Utapeli au upigaji wa wanaijeria

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
4,975
9,721
Hawa jamaa wamekua ni kwikwi duniani kote kwa utapeli. Nawaza pengine yawezekana utapeli kwao ukawa ni sehemu ya vinasaba kwa kitaalum DNA.

Kila siku wanakua busted/ kamatwa katika nchi tofauti tofauti na kurudishwa kwao.

KISA CHA MJANE WA MIAKA 54 ALIETAPELIWA USD 90,000 NA MNAIJERIA WA MKIA 20.

Kuna kisa fulani Mnaijeria mmoja Jina Emmaniel aliitapeli Bank moja huko Brazil kwa kuwauzia uwanja wa Ndege wa umma ulipo Naijeria.

Uandishi wangu sifuri
 
Nawewe fanya kama unaona ni rahisi
utapeli wao ni numbers game.

Tuma kwenye namba hii zinatumwa kwa watu million 1, asilimia 1% wanajaa ambao ni sawa sawa na 10,000/1, 000,000. asilimia moja ya asilimia moja wanatuma yani watu 100.
 
Back
Top Bottom