utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamawewe

    JamiiForums Tanzania Tashriff Luxury Coach acheni utapeli

    Hebu fikiria joto lilivyo kali unaenda kukata tiketi wanakwambia bus lao luxury lina AC. Lakini unasafiri Tanga hadi Mtwara hakuna AC na hata baadhi ya vioo havifunguki ovyo kabisa basi letu si la kupanda pia muwe wakweli mtoe mnachoahidi wacheni utapeli kama vipi bakini huko kwenu Tanga...
  2. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu utapeli mitandaoni na namna ya kuwatambua

    Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa. Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli. Namna ya...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kampala University ni kama utapeli, matokeo ya Wanafunzi 300+ wa Udaktari yana utata, Serikali itusaidie Wanafunzi

    Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya. Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kunani ITV kutumika kutangaza utapeli? Ilianza na Vanila Village Njombe, ikaja Kaylinda na sasa inatangaza Vanila village Zanzibar.

    Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar). Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
  5. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Wanaume kujifanya wanawake Bar

    Jamani, hivi karibuni nilipost instagram video tatu za vijana ambao wameshtukiwa baada ya kujifanya wanawake kisha kuwaomba pesa washkaji bar. Mademu hao vidume huwa wanategea mtu alewe kisha wanakubaliana naye kwenda kulala na ndipo ataomba pesa ya kinywaji, mara pesa ya kumnunua..nk..ndipo...
  6. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanachuo washtakiwa Kwa utapeli wa zaidi ya Tsh. Milioni 78 kupitia Mitandao ya Kijamii

    Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, na Bravin Osano Ombongi wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi kwa ahadi ya kuwatumia Karatasi zilizovuja za Mitihani Mbalimbali ya Taifa Hadi kukamatwa kwao...
  8. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Click Farms: Njia mpya ya kuwatapeli watu katika nchi zenye mishahara midogo

    Click Farms/Mashamba ya Kubofya/Kubonyeza. Haya ni maeneo, hasa katika Asia, ambapo matapeli "hufanya kazi" kwenye mamia ya simu za rununu kwa wakati mmoja kwa malipo duni. Bosi wao ni "mkulima wa kubofya au kubonyeza" ambaye ni kama "bwana shamba." Matapeli hawa hucheza video kwenye tovuti...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Idugunde nikihamia CHADEMA nitaleta mabadiliko makubwa sana. CHADEMA wapatapa ofisi mpya na utapeli utayeyuka

    Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja. Nitahakikisha poroja za Twita...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    Inasikitisha sana kuwa serikali yetu iko kimya sana kuhusu hii ishu. Nini kifanyike ili wananchi wa Tanzania wasikumbane na madhila ya namna kama hii? Elimu itolewe kuhusu utapeli wa mitandaoni.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Makonda, William Malecela wadaiwa kupanga njama za kumchafua aliyewashitaki kwa utapeli wa gari

    Makonda, Lemutuzi wapanga njama kumchafua PCK Kisutu leo WAKATI kesi ya madai namba 234/2022, iliyofunguliwa na Mfanyabiashara Patrick Christopher Kamwelewe ‘PCK’ dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mwanamitandao William Malecela ‘Le Mutuz’, ikitarajiwa kuanza...
  12. Big Phil

    JamiiForums Tanzania Zijue platform zilizowahi kuibia watu

    1. BC INVESTMENT Hii ilkuwa na platform ya uwekezaji ambayo walikuwa wanatoa takribani 7% ya pesa uliyowekeza na kiwango Cha chini kuwezeza ilikuwa 14,000/= 2. QNET Hii sina experience nayo ila nasikia Ilipita na Hela pia. 3. EARNJET AGENCIES Mkurugenzi wake alidai anatoka Nairobi anakuja...
  13. 2019

    JamiiForums Tanzania Kupigwa na Kalynda sio mwisho wa utapeli Tanzania, bado tutapigwa sana

    Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa. Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini. Hivyo hivyo hizi...
  14. adriz

    JamiiForums Tanzania Nimenisurika mara nyingi kupigwa na utapeli wa mitandaoni kwa kutumia mbinu hii

    Habari za muda huu wana JF Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking) Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
  15. Escotter20

    JamiiForums Tanzania ITV wahojiwe kwa utapeli

    Habari wananzengo.. Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mathias Pogba ashtakiwa kwa utapeli dhidi ya Paul Pogba

    Uamuzi huu umekuja ikiwa ni siku chache tangu Mathias Pogba akamatwe kwa kuhusishwa na utapeli dhidi ya ndugu yake Paul Pogba. Ataendelea kuwa mahabusu akisubiri uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana yake. Taarifa za Mahakama zimesema watu wengine wanne pia wamewekwa chini ya uchunguzi rasmi kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kukutana na biashara hii, ni ya kweli au utapeli?

    Wakuu kwema? Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE. Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi za ndani na utapeli mpya mjini

    Habari wakuu, Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani. Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
  19. Babuu kitairi11

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa kiaina

    Ndugu zangu hivi unatakiwa kulipia costom fee before ata hujaona parcel yako au unapaswa lipia baada ya kuuona?
  20. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu si ni utapeli ndugu zangu?

    Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee, nimeamua kuwa bize na mambo ya Mungu, pamoja na kutofanya matumizi yasiyokuwa na tija. Changamoto inakuja kwa michepuko yangu miwili; mmoja ana mtoto, mwingine ndio yuko mjamzito, atazaliwa huko baadaye. Huyu mwenye mtoto; mara kwa mara...
Back
Top Bottom