Utawala wa kijeshi wa Mali washindwa kulipa madeni yake

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
1644909020785.png

Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi.

Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi.

Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres, umechapisha kwa wawekezaji kuashiria kwamba Mali haijalipa madeni yake katika soko la mitaji ya kifedha la umma kufikia kima cha faranga bilioni 53 (euro milioni 81), chapisho la mwisho likitolewa Ijumaa iliyopita.

Mnamo Februari 2, Mali ilitangaza imeshindwa kulipa malipo yake kuhusiana na mikopo miwili ya hati za dhamana kufikia jumla ya faranga bilioni 2.6 kutokana na vikwazo.

Januari, mwaka huu, Jumuiya ya Uchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS), iliiwekea vikwazo Mali kujibu hatua ya utawala wa kijeshi kuahirisha uchaguzi ulioahidi tangu 2020 wakati ulipotwaa madaraka, ambayo iliungwa mkono na Ufaransa, Marekani na Umoja wa Ulaya.

======

Mali’s ruling military junta, which is being squeezed by economic sanctions, has defaulted on several payments on the regional financial market, according to West African finance officials.

Since January 31, regional debt planning agency Umoa-Titres has published five notes to investors indicating that Mali has “not been able to settle its financial commitments on the public securities market (MTP)”.

The amounts due total 53 billion CFA francs (81 million euros).

“It should be noted that this payment incident occurs in a context where the state of Mali is subject to sanctions taken against it by the conference of heads of state and government of the Economic Community of West African States (ECOWAS),” Umoa-Titres said in its last note on Friday.

Umoa-Titres is the management agency for public securities in the region, which includes the eight West African countries using the CFA franc as their currency.

On February 2, the Malian government announced that it had not settled payments related to two bond issues, amounting to more than 2.6 billion FCFA, “because of restrictions”.

Mali “has always honoured its commitments on the financial market (and) wants to reassure investors of its willingness and ability to meet its commitments,” the finance ministry said in a statement.

In January, ECOWAS responded to the junta’s postponing of elections promised since 2020, when the military took power, by imposing a trade embargo and closing borders with Mali, in a move backed by France, the United States and the European Union.

ECOWAS leaders also halted financial aid and froze Mali’s assets at the Central Bank of West African States.

The measures followed a proposal from Mali’s junta to stay in power for up to five years before staging elections despite an earlier commitment to hold a vote on February 27.
 
Mkuu hizo figure ziko sawa kweli? Kuna nchi yoyote afrika inayoweza kulipa kiasi hicho cha pesa kwa wakati mmoja? Maana hiyo ni budget ya tz kwa miaka mingi ujue?
 
Mkuu hizo figure ziko sawa kweli? Kuna nchi yoyote afrika inayoweza kulipa kiasi hicho cha pesa kwa wakati mmoja? Maana hiyo ni budget ya tz kwa miaka mingi ujue?
Nadhani wewe ndio huelewi Mambo ya fedha. Kiasi Cha pesa ni Franga Bilioni 53 za Mali Sawa na Euro Milioni 81.

1Euro = 2617 Tzs
81,000,000Euro = ? Tzs

Hapo unapata:

Tzs (81,000,000 × 2,617)

= Tzs 212B

Hizo pesa ni Sawa na Bilioni 212 za Madafu na Kibongo.

Sasa tueleze,unaposema kwamba Bilioni 212 ni Sawa na bajeti ya Tanzania miaka Mingi unamaanisha Nini? Bajeti ya Tanzania ni Bilioni 36,000 (Tzs 36Trillion) harafu useme Hizo 212 Bilioni ziwe bajeti ya Nchi?

Bajeti ya Burundi TU ni zaidi ya hapo.

Kama ulikimbia hesabu NI Bora uwe unajikalia kimya TU kijana wangu laa sivyo utawatia Aibu wajukuu zako na wanao mbele za watu.
 
Nadhani wewe ndio huelewi Mambo ya fedha. Kiasi Cha pesa ni Franga Bilioni 53 za Mali Sawa na Euro Milioni 81.

1Euro = 2617 Tzs
81,000,000Euro = ? Tzs

Hapo unapata:

Tzs (81,000,000 × 2,617)

= Tzs 212B

Hizo pesa ni Sawa na Bilioni 212 za Madafu na Kibongo.

Sasa tueleze,unaposema kwamba Bilioni 212 ni Sawa na bajeti ya Tanzania miaka Mingi unamaanisha Nini? Bajeti ya Tanzania ni Bilioni 36,000 (Tzs 36Trillion) harafu useme Hizo 212 Bilioni ziwe bajeti ya Nchi?

Bajeti ya Burundi TU ni zaidi ya hapo.

Kama ulikimbia hesabu NI Bora uwe unajikalia kimya TU kijana wangu laa sivyo utawatia Aibu wajukuu zako na wanao mbele za watu.
Sorry nilisoma euro billion na sio millipn ndo nikashangaa
 
Back
Top Bottom