Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

Mowwo

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
327
232
Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua?

Gharama kwa siku ni kiasi gani?

Nipo Arusha, natanguliza shukrani.

utalii images (1).jpeg
 
Hivi Tarangire na Ngorongoro wapi kuna wanyama wengi maana nimefika Ngoro2 ila Tarangire sijaenda.

Kutoka Arusha wapi ni karibu namaani shaweze kutoka Ar nikatalii na kugeuza kuepuka kulipa $500?
Inafuatana na aina ya wanyama unaotaka kuwaona,nadhani mpaka umechagua tarangire umefanya research wanyama gani unawaona kwa urahisi huko.
Mbuguni unaweza zunguka siku nzima,ukaona wanyama wachache tofauti na mind yako ilikua inatarajia.
 
Hivi Tarangire na Ngorongoro wapi kuna wanyama wengi maana nimefika Ngoro2 ila Tarangire sijaenda.

Kutoka Arusha wapi ni karibu namaani shaweze kutoka Ar nikatalii na kugeuza kuepuka kulipa $500?
Tarangire ni 120km hivi tokea Ar, ukidamka 11 saa 2 upo getini unapiga game drive hadi jioni ila hakikisha saa 12 ushatoka hifadhini kuepuka penalty. Kuhusu wanyama Tarangire wapo sana haswa kama ukifika Silale kule na huu msimu wa kiangazi
 
Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua?

Gharama kwa siku ni kiasi gani?

Nipo Arusha, natanguliza shukrani.

View attachment 1975021
Njoo DM tuchangie mafuta hair yangu mimi naenda kesho!
 
Back
Top Bottom