utekaji na mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kwa madai ya Malisa: Mwili wa Dkt. Hashim Titto aliyepotea tangu 22 April, 2025 umepatikana katika hospitali ya Polisi Kilwa road

    Tarehe 26 May kupitia ukurasa huu, nilitoa taarifa ya kupotea kwa Dr.Hashim Titto, daktari wa hospitali ya rufaa ya kanda Mtwara, na Mwanafunzi wa udaktari bingwa wa upasuaji (Resident MMED Surgery) katika chuo kikuu cha afya na sayansi Shirikishi Muhimbili, ambaye alipotea tangu tarehe 22 April...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani:Imekuwaje mnampigia makofi mtu ambaye akemie watu kutekwa?

    Katika Biblia takatifu tunafundishwa kuchukia na kukemea dhambi zote. Kuanzia Wizi, Uzinzi, Kuua, Kuonea watu, zinaa pamoja na matendo maovu yakiwemo ya ubakaji na ulawiti. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na matukio ya wakosoaji wa Serikali kutekwa, Kuuwawa, Kubakwa na kulawitiwa( Udhalilishaji wa...
  3. Consigliere

    JamiiForums Tanzania Kanisa lafungwa nchini Tanzania baada ya Askofu wa Kanisa hilo kuitaka Serikali kudhibiti matendo ya utekaji na mauaji kwa raia

    Baada ya Mbunge wa Chama tawala nchini Tanzania ambaye pia ni Askofu kuitaka serikali kukomesha mambo ya utekaji na mauaji nchini Tanzania na kutishia kuwataja watekaji hao, Serikali ilijibu kwa kuchukua hatua za kulifungia Kanisa hilo na kutuma askari walioenda kuwaondoa waumini wake kwa nguvu...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

    Tupo tunatazama! Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa. Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu. Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tusitafune maneno, Rais Samia kamwe haguswi na utekaji na mauaji kwa wapinzani wake

    Huyu ni Rais tena mbaya zaidi ni mama ana watoto ila kamwe haguswi na utekeji na mauaji kwa wapinzani wake. Hili wala tusitafune maana ameshajionyesha kwa kauli zake kadhaa na ukimya wa kuchukua hatua. Sasa imebaki kwa mtu mwenyewe kujilinda maana mamlaka haikulindi ukiwa mpinzani.
  6. BLUE DOG

    JamiiForums Tanzania Asiye kuwa na uchungu na mtoto wake au jamaa au Watanzania wenzake au Binadamu mwenzake awe wakwanza kumrushia Askofu Gwajima Jiwe

    Salaam wandugu. Waungwana husema , Uchungu wa mwana aujua mzazi Sasa alichokisema Askofu Ngwajima amekisema kwa moyo wa dhati kabisa na kwa uchungu mkubwa kuonyesha jinsi gani mtoto alivyo wa thamani kwa aliye naye Na kila mzazi yuko radhi kupigania uhai wa mwanae kwa gharama yoyote...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaojiita 'Jumuiya ya Maridhiano' kwanini kwenye hotuba yao yote,haijagusia matendo ya utekaji

    Hawa ndio wanafanya Hasira ya Wananchi juu ya Serikali, CCM na Rais iwe juu Kila siku. Kila siku Mungu anazidi kuwachanganya ili Watanzania wajue Watekaji na Wauaji wao ni watu gani Et Jumuiya Hotuba nzima inajadili Vijana wa Kenya ! Hii ni Aibu.
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Utajisikiaje kama Baba Yako anashushwa kwenye gari, halafu kesho unasikia amekufa

    "Mfano huyu kibao, Unajisikiaje kama baba yako anashushwa kwenye gari halafu anakutwa amekufa" "Kuna huyu Mdude, kama mume wako anakuja kuchukuliwa nyumbani halafu mpaka leo haonekani, unajisikiaje" Hizi ni nukuu ya baadhi ya maneno ya Askofu Gwajima. Niwaulize wote mnaopinga alichokisema...
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanafiki utekaji na mauaji yalipotamalaki walinyamaza

    Wana siasa uchwara walinyamaza kipindi mauaji na utekaji ukipamba moto. Walinyamaza kwakuwa waliotekwa hawakuwa ndugu zao,hawakuwa na sababu ya kuwasemea pengine waliona waliotekwa au kupoteza maisha ni vikaragosi tu. Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana

    Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu matukio ya utekaji tunahitaji teknolojia ya satellite ili kuwatafuta na kupata watu wote waliopotea

    Technology ya satellite ndio njia pekee ya kuwatafuta watu wote waliopotezwa. Tukio la hivi karibuni la Mdude Nyagali kuvamiwa na majambazi watekaji wauaji usiku wa manane nyumbani kwake . Vyombo vya ulinzi vilivyopa kutulinda vimeshindwa kujua wako wapi Raia wake hatuko salama tena.
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Uchunguzi wa gazeti la PAMBAZUKO kuhusu Shambulio la KITIMA, Ni wazi Waliomteka Mdude Ni walewale

    Baada ya Shambulio la KITIMA , RPC Muliro akajiwahi kutoa Taarifa yenye lengo la kupotosha . Baada ya Shambulio la Mdude, RPC Mbeya akajiwahi nayeye kutoa tamko kwamba hawajamkamata Mdude. Sasa haya ni maneno niloyanukuu kwenye habari chunguzi za PAMBAZUKO kuhusu Shambulio la KITIMA...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la kupigwa kwa kiongozi wa dini na kutekwa kwa watu na kupiga wananchi bila sababu watashindwa vipi kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu

    Kwa haya yanayoendelea mnapaswa kuyachukulia kama kweli nchi inahitajika mabadiliko makubwa kwenye mamlaka ili kuirudisha Tanzania katika ubora wake wa zamani kipindi cha nyerere. Kama watanzania mtataka mabadiliko haya mnapaswa kuhamasisha mabadiliko hayo ikiwemo kuelekea kwenye uchaguzi kwani...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuumiza, kutesa na kuua watu wasiokuwa na hatia ni chukizo kwa Muumba wetu

    Tabia ya kuumiza, kutesa na kuua watu wasiokuwa na hatia ni chukizo kwa Muumba wetu. Maasi yanapozidi, Mungu hutoa adhabu kali kwa hilo Taifa. Kwa sasa ni kawaida sana kusikia mtu katekwa, kateswa na hata kuuawa na watu wasiojulikana na wengine wanajitambulisha kuwa ni polisi ila hakuna...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu Paul Mpandiko wa shule ya Sekondari Dodoma auawa na watu wasiojulikana

    Mwalimu Paul Mpandiko, gwiji wa Book Keeping, mpenda mazoezi, asiye na makuu. Alipotea tangu juzi, leo mwili wake umekutwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ukiwa na majeraha ya mapanga. "kifo ni kifo tu" Samia Suluhu Hassan.
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wangu SAMIA: Utashinda, lakini likemee jambo hili na kuwachukulia hatua kali wahusika

    Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaokupenda sana, na kukuombea ufanikiwe. Lakini naomba suala la utekaji na mauaji yenye mlengo wa kisiasa ulichukulie uzito mkubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Utakumbuka kuwa mwaka ijana uliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze matukio ya watu...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa huduma za kifedha apotea katika mazingira ya kutatanisha Arusha. Mke wake asimulia kilichotokea

    Wakuu, Mfanyabiashara wa huduma za kifedha (wakala), Davis Mandari (48), mzaliwa wa Kilimanjaro na mkazi wa Kwa Mrefu, jijini Arusha, ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Inadaiwa kuwa kabla ya kutoweka, alituma ujumbe mfupi kwa mke wake akidai kuwa amechukuliwa na jeshi la...
  18. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunataka uchunguzi haraka kutekwa kwa raia wawili Kigoma na Dar es salaam na uzembe wa jeshi la polisi

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kulaani vikali kutekwa kwa wananchi wawili Dar es Salaam na Kigoma katika mazingira yanayotia shaka, huku Jeshi la Polisi likionyesha uzembe wa hali ya juu katika kushughulikia matukio haya. Matukio haya yanatoa picha ya wazi kwamba ama...
  19. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Mwanza: aomba rift kwenye gari la shule na kuwateka watoto wa chekechea, ataka hela ili awaachie

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU MWENYEZI Kamanda mtafungwa ndo kayasema hayo Japokuwa maelezo ya kamanda hayajitoshelezi lakin ndo kasema hivyo =============== Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Modern iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela jijini Mwanza wametekwa na kupelekwa kusikojulikana na mtu...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

    Wakuu, Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake. Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya...
Back
Top Bottom