utajiri

  1. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauna faida nyingine zaidi ya sifa

    Ndio hivyo kusifiwa tu kwamba fulani ana mkwanja mrefu hakuna jipya mengine yote hata wenye maisha ya wastani wanayo.
  2. Have Fun

    JamiiForums Tanzania Ni Upi ushiriki wako kwa Matajiri 435 wa Tanzania waliojiunga katika orodha ya mamilionea duniani?

    Matajiri 435 wa Tanzania wajiunga katika orodha ya mamilionea duniani Takriban watanzania 435 wamekuwa mamilionea wa dola mwaka uliopita kulingana na ripoti ya utajiri ya Knight Frank. Waliojiunga katika klabu hiyo ya matajiri wana jumla ya thamani ya kati ya dola milioni moja hadi dola...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Matajiri wengi kutokuwa wakweli juu ya utajiri wao?

    Wasalam wakuu, Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama ntilie leo namiliki hoteli kadhaa mjini, mwingine anasema nilianza kushona viatu ila sasa na miliki...
  4. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

    Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family Niliingia Google as fast as possible nikaja kuona ni kweli, Forbes inaweka wazi kuwa...
  5. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa tajiri mkubwa sana, nauchukia umaskini

    Asalaam alaykum. Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi...
  6. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania CAFCL Sasa ni utajiri wa kutupwa

    Mshindi anavuta billion 10 Mshindi wa pili bill zaidi ya 5 Hii inatamanisha yanga wakaze huenda hela ya ujenzi wa uwanja ikapatikana huko caf
  7. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
  8. Girland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa inalipa!! Angalia unaodaiwa kuwa utajiri wa Baraza la Mawaziri Kenya!

    Ushawahi kujiuliza wanasiasa mfano mawaziri wana utajiri kiasi gani? Je unajiuliza kwanini matajiri wakubwa duniani wanaingia kwenye siasa? Siyo nchi za kiafrika tu, hata Ulaya?Fuatana nami nikupe uhondo! Hivi majuzi Rais wa Kenya William Ruto aliteua majina ya mawaziri wateule, hii ni baada ya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nimeanza kujifunza kuhesabu kwa lugha ya kiarabu, tujifunze pamoja tuache kung'ang'ania kiingereza

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu Asubuhi ya leo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoshangalia utajiri wa Elon Musk (Marekani). Hawajui historia

    Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa atoke alipo aingie

    Sio kwa ubaya na wala sipo hapa kusema anachokifanya ndugu mwalimu ni kitu kibaya lakini nataka niwakikishie hii sio njia sahihi ya kujifunza biashara ya nafaka.Hapa mtaishia kujifunza baishara na kilimo cha makaratasi. Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mariam Sagini: Wababa wamekuwa wavivu wanaenda kwa Waganga kutafuta utajiri, Watoto wanaharibika

    Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amesema kina baba wamekuwa wavivu wa kufanya kazi inafikia mawazo yanawapeleka kwa waganga kutafuta utajiri na huko wanapewa masharti ya kubaka mtoto wake wa kumzaa. Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taka ni utajiri

    Ulishawahi kuwaza kuwa taka za jikoni zinaweza kukupatia kipato kima cha chini laki sita kwa Mwezi? Naam huu ni uhalisia na si kusadikika, kila siku majumbani kwetu tunazalisha taka hususani upande wa jikoni nazungumzia mabaki ya chakula, maganda ya nyanya, ndizi, kitunguu, mboga mboga ndiyo...
  14. Magaso onesmo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 ijayoTanzania

    Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
  15. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuhusu utajiri wa Rais?

    Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
  16. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Aina Nne za Utajiri: Njia ya Kuelekea Maisha Yenye Mafanikio

    Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri. Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi wetu kwa ujumla. Leo, tutazungumzia aina nne za utajiri: Kifedha, Kijamii, Muda, na Kimwili, na tuone...
  17. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujenga Utajiri wa Mwendokasi

    Rafiki yangu mpendwa, Utajiri ni kitu kizuri sana kwenye maisha. Hiyo ni kwa sababu utajiri unatuweka huru, kwa kutuwezesha kuyaishi maisha yetu vile tunavyotaka. Kitu kimoja ambacho watu wengi huwa hawakijui ni kwamba kila mtu anaweza kuwa tajiri. Ndiyo, namaanisha kila mtu kabisa, ikiwepo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utajiri uliojificha kwenye ardhi

    Tanzania Bara, kila halmashauri ina idara ya ardhi inayosimamia masuala yote ya ardhi chini ya Kamishna wa Ardhi. Ni muhimu kila mmiliki wa ardhi awe na hati/cheti halisi cha hakimiliki kuthibithisha haki yake ya kumiliki ardhi kisheria. Hati/cheti cha hakimiliki ya kimila chini ya Sheria ya...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utajiri uliofichika kwenye Ardhi

    Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi, ikiwemo ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo, ufugaji na uwekezaji. Hata hivyo, migogoro ya umiliki wa ardhi imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo endelevu hapa nchini. Kwa bahati nzuri, suluhu ya migogoro hii inaweza kusaidia kuongeza ajira na kuinua uchumi...
Back
Top Bottom