Nataka kuwa tajiri mkubwa sana, nauchukia umaskini

pesakilakitu

JF-Expert Member
Aug 17, 2024
1,061
1,890
Asalaam alaykum.

Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha Asalaam alaykum.

Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri wa pesa za majini ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nazarauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa ata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye koneksheni za wataalam wa utajiri wa masharti, majini, mizimu, anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha yangu.

Sitaki kuwa maskini. Sijui kipi sijafanya ila sifanikiwi naona sasa nimsogelee shetani.
 
Ww Wala una maishà magumu SEMA ndio yule kijana wa hovyo wakusema mm siwezi kwenda kufagia Barabara maana watu watakuonaje ingali ukifagia Barabara unalipwa helaa.unachagua kazi kisa una ka degree Kako au huna ila ushajiwekea mipaka ya kazi Fulani nafanya ,kazi fualn huwezi kufanya hvyo lzm maishà yakuchape maana zile kazi ambazo utaki kuzifanya Kila cku ndio zipo na Zina Hela tu sema kwakuwa ndio hvyo utaki kz ,,mwishowe ndio hyo kuwaza ujinga wa kwenda Kwa waganga

Shenziii kbs
 
Asalaam alaykum. Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu...
Siku hizi freemasons na waganga wamebana sana na kuongeza masharti. Siyo kitonga kivile kama zamani.

Kwanza kabla ya kutoa kafara lazima rinda litatuliwe halafu ndo kafara sasa inafuata.

Sasa kuna haja gani ya utajiri huku umevuliwa ubingwa?
 
Acha tamaa pambana tu taratibu hicho unachotafuta kitakufanya kuwa maskini kuliko ulivyo leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom