Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Johnnie Walker

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
7,746
12,856
Habari za mchana,

Maisha ya uswahili sio poa poa kama hujayazoea unaweza pata shida sana.

Kuna kipindi nilienda kwa Azizi Ally kumsalimia mtu huko sasa kufika pale tunapiga story gafla kaingia mtu hila hodi anatoa taarifa nachukua mboga kule nini ugali kidogo nilishangaa ase akaona pembeni kuna matunda akabeba.

Ikabidi nimuulize mwenyeji wangu hivi huku ndio maisha gani haya mnaishi mtu anaingia kama kwake anachukua vitu kiholela holela why akawa anacheka.

Siulizi kwa ubaya hila nataka kujua hizo tabia za kienyeji zinatokaga wapi?
 

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
404
1,494
Ila watu wa uswaz wana pesa na furaha kila wakati na ni wakarimu kati yao.
Japo hilo lifestyle lao siliwezi
Hata tunda sio ngumu kupata.

Na videm vingi vya huko ukiingia na gia ya kumwaga pesa vinakuona mshamba tu utakuja shangaa unapigiwa na wasanii uchwara wa singeli wa mitaa hio sababu vinawakubali sana, yaan hawaabudu hela, wameridhika kabisa na maisha ya ovyo. Ujilete na usomi eti unamtafutia kazi mara nn sijui kisa amekupa game zuri matobo almost yote unataka kumtoa uswahilini ndugu yangu utajuta.
 

jipu

JF-Expert Member
Apr 20, 2015
2,340
3,877
Screenshot_20230201-133710_Chrome.jpg
 

Johnnie Walker

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
7,746
12,856
Supendi uswazi kanisa, wamama kutwa nznma ni matusi tu. Wizi umekithiri. Uhuni mwngi.

Makelele ya mabanda ya kuchomea mzki na series. Uchafu wa mazngira yaan kila kitu ni grade ya mwsho kbsa.

Mimi pia hicho ndicho kina nishida ase
 

Johnnie Walker

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
7,746
12,856
Hata tunda sio ngumu kupata.

Na videm vingi vya huko ukiingia na gia ya kumwaga pesa vinakuona mshamba tu utakuja shangaa unapigiwa na wasanii uchwara wa singeli wa mitaa hio sababu vinawakubali sana, yaan hawaabudu hela, wameridhika kabisa na maisha ya ovyo. Ujilete na usomi eti unamtafutia kazi mara nn sijui kisa amekupa game zuri matobo almost yote unataka kumtoa uswahilini ndugu yangu utajuta

Dah na nasikiaga ni wazur kweli hila hawatki show off ww mnunulie chips na miguu ya kuku bas
 
Jun 20, 2021
44
86
Ishara zitakazokujulisha kwamba Sasa unaingia uswazi ni wingi wa vitoto halafu havijavaa shati juu,vinacheza michezo ya kupigana na kubebanabebana bila kusahau mademu kibao vibarazani macho yote yanakutizama kwa mshangao.....!
Dash kuishi uswazi yataka moyo wa ujasusi Sana Kama una pigo za kisomisomi
 

Johnnie Walker

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
7,746
12,856
Ishara zitakazokujulisha kwamba Sasa unaingia uswazi ni wingi wa vitoto halafu havijavaa shati juu,vinacheza michezo ya kupigana na kubebanabebana bila kusahau mademu kibao vibarazani macho yote yanakutizama kwa mshangao.....!
Dash kuishi uswazi yataka moyo wa ujasusi Sana Kama una pigo za kisomisomi

Nilikuwa natafuta chumba maeneo ya morocco duh nikapelekwa huko ambapo chumba bei rahisi hila sasa pamekaa kichafu sana theni watu wamekaa vibalazani wote wanakushangaa wewe
 

Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Top Bottom