utalii wa ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwl.RCT

    SoC03 Utalii Wa Ndani Tanzania: Faida, Changamoto Na Vivutio

    UTALII WA NDANI TANZANIA: FAIDA, CHANGAMOTO NA VIVUTIO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Utalii wa ndani ni muhimu sana kwa maendeleo ya kiuchumi na kiutamaduni ya nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, ina vivutio vingi vya utalii...
  2. W

    Madiwani wa Moshi DC kutembelea vivutio vya utalii kwa kigezo kuhamasisha utalii wa ndani ni kuwaibia wananchi fedha zao

    Madiwani wa Moshi mkoani Kilimanjaro wanatarajia kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo wilayani humo Jumamosi ya Tarehe 11 Februari 2023. Akizungumza kwenye kikao maalum cha Baraza la Madiwani cha kupitisha mapendekezo ya mwaka 2023-2024, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi Moris Makoi...
  3. IamBrianLeeSnr

    Utalii wa ndani: Kundi la watalii wa ndani wapatao 500 watembelea hifadhi ya taifa Ruaha

    Msafara wa watalii wa ndani wapatao 500 wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendegu wametembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha iliyoko mkoani Iringa hivi karibuni kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani na kuvutia wawekezaji ili wawekeze katika miundombinu ya utalii. Akiwa katika...
  4. politicians

    SoC02 Wizara ya Maliasili na Utalii iliangalie hili katika kuchochea utalii wa ndani nchini

    Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
  5. Analogia Malenga

    Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

    Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani. Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
  6. MK254

    Sio Mnigeria tu, wanawake Watanzania walalama wanavyonyanyaswa kila wakifanya utalii wa ndani

    Baada ya mwanamke Mnaijeria kujitokeza na kulalamika alichokumbana nacho wakati alikwenda kutalii, wanawake wa Tanzania wajitokeza na kusema yale ambayo hukumbana nayo kila wakijaribu kutalii nchi yao, au utalii wa ndani. Dharau, kejeli na matusi, wengine hata hunusurika kubakwa, hutukanwa kisa...
  7. Roving Journalist

    Kigoma: Makamu wa Rais Mpango, afanya Utalii wa Ndani Gombe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea Hifadhi ya Taifa Gombe, mkoani Kigoma na kupata fursa ya kujionea vivutio mbalimbali vya utalii hususani wanyama adimu aina ya Sokwe Mtu. Makamu wa Rais aliyeambatana na Mke wake Mama Mbonimpaye Mpango...
  8. Midnight

    Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani. Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na kadhalika, ambapo sehemu nyingi haizidi 10000 Sasa tatizo linakuja kwa hawa waongoza watalii, Kuna...
  9. MK254

    Utalii wa ndani Kenya waongeza mabilioni kwenye uchumi

    Huu ndio uzalendo wa kweli.... ===== The tourism sector rebounded last year supported by locals, as the industry pulled out of a painful two-year period since it was hit by the pandemic. The tourism sector performance report 2021 shows that the industry earnings jumped 65 percent to Sh146.51...
  10. Mowwo

    Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua? Gharama kwa siku ni kiasi gani? Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
  11. Red Giant

    Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  12. Papaa Mobimba

    Serikali: Wanaosambaza picha za Rais Samia akiwa kwenye vivutio mbalimbali waache mara moja

    Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan zinazosambazwa mitandaoni zikimwonesha akiwa kwenye vivutio mbalimbali vya utalii, sio rasmi na hazina kibali cha serikali. Wizara imewaonya wote wanaohusika na kuwataka waache mara moja.
  13. Yoda

    Utalii kitaifa hauhitaji vivutio vingi na matangazo; unahitaji historia, siasa, muingiliano, biashara na miondombinu

    Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana. Ukiyatazama mataifa haya kwa...
  14. S

    Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania. Karibu uweke comment yako.
  15. chongoe

    Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

    Mkija kutembea mtatuingizia chochote kwenye wilaya yetu ukinunua chochote unakuwa umesaidia katika kukuza uchumi na pia hata ikiwa sio Mimi basi itakuwa kwa mwenye duka karibuni kutalii Mafia atakae na aje ukiwa MTU wa amani [
Back
Top Bottom