utawala

  1. S

    JamiiForums Tanzania Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

    Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa. Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Maji: Utawala corrupt unatuletea shida, Mchina akamatwa akichepusha maji mto Ruvu kumwagilia mboga

    Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa watu wachache. Leo Nipashe wametoa taarifa kuwa kuna mchina amekamatwa anachepusha maji ya mto ruvu...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja. Mwenyewe...
  4. msovero

    JamiiForums Tanzania PART 2: Haya hapa makundi yanayofurahia ama kuridhishwa na utawala wa awamu ya sita

    Baada ya kuangazia makundi ya watu wanaochukia utawala wa Rais Samia sasa ni zamu ya makundi yanayoridhishwa ama kufurahishwa na utawala wake. 1. WAFANYABIASHARA Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita wamepita kwenye dhoruba na sekeseke zito katika biashara zao ikiwemo kubambikiwa kodi...
  5. msovero

    JamiiForums Tanzania PART 1: Hawa hapa watu wanaomchukia na kuchukia utawala wa Rais Samia

    Katika siasa ni kawaida kabisa kila Rais anayeingia madarakani kukubalika ama kutokukubalika na makundi mbali mbali ya watu. Kadhalika, Rais anapokuwepo madarakani huwa na mema yake na madhaifu yake pia, na huu ndio msingi wa kukubalika au kutokubalika kwake kwa wananchi anaowaongoza kulingana...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Demokrasia na Utawala Bora

    Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora. Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sakafu za nyumba katika zama za Utawala wa Warumi

    Vipande vya vigae (mosaic) vilipangwa kuleta picha. Huhitaji zulia huu ndiyo urembo wa nyumba. Hii picha ikipatikana Uturuki.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

    Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo. Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini. Naomba ujiulize maswali yafuatayo kisha ufanye yakupendezayo mama angu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utawala wa namna hii huwa 'nauchukia' na 'naudharau' mno

    Umeshasema kuwa mwisho wa Wamachinga kuwa maeneo wasiyotakiwa ni tarehe 18 Oktoba, 2021 kwanini tena msogeze Siku mpaka tarehe 30 au 31 Oktoba, 2021? GENTAMYCINE nachukia Watu (hasa Watawala) wasio na 'Misimamo' na wanakuwa 'Kigeugeu' katika ama Matamko au Mwamuzi yao. Kama mnadhani hii...
  10. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Kama nikiulizwa kuwa nimeridhika na Utawala wa Rais Samia au ninamkumbuka Hayati Magufuli

    Tutakuwa na Rais Samia kwa kipindi cha miaka takriban mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu kama mambo yakienda hivi bila Mungu kufanya yake. Inshallah naomba asifanye. Kama nikiulizwa leo hii je unauonaje Utawala wa Samia? Je, kwa jinsi Samia anavyoongoza unaona ni vema Magufuli angekuwepo? Unajua...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya: Doa jeusi kwa utawala wa Hayati Magufuli

    Hukumu iliyotolewa jana kwa Ole Sabaya, kuwa alikuwa jambazi la kutumia silaha kupora mali za wananchi, vile vile limeupaka matope utawala wa Magufuli. Kwamba mteule wa Rais, akafanya mambo kinyume na utawala wa sheria na mbaya zaidi ujambazi, ni vigumu kueleweka kirahisi kwa nini haya...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Ki-ndugu na Ki-Ukoo unaitafuna Tanzania

    Kama tunataka maendeleo lazima tuondoe utawala wa kindugu ndugu katika taifa letu. Haya Mambo hayakufanyika Nyerere akiwa Rais baada ya kufa tu ndio yalianza!! Kwani mnafikiri yeye alishindwa kumteua mkewe kuwa Waziri? Lakini alifuata maadili ya kiuongozi. Baada ya Kufa wakaanza kupeana...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  14. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi tatizo ni nini!
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ukongwe wa CCM, Januari Makamba ametuonesha udhaifu wa mfumo wa utawala

    Ni udhaifu sana kiongozi kutumia madaraka ya kisheria kutimiza haja zake bila kujali hisia za wananchi. Mabadiliko ndani ya Tanesco yalikuwa muhimu lakini siyo kwa aina hii ya watu wapya ndani ya shirika. Waziri Januari ameleta tena watu wale wale ambao waliiliza nchi hii kwa wizi. Siyo kwamba...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani: Waganda waandamana kupinga utawala wa muda mrefu wa Rais Museveni

    Waganda waishio Marekani ambao ni wakereketwa wa chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN), wakipinga utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni Kiongozi wa maandamano hayo aliyekuwa NewYork, Mathias Mpuuga...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mashauri kumi (10) juu ya Utawala Bora Tanzania

    MASHAURI KUMI (10) JUU YA UTAWALA BORA TANZANIA Nawasalimu kwa Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwangu mimi uzalendo sio kuvaa bendera, bali ni kufanya mambo anuai kwa ajili ya maendeleo ya taifa na wananchi wake kwa ujumla. Kutokana na chembechembe za Uzalendo zilizonikaa moyoni...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Katika utawala wake, hayati Magufuli hakwenda New York kuhutubia UNGA, je tulirudi nyuma kiuchumi na kisiasa?

    Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato. Safari hii tumewakilishwa na mkuu wa nchi. Je, ndio kusema taasisi kubwa kama Imf...
  19. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania PICHA: Cheti cha chanjo dhidi ya pandemic kipindi cha utawala wa Sultan Abdulhamid II wa Ottman mwaka 1908/1326 AH

    Habari wadau...! Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri. Chanjo ilikuwa dhidi ya ugonjwa wa Plague ugonjwa ulisumbua sana dunia ukaenea Afrika mpaka...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Kwa utawala huu tutegemee Muswada wa Sheria kuzuia wasikilizaji wa kesi Mahakamani kuingia bila kibali na simu

    Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii. Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali...
Back
Top Bottom