Zifahamu nchi (Mataifa) yanayoingiliana kimaeneo au kiutawala

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,037
20,337
Kuna baadhi ya nchi au mataifa yanayo ingiliana kimaeneo au utawala baadhi ya Mataifa hayo ni;

1. Nchi zenye maeneo katika bara la Asia na Ulaya.
Ni Urusi na Uturuki. Yaani maeneo haya yanapatikana kati ya ulaya na Asia

2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni.
Nchi hizo ni Armenia, Kupro na Georgia.

3. Nchi ambazo huhesabika kama zipo Eneo la la China au Huzaniwa ni Maeneo katika Taifa la China.
Nchi hizo ni Hong Kong na Macau.

4. Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari , Ceuta na Melilla
Italia: Pantelleria na Pelagie
Ufaransa: Mayotte na Réunion
Uingereza: · St. Helena na Diego Garcia
Ureno: Madeira
Maeneo hayo yapo katika Mataifa hayo yaliyo orodheshwa juu lakini husesabiwa kama maeneo yaliyopo ndani ya Bara la Africa
 
Ungetia nyama mkuu hivi ilivyo haitawanufaisha wengi
 
kwa hapa kwetu Zanzibar ndio madon, sisi ni kama kipande kikubwa cha nchi yao ambayo mtanganyika anaonekana kama mtu wa taifa jengine akifika Zenji.
Hahahha na sasa mmepata muwakilishi kabisa.

Huenda mataifa mengine yanajua Tanzania inaongozwa na kiongozi kutoka nchi nyingine.
 
Umeenda mbali,Kiluvya ipo wilaya ya kisarawe Pwani na ipo wilaya ya ubungo Dsm
Makoka na bonyokwa Dar,zipo ilala na ubungo pia
Hivyo niongeze nyama nyama kidogo eti.
 
Back
Top Bottom