Wazalendo_Tz
Member
- Jul 7, 2026
- 17
- 25
Ukweli ni upi kuhusu utajiri na kutoa sadaka za mali kwa kuwapa mayatima au watu wenye mahitaji maalumu nakumbuka niliwahi Mfata tajiri mmoja wa viwanda hapa nchi nikamuambia jinsi naendesha biashara yangu lakini sioni mafanikio akaniambia toa sadaka halafu usitangaze utafanikiwa nikabaki nashangaa maan naona matajiri wengine wakitoa sadaka wanatangaza na kuwarekodi nikikumbuka kutoa ni kupungukiwa je ukweli ni upi wakuu