usuluhishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraza la usuluhishi wa migogoro ya watumishi wilaya ya Nyamagana - Mwanza

    Habari zenu wana JF...!! Nahitaji msaada wa kupata Mawasiliano ya mtu anae husika na Baraza hilo tajwa hapo juu, kama nitampata Muhusika moja kwa Moja kutokea hapa nitashukuru pia. Mawasiliano yangu: 0653717447 Ahsante
  2. M

    Tume ya Usuluhishi ni kesi ya nyani kapewa ngedere. Wote ni Wana mtandao

    Wajumbe wote wa Tume ni waliokuwa wateule wa JK na Mama Samia. Mtuhumiwa namba Moja ni Mama Samia mwenyewe tena akiwa hana uhalali wa kuunda tume yenyewe. Mama anawadharau sana hadi Wana CCM wenzie wallah. Wale wanaojiita wazalendo niliwaambia mapema kuwa kura zikipigwa tu wameshindwa vita...
  3. M

    Tume ya Usuluhishi imeshaundwa au Itaundwa?

    Wakati nasikiliza Ile hotuba ya Mama Samia,Mwanzoni nilisikia akisema ameunda tume baadae ikaonekana itaundwa tena kwa masharti. Nisaidieni kujua kwa jinsi mlivyoelewa nyie. Hivi tumwite Rais au Mama Samia tu inatosha?
  4. Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro

    Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb amesema Serikali ya Finland itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania ili kuhakikisha juhudi za pamoja zinatekelezwa katika usimamizi wa amani na...
  5. Je, ni sahihi Watoto kushirikishwa katika usuluhishi wa ugomvi wa wazazi?

    Naendelea kushuhudia kuongezeka kwa matukio ya baadhi ya familia watoto hasa wengine wakiwa na miaka 17 wakishirikishwa katika kusuluhisha migogoro ya wazazi wao. Inawezekana hali hii inatokana na kukosekana kwa watu wazima katika familia au viongozi wa dini wakikosa kuaminiwa na baadhi ya...
  6. T

    Mwongozo wa Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Katika Mabaraza ya Kata, 2021

    Wadau, Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi? Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie. Shukrani sana.
  7. Qatar yakanusha uvumi kuhusu kuwafukuza Hamas, yafafanua msimamo wao kuhusu usuluhishi huo

    Wanaukumbi. Qatar inakanusha rasmi ripoti zinazosambaa kuhusu kuwatimua Hamas na kufafanua msimamo wao kuhusu upatanishi huo. Msemaji Rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje: Juhudi za Qatar kupatanisha Hamas na Israel zimesitishwa kwa sasa. Dk. Majed bin Mohammed Al-Ansari, msemaji rasmi wa Wizara...
  8. Je, ni sahihi Kituo cha Polisi na Polisi kuwa Chombo cha Usuluhishi wa migogoro ya kijamii?

    Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
  9. N

    TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

    Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
  10. J

    Rais Ruto aalikwa na Jumuiya ya Ulaya Kwenye Kikao cha Amani kati ya Urusi na Ukraine

    Enzi za Nyerere huu Mwaliko ulikuwa ni wa Tanzania ila hizi zama za Utandawazi tunaalikwa kijumuiya zaidi. Tuzidi kumuombea Rais Ruto akatuwakilishe vizuri na zikitokea fursa za kupeleka manjagu au Wajeda kama Haiti atutonye jirani zake. Nawatakieni Sabato Njema 😄😄
  11. T

    Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  12. Serikali ya Tanzania yashinda Shauri la Usuluhishi katika Baraza la Kimataifa la Biashara (ICC)

    Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency-PBPA) na Mwanasheria Mkuu wa...
  13. Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300 Kuchotwa

    Yaani Bilioni 300 ambazo ni sawa na pesa ya kujenga km 250 za Lami tunaenda kuwalipa Matapeli wa Indiana Resources ambao Wanashulikiana na Mafisadi wa Serikalini. Daa inauma Sana aisee --- Mapendekezo au hoja mbili kati ya tatu ilizowasilishwa na Tanzania kwenye Mahakama ya Kimataifa ya...
  14. Usuluhishi gani huu wa kutomualika mmoja ya wanaogombana

    Saudi Arabia kicks off Ukraine talks that exclude Russia Some 40 countries will attend a meeting in Jeddah to discuss a set of common principles to end the war in Ukraine. Saudi Arabia has kicked off a weekend summit in Jeddah, in which senior officials from some 40 countries – but not Russia –...
  15. M

    Iweje Usuluhishi wa matatizo ya mikataba na Uwekezaji isikilizwe nje nasio Mahakama Tanzania

    Hili swala la DEE PEEE Weldi na Jamhuri limeleta fursa ya tafakuri jadidifu. Iweje kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania. Tunakumbuka mhe Rais Mwenye alinukuliwa kusema...
  16. K

    Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  17. Tumetoka Kwenye Usuluhishi wa Masuala ya Ndoa

    Hali si shwari, wanandoa wanalalamika, mke amekuta meseji 👇 kwenye simu ya mumewe, kumbe mjadala wa kutooa unajadiliwa ng'ambo ya pili pia
  18. Msaada wa kisheria Kwa mtu aliyekatalia kutoka kwenye kiwanja baada ya usuluhishi wa baraza la ardhi la kata kuamua aondoke

    Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
  19. Tunaifungua nchi kiuchumi sawa; nani aliifunga?

    Habari za majukumu wadau, Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano. Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
  20. Uhalali wa cheti kutoka Marriage Conciliation Board ni upi?

    Wakuu habari, Inatambulika kuwa inapotokea shida ya kutoelewana kwa wanandoa wawili na kutaka kusuluhisha migogoro yao, hushauriwa kuendea mabaraza ya usuluhishi ya ndoa; BAKWATA (kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria za kiislamu) na Taasisi za kikristo au kanisani ( kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…