Dunia ina mengi na unapaswa kuendana na mengi hayo. Katika kuutafuta utajiri zipo njia nyingi na ni vyema kujaribu zile zinazofaa.
Tumekuwa tukisikia matajiri wengi wana siri nyingi, ni kweli kuna ambao wameua ndugu zao, wapo wanaolala na nyoka, wapo wanaolala kwenye jeneza na vioja chungu...