utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Utapeli wa bahasha

    Wanaangusha bahasa wanakwambia mgawe pesa uwaachie simu,kumbe bahasha imejaa makaratasi .hii utapeli uko bongo?
  2. Mshana Jr

    Utapeli kwenye uchawi na hatua za kuchukua

    Utapeli unaohusisha uchawi na uganga nchini Tanzania umekuwa ukichukua sura mpya, ambapo matapeli hutumia hofu, imani za kishirikina, na teknolojia kuwaibia wananchi. Kufikia Machi 2026, Jeshi la Polisi na mamlaka mbalimbali zimeongeza jitihada za kudhibiti vitendo hivi ambavyo mara nyingi...
  3. Hance Mtanashati

    Utapeli mpya kwa mafundi, kuweni makini

    Huu uzi unawahusu mafundi aina zote haswa mafundi ujenzi. Usione watu wana miliki nyumba zaidi ya 10 ukadhani zote wamejenga kihalali kumbe nyuma ya pazia kuna uchafu umefanyika kukamilisha ujenzi huo. Mchezo upo hivi, tajiri atakuita vizuri atakupa kazi na mtaanza vizuri tu mwanzoni , ila...
  4. Damaso

    Simu za Mikopo Scheme Mpya za Utapeli

    Katika miaka ya karibuni, mfumo wa kununua simu kwa mkopo maarufu kama “Lipa Mdogo Mdogo” umeenea sana Afrika Mashariki. Kampuni kama Watu Credit zimejijengea jina kwa kuahidi wananchi kupata simu haraka bila kuwa na fedha zote mkononi. Ndani ya saa chache unaweza kuondoka na simu mpya uipendayo...
  5. Analogia Malenga

    Naleta Ugomvi: Kati ya Pengo Makeke na Mr. Dude nani alifanya utapeli ulioakisi uhalisia?

    Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude. Ili kumjua Dude inabidi uwe umezaliwa miaka sio chini 1999 na kwenu kulikuwa na TV ili kuwa na...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Jasusi wenu Gwajima karudi kasi kwenye kazi yake ya utapeli

  7. je parle

    Mbinu mpya za kuibiwa walevi kupitia wanawake wa mjini

    Walevi wa mwanza kuweni macho acheni kubeba kila mwanamke bar kwa kuwa ana makalio makubwa. Kisa kifupi nlichosimuliwa na kijana tuliekutana mlango wa kutokea lodge mwanza. Nimetoka zangu safari nikapoa lodge ilia asubuhi nifanye mishe zangu hapo mwanza then nigeuke Asubuhi nafunga mlango wa...
  8. A

    KERO Zimamoto ni Huduma, Biashara au Mradi wa Kitapeli?

    Jeshi la Zimamoto lina jukumu la kuokoa maisha na mali. Lakini kwa muda sasa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya maafisa kujihusisha na utapeli na rushwa wakiwa na sare rasmi za zimamoto na wengine gari ya zimamoto ambayo ikitokea maafa ya kweli hilo gari hutoliona. Kuna tozo zisizo rasmi...
  9. Kijakazi

    Obama then and now, kweli siasa ni utapeli!

    leo hii wanaitisha maandamano nchi nzima kupinga wahamiaji haramu kuondolewa ... https://x.com/i/status/2018474418859806896
  10. Z

    Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

    Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫 📍 1. VATICAN: THE WORLD'S OLDEST INTELLIGENCE AGENCY 🇻atican 🕵️‍♂️ Wakatoliki mnadhani mnaongozwa na "Mtakatifu," kumbe...
  11. S

    Kuna mwamba anadai katapeliwa laki 2 na Chief Godlove. Chief Godlove ukiona hii badilika!

    Sina haja ya salamu. Kuna mwamba ameniambia katapeliwa 200,000Tsh na CHIEF GODLOVE. Swali kwenu, je huenda haka kajamaa ni katapeli? Mwamba hakuishia hapo, aliendelea kwamba hakuna cha jicho la tatu ambayo CHIEF GODLOVE amekuwa akitumia kwa ajili ya kuteka akili za watu wenye akili ndogo...
  12. Mshana Jr

    Makinikeni na huu utapeli wa FB

    Soma hili tangazo We are moving back to our country and we've decided to sell our household items and appliances. Text me via WhatsApp for more info: +44 7360686752 Pick up or can help deliver at an extra fee. Thank you. Wanajifanya ni foreigners wanaondoka nchini hivyo wanauza vitu vyao vya...
  13. A

    KERO Kampuni ya Sea Bus Express acheni utapeli

    Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao wanawafaulishia Tabora na kupitia njia ya Chunya ambayo ni Barbara ya vumbi. Nauli ya kutoka Mwanza hadi...
  14. The Father of All

    Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  15. BumbleBeeBot

    Biashara ya pikipiki za mkataba ni utapeli

    Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo cha mapato/biashara naendelea kumiliki mimi. Huu mfumo wa boda za mkataba inamaana namuwekezea dereva...
  16. Lycaon pictus

    Wanyakyusa wameanza utapeli wa kidini zamani

    Matapeli wa kidini, wanajimu na waganga wanajua kucheza na matukio. Mbasi Kwa muda fulani alikuwepo Mbasi aliyedai kuwa sawa na Kyala (kwa ukuu). Alijifunua kupitia kwa kaimu wake hasa sehemu za Lufilyo chini ya milima ya Ukinga. Hata kabla ya Wamisionari wa Berlin kufika kule, yule kaimu...
  17. Mzalendo Uchwara

    Maafisa wadogo wa cheo cha kapteni hawavai kofia aliyovaa Tesha, ule ni utapeli

    Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile. Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform...
  18. Baba wa mbingu

    Utapeli mpya, taasisi zinazohusika msaada tafadhali

    Wana jamii juzi jumapili tarehe 28-09-2025, kuna dogo aliniambia kapata kazi ya kuwa tingo(tanboy) wa magari makubwa ya masafa marefu. Hivyo basi kuna mahali amekwama kiasi kidogo cha pesa nimsaidie ili akanunue ovaroli la rangi ya karoti lenye mistari ya reflector na kiasi alichopelea ni...
  19. Mad Max

    Makampuni ya magari yamekuja na utapeli mpya wa features subscription!

    Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription. Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...
  20. HIMARS

    Je, soko la HISA ni utapeli?

    Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika. Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake? Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile? Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
Back
Top Bottom