Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,512
- 8,152
Huko KIA wananchi 34 wamebomolewa nyumba zao huku fidia ikiwa haijalipwa kwa madai taratibu za kibenki hazijakamilika. Mkuu wa mkoa anadai pia ni 'huruma ya mama' wao kulipwa fidia kwasababu ni wavamizi eneo hio!
Kama waliamua kuwalipa kupitia kodi zetu, kwanini wasingewalipa ndio wabomoe?
Kama waliamua kuwalipa kupitia kodi zetu, kwanini wasingewalipa ndio wabomoe?