Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue kinachoendelea. Kuna watu wanaongea kishabiki tu hata hawajui utaratibu itakayotumika!
1. What paying for...
Mhe. Rais tunakushukuru kwa tamko lako kuwa ukaguzi wa magari utarudi kama zamani. Naomba amri hii ingeanza hata leo.
TBS wamekuwa wanatumia nafasi zo vibaya kwa kuwatesa wananchi wanapofuata magari yao Bandarini.
Asilimia karibu 98 ya wateja hawajatoka bure bila kuambiwa kuwa gari yako...
Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo.
Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh...
Habari za wakati huu Wanajamvi wenzangu.
Mimi ni mfanyabiashara, sasa Naamini humu kuna wafanyabiashara, au waheshimiwa wahusika wa maeneo ya mwenge.
Ningependa kujua yale majengo mapya, maduka mwenge ,utaratibu gani unatumika kupata fremu pale, na je! Gharama zake zipoje?
Ningependa kujua...
Nina vitu nataka nitume kwenda mamtoni kwa ndugu yangu mmoja ila sasa nimeshangazwa na story za yule mtu wa posta kuniambia natakiwa niwe na document za TBS kwa baadhi ya vitu.
Kwa mtu mzoefu je, huu utaratibu upogo kweli au ndio mtumishi anataka kula kwa urefu wa kamba yake kupitia mimi...
Vyama Vikubwa vya Siasa nchini hasa vya upinzani vimekuwa vikilalamikia mchakato mzima wa uchaguzi kwenye nyanja zote, madai yao makubwa ni kuwa chama Tawala (CCM) kimekuwa kikibebwa na kupewa upendeleo wa wazi na mamlaka.
Vyama vingine vimekuwa vikinyimwa uhuru na haki sawa ya kuweza kufanya...
CCM inaenda kubadikisha katiba yake! Kwa habari zilizopo CCM inaenda kuwarudisha makati tawala kuwa wajumbe wa NEC, Utaratibu wa Makatibu Tawala kuwa wajumbe wa NEC uliondolewa na Hayati Magufuli baada ya kubadilisha katiba na wajumbe wa NEC kupatikana kwa njia ya kuchaguliwa kikanda.
Sasa CCM...
Wakuu heshima kwenu, Nina ndugu yangu yupo Mwanza mjini. He is a black sheep in our family. MATENDO Na vituko anavyo vifanya tumejidhihirisha kwamba ana matatizo ya akili.
Amevuta bangi Kwa Muda mrefu Sana ( Thanks God hatumii cocaine)
Huko Mwanza ni Kwa Bibi kizaa mama. Nyumbani kwetu ni Dar...
Mamlaka ya usalama na afya katika mazingira ya kazi(OSHA), moja ya majukumu yake ni kutoa mafunzo mbalimbali kwa wafanyakazi mahala pa kazi.
Tatizo ninalo liona ni pale mtu /taasisi inapohitaji mafunzo kwa wafanyakazi wake, unaambiwa jisajiri na kulipia gharama za mafunzo tena sio ndogo kuna...
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦.
Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa...
Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi.
Habari wakuu.
Naomba kufahamu utaratibu ukoje iwapo ndugu yako akifariki na akaacha bunduki aliyokua anaimiliki kihalali, je inarudishwa wapi ama inaweza kuuzwa kwa mtu mwingine ama kurithishwa kwa mtu mwingine?
Natanguliza shukrani.
Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro.
Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake.
Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje?
Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu?
Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika...
Kiongozi wa nchi yetu anapokuwa ni Rais anakuwa na mamlaka makubwa sana. Yeye hawajibiki popote na kwa yoyote.
Kwanini tusiwe na utaratibu kama wa Uingereza, India, South Africa, Canada. Tuwe na Rais au Waziri Mkuu amabaye atakuwa kiongozi wa taifa letu, ila atakaewajibika chini ya Bunge...
Habari za wakati huu ndugu Watanzania!
Yahusu kuomba kufahamishwa juu ya utaratibu wa uongezaji mishahara kwa watumishi wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu, nimekuwa nikisikia kuwa mishahara ya watumishi wa serikali huwa inaongezeka kila baada ya muda fulani.
Ningependa...
Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k
Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...
Habari Wana jamvini!
Nchi nyingi za nje ya Tanzania Kuna utaratibu ukishakata ticketi ukapanda kwenye basi hautasumbuliwa mpaka unafika pahala unapokwenda.
Ila Kwa Tanzania imekuwa Kero kubwa sana, ukipanda basi labda Dar mpaka ufike mwanza utakaguliwa ticketi na watu zaidi ya watatu tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.