Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,683
Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe.

Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa?

Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa kumpopoa huyu karoti? Wazee wa komedi uswazi, tunashindwa kutupia mambo zetu kuwanyima amani?

Oyaa, tuamke, kwanza amedharau maskani, wakati imetukuza sisi.

Oyaaa, tukiwashe, tukiwashe, oyaa, Dulla wewe kausha, tupe hiyo kazi sisi, cha msingi tuangalie tu za kisungura na majani, hatuna gharama sisi. Yaani hiyo laki nane mbona mitandaoni tumekaba kila mahali tunazingua?! Tukinukishe mpaka wanuke.
 
Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe.

Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa?

Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa kumpopoa huyu karoti? Wazee wa komedi uswazi, tunashindwa kutupia mambo zetu kuwanyima amani?

Oyaa, tuamke, kwanza amedharau maskani, wakati imetukuza sisi.

Oyaaa, tukiwashe, tukiwashe, oyaa, Dulla wewe kausha, tupe hiyo kazi sisi, cha msingi tuangalie tu za kisungura, hatuna gharama sisi. Tukinukishe mpaka wanuke.
Hii tenda akiipata S-Kide mtoto wa Mbagala mbona itakuwa mbwa kala mbwa🤣🤣
 
Sema Makabila nae kimtindo anataka aende mjini kupitia upepo wa Manara

🎶........ aliniomba laki 8🎶

Kikosi 77
Mtaji vidole
 
Acha upumbavu na utafute maisha yako.

Huyo Dullah Makabila alishawahi kukusaidia nini katika maisha yako???

Ungetumia nguvu hii hii katika kupigania vinavyokuhusu ungekuwa mbali kimaisha.
Hiki kinanihusu
 
Back
Top Bottom