usiombe

  1. MdengestanfromCuba

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama programmer kwenye taasisi unakutana na changamoto zipi? Zangu ni hizi

    Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo ilishawahi kunitokea yaani nilifanya kazi kwenye mazingira magumu sana, na ni rahisi sana kuonekana hujui...
  2. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu. Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni 'Mortuary Attendant' wa Tanzania, ila usiombe Nduguyo afie India halafu uje uipokee Maiti yake waliyoiandaa Wao huko

    Kuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile...
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  5. koncho77

    JamiiForums Tanzania Usiombe kukutana na mbwamwitu

    Hawa jamaa ni shida cheki alivyomla mtoto Mama anaona halafu na Mama nae akafata Mtoto katolewa tumboni hapo
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rule No 5: Usiombe ushauri kwa aliyeshindwa

    RULE NO. 5; USIOMBE USHAURI KWA ALIYESHINDWA. Ni Yule, Robert Heriel Watu wengi wanaoniuliza kuwa Kwa nini nimepunguza kuandika Mtandaoni nimeona niwajibu Kwa pamoja hapa; Namalizia kuandika kitabu ambacho kitakuwa cha manufaa Kwa kizazi hiki mpaka kizazi kijacho. Haya nirejee kwenye ujumbe...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe mpate CEO asiyejishughulisha kusoma; mtaua kampuni

    Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa kasaini mkataba wenye mapungufu lukuki akiamini cabnet yake watasoma. Kabinet nalo likaamini Wataalamu...
  8. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Usiombe mwenye nyumba wako awe mzaramo, mndengereko, mluguru au mkwere

    Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
  9. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Kama huna hela usiombe namba

    Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Usiombe kumuona mgonjwa wa COVID19

    Hili gonjwa lipo na siku ukibahatika kumuona mgonjwa wa COVID19,utataka siku hiyohiyo uchanjwe chanjo yake. Kama hujaona ndugu yangu basi omba usione wewe kubali kuchanjwa tu siku ikifika uachane na siasa.
  11. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

    Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi? Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Something is wrong! Mwana wa mfalme leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma. Kweli maisha yanaenda kasi sana sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu. Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka ...
  13. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Cheka, simulia, lakini usiombe yakukute

    Cheka, Simulia, Lakini Usiombe Yakukute Jamaa kaamka asubuhi kajikuta kageuka mdudu. Hii hapa simulizi yake, Die Verwandlung, imefasiriwa kwa Kiswahili. Ilichapishwa kwa Kijeremani mwaka 1915, mwandishi akiwa Franz Kafka. Asubuhi fulani, wakati Grego Samsa akiamka toka kwenye ndoto za...
Back
Top Bottom