Katika ngazi za Familia nyingi za Kiswahili utakuta Mtoto mwenye Mafanikio ya Kipesa kuliko Wenzake hata kama ni wa mwisho Kuzaliwa ndiyo anasikilizwa na Wazazi hata kama wale Wasiokuwa na Pesa ni Werevu na Wamesoma kuliko Yeye.
Katika Kamati mbalimbali za Jumuiya za Makanisa ( hasa langu la...
Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya.
Akihitimu mafunzo...
Katika utaratibu wa kawaida huwezi kuingia kwenye ndege bila barakoa. Huu niutaratibu mzuri sana ambao tumeuzoea tu. Cha kuchekesha hapo ni kwamba baada ya kufika juu, abiria mneletewa chakula na barakoa zote zinavuliwa na maisha yanakuwa kama kawaida.
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
Zijenge ofisi makao makuu?
Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
Zinunue vitendea kazi vya chama...
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu.
Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
Nashauri kwa wale Watanzania watakaotaka kufanyiwa chanjo serikali iweke utaratibu na isisubiri mpaka wapate hizo chanjo.
Mfano wazee wa wahudumu wa afya wako hatarini zaidi basi waambiwe mapema utaratibu mfano kama vitambulisho vya taifa vitatumika ni vizuri wakajua mapema. Lakini vilevile...
Tarehe 17, Juni mwaka 2020, mkutano wa kilele wa mshikamano dhidi ya COVID-19 kati ya China na Afrika ulifanyika, ambapo rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la “kujenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika sekta ya afya kati ya China na Afrika”. Katika mwaka mmoja uliopita, China imekuwa...
Nitangulize kupongeza wote waliohusika kubadili utaratibu wa kutoza adhabu za vyombo vya usafiri barabarani badala ya ule wa awali ambapo mahakama pekee ndio ilikuwa inatoza.
Hakika, walikuwa na nia njema ya kuondoa usimamaji wa vyombo vya usafiri kusubiri hukumu ya mahakama.
Pamoja na nia...
Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka.
Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za...
Wajemeni eeh
Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia!
Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko!
Najua humu kuna wengi tu...
Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar...
Kumekuwa na ubishi kuhusu kama kwa sasa Samia Suluhu anaongoza awamu ya tano au ya sita. Labda hilo sio jambo la maana. Jambo la msingi ni kwamba rais Samia Suluhu anaongoza awamu ambayo haitambuliki kikatiba kama ni awamu yake ya kwanza ya uongozi, bali amechukua madaraka ya uraisi kutokana na...
Mazoea yana tabu na ukikosa kitu ama jambo ulilolizoea pia huja maswali.
Mimi jitombashisho nataka kujuzwa na TRA ni kwanini takribani miezi miwili sasa hamtoi taarifa juu ya mapato ya kila mwezi?!
SERIKALI imeaswa kuweka utaratibu wa kuwatambua watu wanaookota makopo nchini na kuwaingiza kwenye ajira rasmi ili kuwapa motisha watu wengi zaidi kufanya hiyo kazi ili kuboresha kazi zao katika kuendelea kuimarisha sekta ya mazingira.
Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nipe Fagio Ana Rocha...
Tarehe 19, Mei, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa ngazi ya juu kuhusu “kuhimiza ujenzi mpya wa Afrika baada ya janga la COVID-19 na kuondoa mzizi wa mgogoro”. Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi aliendesha mkutano huo.
Ikiwa nchi mwenyekiti wa zamu wa Baraza la...
Mahakama ya Kitamaduni nchini Zimbabwe yamtaka Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe kufika mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya mazishi “yasiyofaa” ya hayati Rais Robert Mugabe.
Grace Mugabe anatuhumiwa kwa kuenda kinyume na utamaduni wa jamii yao kwa kumzika mume wake katika boma...
Najua wengi wetu tupo humu tumepitia changamoto za mahusiano. Nisiwachoshe ipo ivi, kuna Dada nimeanza nae mausiano sasa katika mausiano yetu, nataka kuishi nae mke na mume na huyu Dada ni mzaliwa wa Mwanza yani msukuma, wazazi Wake wapo Mwanza. Na, mimi ninachokitaka nijue utaratibu wa kupeleka...