utawala

  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Raia waandamana kupinga utawala wa Kijeshi Sudan

    Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya uMagufuli na Samia ni upi umejaa wahuni zaidi? Tuorodheshe matukio ya kihuni

    Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli Kwa...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno. Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge. Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kijeshi nchini Mali yaahidi kurejesha utawala wa Kiraia ifikapo 2024

    Watawala wa kijeshi wa Mali wameahidi kurejeshwa kwa utawala wa kiraia katika kipindi cha miaka 2, kufuatia kuandamwa na vikwazo kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi, ECOWAS Vikwazo hivyo ni pamoja na kufungwa kwa mipaka ya ardhi na anga, kusimamishwa kwa miamala yote ya kibiashara na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma..! Urusi ndiye mtawala wa Dunia ajaye, na utawala huu utaamua utawala wa milele ambao wakaliwa na...

    Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe DANIEL 1: 31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha. 32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania 2025, Tutawauliza, mlituahidi nini na Je,mmetekeleza.? Watajibu kwa uhakika, ni ndiyo, tulimnanga na kuusema kwa nguvu zote utawala wa JPM

    Sio wabunge na mawaziri, Bali hadi wasomi na Maprof wetu wote, kazi yao sasa si kushighuka kutatua matatizo yetu kama nchi! Kazi yao kubwa ni kuunanga utawala wa miaka mitano iliyopita na kumsema kwa kejeli na dharau nyingi Hayati JPM ambaye sasa haishi katika ulimwengu huu tulionao, Je...
  8. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Safari ya matumaini na Rais Samia juu ya haki za Binadamu na utawala bora

    Pitia hili japisho kwa utulivu kisha niambie kwa umri wako ni Rais yupi amefanya hata nusu ya haya,
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) walaani Utawala wa Mali kufungia vyombo vya habari

    Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amekosoa uamuzi wa Mali wa kupiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa na kuwataka watawala wake wa kijeshi kubadili uamuzi wao. "Tumesikitishwa sana na uamuzi wa Mdhibiti wa Vyombo vya Habari wa Mali kuifungia Radio France...
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora haijawahi kulaani mauaji ya raia?

    Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi. Hata hivyo imeonesha...
  11. dubu

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Afrika: Wananchi wengi wanapenda Utawala wa Kidemokrasia kuliko wa Kijeshi, hawapendi Mapinduzi

    Afrika imekumbwa na msururu wa mapinduzi ambayo yanatishia kuirudisha nyuma miaka ya 1980 na enzi za utawala wa kijeshi. Burkina Faso, Chad, Guinea, Sudan na Mali zote zimeshuhudia serikali ikipinduliwa na nafasi yake kuchukuliwa na jeshi. Hali inaweza kuwa ya kutisha zaidi, kwa sababu...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

    Utangulizi Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo. Mambo Mawili 1. Kushamiri kwa mauaji na utekaji 2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

    Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu. Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

    Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda limeonyesha wengi wetu hatupo tayari kwa utawala wa kisheria

    Nawasalimu kwa jina chama pendwa, CCM. Leo nami natumia haki yangu ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT. Tangu jana mitandaoni suala kubwa lililoibuka ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Ndugu Makonda kudai kuna vitisho dhidi ya maisha yake. Watu wengi sana wameongelea kuhusu...
  18. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika Taifa lolote kuendelea, Viongozi msilambe asali mkajisahau

    Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Hapa ndipo tunapopata aina mbili za utawala yaani Utawala Bora na Bora Utawala. Hii Bora Utawala ni aina ya utawala isiyofuata misingi ya Sheria na ikishamiri sana kwenye taifa lolote basi huenda...
  19. ward41

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Mpinga Kristo u karibu

    Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho. Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Athari za kutokuwa na Utawala Bora

    Nini Maana ya Utawala Bora? Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi kijamii au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu usawa na...
Back
Top Bottom