiano? Siasa, au ni wale wahalifu wakujipatia kipato kwa njia za nama hii? =================...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rose Mayemba:"Kuna watu wamemfata baba yangu mzazi kumwambia, mtoto wako asipoacha mambo ya mtandao tutampoteza"

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Mwanyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoa wa njombe Bi Rose Mayemba amesema Kuwa Kuna watu wamemfata baba yake mzazi mzee Mayemba na kumtaka amwambie mwanae(Rose mayemba) achane na masuala ya siasa laasivyo watampoteza,katika...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema - watawala kinachowapa nguvu ni kitu kimoja tu, Aina ya watu wanaowaongoza

    Niliwahi kusema watawala kinacho wapa nguvu ni kitu kimoja tu, AINA YA WATU WANAO WAONGOZA. Watawala sio wajinga, sio wendawazimu, wanajua wanaongoza aina ipi ya raia,na wanajua pia Keybord movement hazina impact yoyote kwao. Ukiona wanafungia makanisa, wanafunga kiongozi mkuu wa Chama kikuu...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunachukuliwa Kama maboya fulani hivi. Mtu anatamka kwamba ntakupoteza ndani ya siku 90 watapiga kelele na wasahau

    Kwakweli hakuna jambo limeniuma sana Kama nilivyoangalia clip ya Maxence Melo anaongea kwa uchungu sana mtu kumpigia simu na kusema nitakupoteza usipofuta ujumbe fulan na watanzania walivyo makondoo watapiga Kelele mwezi mmoja miwili alafu wakusahau maana wana sahau haraka sana! Nikawaza watoto...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bila kuondolewa, Kuanzia 2026 Ajira zisingekuwepo, Watumishi wangeishi kitumwa, Tozo zingezidi , Utekaji na Mauaji vingekithiri , Nchi ingefungwa

    Masikini wangezidi kua Masikini, Matajiri wangezidi kua Matajiri Shughuli za Kisiasa zingepigwa Marufuku baada ya Uhapisho wake . Rasilimali za Nchi zingesombwa Kwa Kasi ya Hypersonic . Makanisa yangefungiwa zaidi . Utekaji na Mauaji, Hapa ndo uspime, kuanzia 2026 tungeshuhudia Nawaambia...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda Ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa Na Watu Wasiojulikana

    Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha. Taarifa zaidi kukujia
  7. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya Watanzania waunga mkono kauli ya Heche. Ni kuhusu kutoogopa viongozi wanaoua na kuteka watu

    Tafiti zimefuatilia kwa ukaribu namna kauli za Heche jzinavyokubalika na kuungwa mkono. Alipokuwa Msibani kwa kamanda mwenzao alitamka bila kupepesa macho kuwa CHADEMA na wafuasi wake haitaogopa wala kujipendekeza kwa viongozi wanaoua na kuteka watu. Kauli hii imeungwa mkono na Watanzania...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Taifa litazame kwanza Hatima ya Utekaji na Mauaji ya Kisiasa Kabla halijatazama suala la Rais Samia Kugombea au Kutogombea!

    Kwa Mara nyingine tena naandika nikilitaka Taifa, Lijiulizwe maswali haya Kisha liamue Je Rais Samia agombee hata kama Kavunja Katiba za Chama na Taifa, au Azuiliwe Kugombea Kwa namna yoyote inavyowezekana?. Je Utekaji Mwisho wake utakua Lini ikiwa Rais Samia ataendelea ?. Je Mauaji ya Kisiasa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sitofahamu yaibuka! kijana adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana tangu Mei 19 mwaka huu Kibaha

    Kijana Hussein Abdallah Mkwame (26) mkazi wa eneo la Ungindoni -Kongowe, wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani kwa takribani miezi miwili (2) sasa hajulikani alipo baada ya watu wasiojulikana kumkamata na kuondokanae tangu Mei 19 mwaka huu Mzee Abdallah Omary Mkwame mkazi wa Buza, Dar es Salaam ambaye...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aliyetekwa akutwa ameuawa na kuzikwa nyumbani kwa mtu Tabora

    Mtu mmoja aliyekuwa akifahamika kwa jina la Castory Madembwe ambaye alikuwa anatafutwa kwa zaidi ya mwezi mmoja tangu kupatikana kwa taarifa zake kwamba ametekwa,hatimaye leo Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa kushirikiana na wananchi wa Kata ya Mpera wamefanikiwa kuupata mwili wa mtu huyo...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Padre Kitima kuna watu wanapata na walishapata uonevu mkubwa hapa Duniani kuliko wa yeye kuvamiwa na kupigwa

    Hili nalo lina ubishi? Famili ya mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na Dismas Soka hii ni mifano tu ya kutoa. Je Padre Kitima anakosea anaposema kuna akina Lissu na wengine wengi wapo magerezani kwa chuki na visasi vya kisiasa! Je hao waliopotezwa?
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ni kubwa kuliko mtu, leteni mgombea Urais mpya atakayeponyesha majeraha ya watu

    Niliwahi Uliza humu, Dola Mnauhakika Rais Samia kua Mgombea, hawaingizi kwenye mtego wa matumizi ya nguvu kupitiliza??. Ishu nzima ya Bandari Kwa Waarabu, Watanzania wakapinga katakata Kwa Hoja ,Kwa Katiba, na Kwa Mifano !!.yaan Bandari alojenga Kipenzi Cha Watanzania JP Kwa matrillion ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya Mazuri ya Samia ni kufungua nchi kwenye Ajira. Kilichomtoa Mchezoni ni Mambo ya Utekaji na Mauaji ambayo serikali yake imeshindwa kutoa jawabu

    Mpo Salama! Hata wanaomchukia wanakiri kuwa Rais Samia alipoingia aliwatia katika wakati Mgumu. Kwanza, aliamua kufuata Haki ya watu kuwa Huru Kujieleza. Hiyo nilimpa Big tick! Katika haki hiyo wapo waliomzodoa na kumkabia kooni kwa namna Mbalimbali. Wengine wakimvunjia heshima Kama Rais wa...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Katika Kuupuuzia Utekaji na Mauaji ya Kisiasa ,Hatimaye Waovu wanapitia humohumo!! Mauaji ya Mke na Mume Hapo Dar, yawaamshe Wazalendo katika Mfumo'

    Mnapokua na Taifa kama la Tanzania, ambalo Utekaji na Mauaji ya Kisiasa yanendelea kúfanyika. Wakati huohuo Jeshi la Polisi na vyombo vyote vya Usalama vikikaa kimya, maana yake ni kutengeneza mazingira ya Watu waovu Kupanga na kutekeleza Mauaji na vitendo vya kiovu bila kua noticed...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kundecha, umetuangusha waislamu kwa kukataa kuunga mkono sauti ya kukemea utekaji nchini na kwa kutosimama upande wa raia

    Ndugu Sheikh Kundecha, nimetizama wasilisho lako katika msikiti wa Qiblatein Mwananyamala la baraza la Eid. Kwa kweli nimesikitishwa sana na jinsi ulivyoacha kuisemea dhulma inayotamalaki nchini, ya utekaji watu, mauaji ya watu na dhulma dhidi ya watu. Wanaotekwa si watu wa dini nyingine, hata...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

    Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa. Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
  19. Chilemba wamela pamputi

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa Khamis: Nasimama asilimia 100 na Askofu Gwajima kupinga utekaji

    Kama kichwa kinavyo someka, kadiri siku zinavyo zaidi kusonga mbele ndivyo matamko mbalimbali yanatolewa na viongozi au watu wa kada mbalimbali , msikilize huyu sheikh alafu tuachie maone yako . Mimi namunga mkono Askofu Gwajima na wale wote wanaopinga matendo yote maovu. Nakuomba Rais Samia...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Idd Adh-Haa: Rais awawajibishe viongozi wa vyombo vya usalama kwa kushindwa kuzuia matukio ya kutekwa na kuuliwa raia

    Tunato wito kwa Bunge lijadili maombi ya kuundwa Tume ya Bunge ya kuchunguza utekaji na mauaji ya mamia ya raia yaliyotolewa na taasisi za kijamii, viongozi na yale yaliyo wasilishwa rasmi na wabunge bungeni. Rais awawajibishe viongozi wa vyombo vya usalama kwa kushindwa kuzuia matukio ya...
Back
Top Bottom