Utajiri wa Dangote wafika dola bilioni 50

Kuna propaganda nyingi sana kuhusiana na taarifa za utajiri wa huyu bwana.

Eti inadaiwa anataka kujenga refinery Kenya yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 17 ambayo itazalisha mapipa 100,000 ya mafuta kwa siku.

Wakati huohuo refinery kama hiyo inatarajiwa kujengwa nchini Niger na itazalisha mapipa hayo hayo 100,000 kwa siku lakini cha ajabu thamani yake itakuwa ni dola za kimarekani bilioni 1.9 tu.....!!!!!

Huyu jamaa Mnigeria anapenda sana kuongezea sifuri sifuri kwenye mahesabu yake, ana zile tabia za Kinigeria Nigeria za kitapeli tapeli ndio maana kuna mataifa mengine hatakiwi kabisa.

Utajiri wake ambao chanzo chake ni serikali ya Obasanjo haufikii kiasi hicho cha pesa yuko kwenye tarakimu moja tu, nyingi ni mbwembwe tu za kiswahili.
 
Tunaopambana na hela safi ndio sisi masikini
 
Mkuu, na wewe jenga refinery yako halafu uongeze sifuri mbele kwenye mahesabu.
 
Kuna propaganda nyingi sana kuhusiana na taarifa za utajiri wa huyu bwana.

Eti inadaiwa anataka kujenga refinery Kenya yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 17 ambayo itazalisha mapipa 100,000 ya mafuta kwa siku.

Wakati huohuo refinery kama hiyo inatarajiwa kujengwa nchini Niger na itazalisha mapipa hayo hayo 100,000 kwa siku lakini cha ajabu thamani yake itakuwa ni dola za kimarekani bilioni 1.9 tu.....!!!!!

Huyu jamaa Mnigeria anapenda sana kuongezea sifuri sifuri kwenye mahesabu yake, ana zile tabia za Kinigeria Nigeria za kitapeli tapeli ndio maana kuna mataifa mengine hatakiwi kabisa.

Utajiri wake ambao chanzo chake ni serikali ya Obasanjo haufikii kiasi hicho cha pesa yuko kwenye tarakimu moja tu, nyingi ni mbwembwe tu za kiswahili.
Bongo nyoso
 
Dangote anataka ku-expand refinery iliyopo Nigeria kufikia process ya pipa 1.4million kutoka, kwa sasa anachakata nusu ya pipa hizo za crude oil. Hiyo ya kuzalisha pipa 100,000 umeitoa wapi, kwa sababu uzalishaji kutoka crude oili una bidhaa nyingi tu kama petrol, diesel, jet fuel, gas nk. Hizo 100,000 ni nini? Pia hakuna ushahidi kuwa ame-invest Niger.

Kuna suala la Dangote ku-list refinery Nigeria na IPO imetoka. Hiyo huwezi kuongopa, kwa sababu mauzo ya hisa ni wazi kama ilivyo kwa kampuni zake nyingine kwenye Nigeria stock
 
Obasanjo kwenye urais wake wa kwanza akiwa mtawala wa kijeshi pesa alizofisadi aliziweka kwa Mashood Abiola (Rip) kama wa nyumbani ndipo alipotoka kwenye urais mwaka 1979 akafanyiwa utapeli na Abiola na kuzimwa pesa nyingi sana.

Lakini baada ya kutoka gerezani na kuukwaa tena urais mwaka 1999 ndipo alipobadili gia angani na kuamua kuwekeza kwa Aliko Dangote baada ya kuwa amehitilafiana na Atiku Abubakary.

And to make the point clear it is obvious that, in Dangote's much adored opulence, "Obasanjo is the main power behind the throne and Dangote is just playing the role of a front character."
 
Dangote anataka ku-expand refinery iliyopo Nigeria kufikia process ya pipa 1.4million kutoka, kwa sasa anachakata nusu ya pipa hizo za crude oil. Hiyo ya kuzalisha pipa 100,000 umeitoa wapi, kwa sababu uzalishaji kutoka crude oili una bidhaa nyingi tu kama petrol, diesel, jet fuel, gas nk. Hizo 100,000 ni nini? Pia hakuna ushahidi kuwa ame-invest Niger.

Kuna suala la Dangote ku-list refinery Nigeria na IPO imetoka. Hiyo huwezi kuongopa, kwa sababu mauzo ya hisa ni wazi kama ilivyo kwa kampuni zake nyingine kwenye Nigeria stock
Refinery ya Niger ni ya serikali ya huko na wala sio ya Dangote.
 
Hahaa! Hizo habari huwa unatoa wapi? Unafahamu financier wa mradi wapo in public domain. Unafahamu vita vilivyopigwa asianzishe refinery na hata baada ya kuanzisha? Unafahamu sehemu ya crude oil anaagiza nje
 
Back
Top Bottom