utekaji na mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hotuba lake lote kakumbatia Utekaji na Mauaji yalofanyika kabla ya Oktoba 29!! Watanzania wa sasa sio wajinga!!

    Yaan Matukio ya Utekaji na Mauaji yametokea mengi kabla ya Oktoba 29. Ujifanye kuja kutoa pole za walouliwa Oktoba 29?. Mh Polepole umemteka . Mzee Kibao alouliwa, ukajifanya Tume ya Uchunguzi... Unadhan unaongea na watoto wako???. Siku Zenu zimekwisha kufika, Huu Moto hauzimiki mpaka pale...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka haki zinazogusa maisha yao. Utekaji na mauaji havikubaliki kamwe

    Moja ya jambo aloingizwa Mkenge Hayati Magufuli akaja kushtuka Mwishooooni kabisa akiwa amechelewa ni Masuala ya Utekaji na Watu kuokotwa Ndani ya Viroba, kutowadhibiti walojaribu Kumuua TUNDU LISSU Binadamu ameumbwa kuumia linapokuja suala la UHAI WA MWENZAKE. Kujenga Mabarabara, Mwendokasi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bibi wa Deo Soka: Nashindwa kula nabaki kulia tu, waniletee hata maiti ya mjukuu wangu nikazike

    Ukiyasikia maneno anayoyasema huyu bibi yake na Soka ambaye alimlea tangu mdogo hadi anakuwa inaumiza sana. Soka amepotea imepita mwaka na miezi 2 ambapo alitekwa Agosti 18, 2024 familia yake haifahamu wapi amepelekwa mtoto wao. Nyie watekaji mliomteka Soka kumbukeni dunia ni duara ipo siku...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Amiri jeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji napata wakati Mgumu kumpa kura Yangu

    Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea. Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

    Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi. ============ Ndugu, Watanzania Wote, Mabibi na Mabwana, UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na...
  8. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Sirari: Wananchi wampambania mwenzao asitekwe!

    Hali ilivyo Sirari usiku huu baada ya Watu wasiojulikana kumteka mtu wananchi wamekomaa wakafunga barabara dakika ya mwisho watekaji ikabidi wakimbilie kituo cha Polisi Tarime ili kujiokoa. Muda huu Sirari tarime baada ya tukio la kutekwa kwa mmoja wa wafanyabiashara, mapambano ya polisi na...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Aunty Lulu: Bora tukutane na Mchawi kuliko Polisi Tanzania. Atakuteka, atakubaka, atakuua na kukutupa na hataulizwa. Polisi sio kimbilio tena!

    Kaandika hivi kwenye Page yake ya Instagram 👇 "Hii ndiio Tanzania ya samia na wanaompoteza na Hawa ndo polisi .😭😭😭tutoke jaman achana na kaul sa kusema wanaowashauli hawapo Tanzania Mbn mm nipo Tanzania ?sativa na wanaharakat wengine wapo Tanzania." MY TAKE: Namuunga mkono. Ukikutana na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Twaha Mwaipaya: Kijana Jerison Keraliyo miaka 18 ametekwa Kishili center Mwanza, jana Oktoba 9, 2025

    Hali imezidi kuwa mbaya! Watekaji wamekuwa kama wafalume katika nchi, kufanya ukatili na kupoteza watu kila siku. Kijana mdogo kama huyu mnamteka kwa lipi hasa. Nyie watekaji acheni ushamba! ================ Anaitwa Jerison keraliyo. Umri miaka 18 Mkazi wa kata ya kishili Mtaa kishili B...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutokupinga wauaji na watekaji ni kushiriki nao utekaji na mauaji. Tena kheri wauaji na watekaji kuliko wanaonyamazia maovu

    Hamjambo! 1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini. Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano. 2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki. 3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo, Tanzania itakuwa nchi ya hatari zaidi Afrika kuliko hata South Africa

    Kwa yanayoendelea nchini, bila shaka Tanzania inaongoza kuwa ni nchi hatari zaidi kwa upande wa Africa mashariki maana kila kukicha matukio ya utekaji yanaongezeka, hofu zinazidi kutanda na watawala hawaoneshi nia yoyote kukabiliana na hali iliyopo au kutoa tamko lolote kwa yanayoendelea hapa...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tumefikia pabaya sana. Kukemea uovu, ufisadi na wizi wa mali za umma mtu anamalizwa na kutekwa!

    Ninakaa natafakari sana Je, hii ni CCM iliyopogania uhuru wa taifa hili? Kwa nia njema kabisa mtu anatoa taarifa kuwa kuna mtu alikwapua bil zaidi ya 60 kwa kusambaza sare hewa. Ni kosa la jinai pia pesa hii iliyokwapuliwa ingeweza kujenga vituo vya afya zaidi ya 20. Kusema ukweli kuwaa katiba...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bishop Kabigumila: Nimenusurikwa kutekwa, baada ya kupost video ya Kapten Tesha

    Siku ya Jumapili nilipokwenda kanisa, nikashusha watoto pale kanisani, Mungu akanipa hekima niwashushe kwanza watoto niende saloon kunyoa ndevu, haaa ! Kumbe wamejazana kila sehemu hawa watu hakuna chochote hakuna jambo la maana, wapo tu wananyemelea. Nilipofika pale saloon walikuwa wamshafika...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Usiku huu wananchi wa Kakola, Kahama wafunga barabara kushinikiza vijana wanne waliotekwa leo kupatikana

    Usiku huu huko Kakola Bulyanhulu raia wameandamana, barabara zimefungwa. Raia wanamtaka mtu wao ambae ametekwa leo na watu wasiojulikana moja wapo wa kijana aliyetekwa anaitwa Ibrahim Mfangavo Taratibu tunaelekea pazuri Taarifa ya awali aliyoitoa Hilda Newton HABARI MBAYA Leo Wilaya ya...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hilda Newton: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chadema Wilaya ya Busega ametekwa na watu wasiojulikana

    Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii ================== Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu wasiojulikana jioni ya leo tarehe 01/10/2025 akiwa kazini kwake NYAMIKOMA Wilaya ya Busega.Walioshuhudia tukio...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kiduku Ofisa Ngiri mtumiaji wa mtandao X zamani twitter achukuliwa na watu wasiojulikana

    Free Kiduku aka Ofsa Ngiri. Kiduku ni kijana mjasiriamali ambaye pia huwa anatoa maoni kuhusu utawala mbovu wa nchi yetu. Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti. Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji.
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tumefika Pabaya — Hii sio life tena, this is straight-up madness!

    Wakuu, naomba niseme kwa uchungu. Hii issue ya dada yetu Sharon Mabula imenishtua vibaya sana. Imagine mtu anatekwa, anateswa, halafu mwili wake unachomwa moto just to kill evidence. Bruh, this ain’t normal life, hii ni movie ya horror, and it’s happening right here in our yard. Hii siyo tu...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Sasa ni heri upambane mwenyewe na Mungu wako juu ya Usalama wako na sio kutegemea Jeshi la Polisi!!

    Natumia kisa Cha Mh Polepole kuhusu Ndugu yake kufatiliwa na Watekaji , kujenga Hoja yangu. Mh Polepole anasema, Baadae alimshauri Ndugu yake kurepoti suala Hilo Polisi. Bahati mbaya sana, Kwa Mujibu wa Polepole, Kila Kituo Cha Polisi alichoenda, akawa anaambiwa Nenda Kituo fulan, suala lako...
Back
Top Bottom