Jamani, jamani! Usiombe ukutane na hawa watu!

Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
1,421
4,729
Ni watu fulani hivi, wajuaji lakini hawajui kama hawajui. Yaani hawajasoma ila wanajua kila kitu!

Hawa watu kama ndugu, jamaa, rafiki au majirani zako basi jiandae kisaikolojia. Utakuta hawana hela lakini ni kama wanazo vile. Hawana elimu kubwa ila sasa, kwa ujuaji huwawezi na wanajiamini sana!

Kila jibu wanalo hata kama sio sahihi. Hawa watu usiombee kuwafahamu
 
Halafu wanakuaga wabishi sana...
mimi kuna jamaa alikua anasema jamaica(jamdam) ipo africa,halafu ndio inaongoza kwa umasikini...
Ile nataka nimweleweshe ukazuka mzozo akafikia mpaka kuniambia elimu yangu nimesoma bure tu...
 
Hawa watu kama ndugu, jamaa, rafiki au majirani zako basi jiandae kisaikoljia. Utakuta hawana hela lakini ni kama wanazo vile. Hawana elimu kubwa ila sasa, kwa ujuaji huwawezi.

Kila jibu wanalo hata kama sio sahihi. Hawa watu usiombee kuwafahamu
Machinooooo
 
Unakutana nao wapi? Achana nao Fanya mambo yako!
Wengi wao ni wabeba mikoba aka chawa. Kuna mambo ili uyafanikishe inabidi ukutane nao. Ila sasa, usipokuwa makini utajiona wewe ndio hujui. Wapo wengi. Wana msimamo kwelikweli na wanaamini bila wao hakuna kinachoweza kufanyika.
 
😂😂😂
Ni watu fulani hivi, wajuaji lakini hawajui kama hawajui. Yaani hawajasoma ila wanajua kila kitu!

Hawa watu kama ndugu, jamaa, rafiki au majirani zako basi jiandae kisaikolojia. Utakuta hawana hela lakini ni kama wanazo vile. Hawana elimu kubwa ila sasa, kwa ujuaji huwawezi na wanajiamini sana!

Kila jibu wanalo hata kama sio sahihi. Hawa watu usiombee kuwafahamu
 
Kama we ni wa kujichanganya lazima wakutongoze tuu na kwenye kukutongoza ndo unakutana na hzo drama, hvyo kaa kwa kutulia
 
Kuna jamaa ni muuza simu nilienda kununua simu kwake, simu imeandikwa ina 4g lakini nilipoinunua haikamati (ni hizi za mtumba huenda kifaa hakikuwepo).

Nachopata ni 3g jamaa anasema hio ni 4g, niliingia hadi google inaonesha simu inaweza kama ta 4g lakini jamaa ni mbishi mpaka basi, nikaona huyo hajui kwamba hajui,

Kwa ustaraabu kabisa nikaomba tu nibadilishiwe simu nyingine,
 
Kama we ni wa kujichanganya lazima wakutongoze tuu na kwenye kukutongoza ndo unakutana na hzo drama, hvyo kaa kwa kutulia
Wanaweza kukushawishi uweke chumvi kwenye chai, na ukikubali ukaweka kweli; imekula kwako. Ukiwajua hawa watu na kuwaepuka basi utafanikiwa sana. Inawezekana hata hapo ulipo wapo
 
Back
Top Bottom