utawala

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

    Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali. Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
  2. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kataa kutumika kupitia sherehe ya mwaka mmoja wa utawala wako. Kuna pesa zinachangishwa

    Mama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana. Kuna barua zinazambazwa kuomba mchango wa kufanikisha sherehe za mwaka mmoja toka...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi (Mataifa) yanayoingiliana kimaeneo au kiutawala

    Kuna baadhi ya nchi au mataifa yanayo ingiliana kimaeneo au utawala baadhi ya Mataifa hayo ni; 1. Nchi zenye maeneo katika bara la Asia na Ulaya. Ni Urusi na Uturuki. Yaani maeneo haya yanapatikana kati ya ulaya na Asia 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Mali limeidhinisha Utawala wa Jeshi wa miaka mitano

    Wabunge wa Mali leo Jumatatu wameidhinisha mpango wa kuruhusu utawala wa kijeshi kutawala kwa hadi miaka mitano. Kwa mujibu wa waandishi wa habari wa AFP hatua hii inajiri licha ya uwepo wa vikwazo vya kikanda vilivyowekwa nchini Mali kutokana na kucheleweshwa kwa uchaguzi. Wabunge 120 wa...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Utawala wa kijeshi wa Mali washindwa kulipa madeni yake

    Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi. Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Taliban umetangaza wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo endapo tu watatenganishwa na wa kiume

    Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti. Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
  8. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Historia ya Misri: Wafalme waliooa dada zao na habari zisizojulikana

    Misri ni maarufu kwa piramidi zake kubwa, miili iliyozikwa ndani yake na hazina zake za dhahabu. Lakini ni kiasi gani tunajua kuhusu Misri ya kale? Je, Piramidi Kuu ilijengwa na watumwa? Maiti ziliandaliwaje? Taarifa 5 Bora zilizoandikwa na Joyce Tildesley, mtafiti kuhusu Misri. Usipande...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Jenister Mhagama, Waziri wa Utumishi wa umma na Utawala Bora

    Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na wewe leo wakati huu unapoenda kushika madaraka ya wizara mpya lakini kwa kweli nikili wazi kuwa kwako...
  10. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja. Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
  11. chazachaza

    JamiiForums Tanzania 2025 ni mwaka wa historia, upinzani wanakwenda kuchukua madaraka ya utawala. Kwa Mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa taifa hili

    Kwanza nianze na chama tawala CCM, kwa hali ilivyo hadi sasa si shwari ndani ya chama cha CCM, kuna mpasuko mkubwa ,mpasuko huu umesababishwa na kutofautiana kiitikadi na misimamo. Kundi la kwanza ni lile lililokuwa kinyume na JPM, hili kundi lilikuwa halikubaliani na sera ya kujitegemea ya JPM...
  12. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kutimuliwa Job Ndugai Uspika na utawala badala ya kutimuliwa na Wabunge

    Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake. Tunaweza kusema baada ya kutofautiana na spika na Spika kujidhalilisha kwa kuomba kinyonge msamaha kwa jambo...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Assessment ya Utawala wa Awamu ya 6 tangu Machi hadi leo Desemba 31, 2021. So far so good, hongera Samia!

    Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM. Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, Utawala Awamu ya 5 ulikuwa hatarishi!

    Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi. Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa. Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tujukumbushe mambo yaliyopigwa marufuku utawala wa awamu ya 5

    Mambo gani unayakumbuka yalipigwa marufuku wakati wa Utawala wa awamu ya 5. Mimi naanza na Baa mwisho saa tano usiku. Karibu uendelee
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

    Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri...
  18. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Kumtangaza Rais akiwa katika mavazi ya kijeshi katika utawala wa kiraia ni 'inferiority complex'

    Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama hichohicho anatangazwa kwenye mabango barabarani na mitaani akiwa amevaa mavazi ya kijeshi kuhadhaa uma...
  19. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Rubondo yageuka kitega uchumi kwa askari game

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza askari wa hifadhi za wanyamapoli walio waadilifu, kwa kuendelea kusimamia kulinda urithi wa maliasili tulizo nazo ikiwemo hifadhi ya Taifa ya rubondo. Kwa wasio ifahamu rubondo ni kisiwa kinachopatikana ndani ya ziwa Victoria. wilayani chato, Mkoani Geita...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

    Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
Back
Top Bottom