utajiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katuni ya BoT: Utajiri wa kweli siyo kumwaga pesa chini, inabidi uithamini kama tunu ya Taifa

    Wakuu hii Katuni iliyopostiwa na Bot inasema kuwa kumwaga pesa chini siyo njia ya kuonesha kuwa nazo ila inabidi kuithamini kwani ni tunu ya Taifa, na mtu akitaka kutunza aziweke kwenye chombo maalumu kilichoandaliwa
  2. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanashindwa kuelewa utajiri ni mchakato wa muda mrefu

    Utajiri ni mchakato wa muda mrefu,watu wengi wanashindwa kuelewa hili na kuanza kusema kuna utajiri wa nguvu za Giza Hilo ni hapana, It takes time inaweza kuchukua miaka 10,20,30 kutengeneza utajiri na ndani yake kuna sacrifice za kutosha. Kile unachokifanya sasa kifanye kwa bidii hakika...
  3. JamiiForums Tanzania Utajiri na kutoa sadaka

    Ukweli ni upi kuhusu utajiri na kutoa sadaka za mali kwa kuwapa mayatima au watu wenye mahitaji maalumu nakumbuka niliwahi Mfata tajiri mmoja wa viwanda hapa nchi nikamuambia jinsi naendesha biashara yangu lakini sioni mafanikio akaniambia toa sadaka halafu usitangaze utafanikiwa nikabaki...
  4. JamiiForums Tanzania Unga: Utajiri wa Haraka, Kifo cha Hakika

    Hakuna biashara duniani inayoweza kugeuza maisha ya mtu kutoka umaskini wa kutupwa hadi kuwa bilionea ndani ya masaa 24 kama biashara haramu ya dawa za kulevya (Ubwabwa/Unga). Lakini nyuma ya mamilioni hayo ya haraka, kuna mfumo wa kikatili, usaliti wa kiwango cha juu, na kamba za kunyongwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini mara mashariki mwa popote panaonekana kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali, njia muhimu za biashara au vituo vya nguvu za kiuchumi?

    Kuna jambo la kijiografia ambalo nimekuwa nikilitafakari kwa muda. Ukiangalia ramani ya dunia, maeneo mengi ya mashariki yanaonekana kuwa na mchanganyiko wa utajiri mkubwa wa rasilimali na migogoro mikubwa kuliko maeneo mengine.Mashariki ya Kati ina mafuta na gesi nyingi kuliko maeneo mengi...
  6. JamiiForums Tanzania Ardhi Haikupi sio tu Mafanikio, Inaweza Kukupa Utajiri wa Ghafla

    Kuna biashara ambazo zinakupa hela kidogo kidogo kila siku, lakini zipo biashara ambazo zinakaa kimya kwa muda mrefu halafu siku moja zinakushangaza kwa hela nyingi kwa mkupuo. Miongoni mwa biashara hizo ni ardhi, kilimo na madini. Unaweza ukahangaika miaka kadhaa bila kuona matokeo makubwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Elon Musk; trilionaire wa kwanza kabisa ulimwenguni. Kwa utajiri wake mtu anaweza kuishi akila bata la hatari kwa miaka milioni 10!

    Elon Musk ndiye mwanadamu kwa kwanza tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu kuwa trilionaire! Tunawajua mamilionare wengi tu hata hapa nchini wapo wengi tu hata JF wapo. Pia tunawajua mabilionaire kadhaa hawa ni wachache ndio akina Azam, Rostam, Dewji na wachache sana wengine. Utakusanya zaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mzee Furahael Tenga; Aliyekuzidi Akili huwezi mshinda kwa ujinga wako. Aliyekuzidi utajiri huwezi mshinda kwa umaskini wako

    MZEE FURAHAEL TENGA; ALIYEKUZIDI AKILI HUWEZI MSHINDA KWA UJINGA WAKO. ALIYEKUZIDI UTAJIRI HUWEZI MSHINDA KWA UMASKINI WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya kitu ambacho watu wajinga na wenye upeo Mdogo wanashindwa kukielewa ni pamoja na hii dhana. Dhana hizi zinanikumbusha Mzee...
  9. JamiiForums Tanzania Mbuzi ni fursa ya utajiri

    Tanzania ina zaidi ya mbuzi milioni 24, na idadi hiyo imeendelea kuongezeka kutokana na mahitaji makubwa ya nyama ya mbuzi ndani na nje ya nchi. Tafiti zinaonyesha kuwa ufugaji wa mbuzi ni moja ya shughuli muhimu zinazowapatia wananchi kipato katika maeneo mengi ya vijijini na mijini. Mbuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Kama ukikaa halafu unajikuta unafanya hivi mikono basi tambua una spirit ya utajiri wa mali ndani yako

  11. JamiiForums Tanzania UAE na QATAR wanashirikisha wa-kuitwa makafir ili utajiri wao ukuwe ila wanamwaga pesa kwa walala hoi wabaki na dhana ya kumchukia kafir na kugombana

    Ukienda dubai utakutana matajiri wahindi wa kutosha (na bado wanaabudi miungu yao), utakutana na models wa kila aina ambao wanafanyika kama escorts wa wana wafalme wa qatar na UAE, sasa hivi wazungu wako lukuki huko saudia wanafanya projects za maendeleo Utakutana na wayahudi wamefanya...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Oa Mwanamke kabila la Wakikuyu toka Kenya Ni mabepali wazuri sana
  13. JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Jiunge CCM
  14. JamiiForums Tanzania Kilimo Cha maparachichi ya kisasa utajiri njenje

    Maparachichi ya kisasa kwa Sasa limekuwa zao kubwa sana la kibiashara wateja wanakufuata shambani Maparachichi yanasafirishwa nje ya nchi mti wa parachichi unakaa miaka 60 yaani kama ilikuwa unafikiria ulime nini Lima parachichi la kisasa utakuja kunishukuru usije sema sijakuambiaa.
  15. JamiiForums Tanzania Elimu rasmi sio kigezo pekee au cha mtu kuwa tajiri kihalali, lakini ni nyenzo thabiti sana inayoweza kurahisisha kukuza utajiri

    Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi Kujenga akili ya kifedha...
  16. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha 😀😀 Wazee wa kupiga bao
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna kijana anakataa kazi yenye maslahi tatizo mabrother mnataka tuwasindikize kwenye utajiri

    Dr Toyota anadai vijana hawapo tayari kufanya kazi kitu ambacho si kweli kimsingi watu wanafanya kazi zenye kurisk afya hata maisha yao ila wanachopata hakimudu gharama muhimu za maisha. Mabrother waliojipata baadhi yao wanakuwa na roho za kishetani unakuta umeshiriki hata kwenye mchongo...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Utajiri mkubwa ndani ya mitandao ya kijamii

    Habari zenu huku, Nianze kwa kuandika, siyo kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu. Miaka takribani 16 iliyopita nilijiunga na jamii forum, kipindi hicho sikufahamu kabisa juu ya mitandao ya kijamii.. lakini kupitia nyuzi za watu , nilijifunza na kuelewa mambo mengi sana.(kipindi hicho jf ilikua...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Mnaposema kuwa mtu hawezi kutajirika kwa kuajiriwa, huwa mnazungumzia kiwango gani cha utajiri?

    Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus Mashamba ya mazao ya chakula na biashara, Maduka ya nafaka, spare parts za magari au ata pikipiki nk Amejenga ana nyumba Kali Hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Aisee utajiri sio kitu rahisi kumbe

    Yani najikuta nachimba sana na sometimes naona nimepata hela ya kutosha per day Lakini nikiiweka mezani naona bado si kitu, akili inaniambia kwa hela hiyo bado huwezi hata kupata kiwanja town (sio kujenga) Au hela Mazee imepungua thamani Najikuta na grind sometimes lakini nikijaribu kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…