kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,876
- 5,667
Wadau mkopoa? Nisiwaxhoshe niende mojakwamoja kwenye swali.
Je CCM waliona haiwahusi kwavile wengi wa waliotekwa ni wapinzani na wasio na vyama ?
Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- Pamoja na Katibu wa CCM Dr Emmanuel Nchimbi kuonekana hafurahishwi na utekaji na mauaji ya raia,
- Lakini yalipoitishwa maandamano ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji ya raia yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA, CCM walionekana si tu kuttotoa ushirikiano Bali pia kuyapinga na kukebehi baada ya kamatakamata ya polisi.
Je CCM waliona haiwahusi kwavile wengi wa waliotekwa ni wapinzani na wasio na vyama ?
Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea