Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,711
Reaction score
49,731
Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa .
CRDB unaweza kumaliza miezi 2 usipate pesa. Na mfumo ukishaingiza makato huwezi kuomba tena benki nyingine.
CRDB ikimbiwe.
 
Kukopa ni jambo la kawaida .
Mpaka seniors wanaolipwa pesa nyingi zaidi wanakopa kwa maendeleo yao.
Ni lini nchi hii tangu tupate Uhuru mtumishi wa umma alijenga kwa mshahara wa mwezi mmoja au miezi 2?
Tena Samia ndiye Rais aliyewainua watumishi kuliko Rais yeyote katika Taifa hili.
Imagine within 4 yrs of her regime watumishi tumepanda vyeo mara mbili
 
Eti mkuu, naweza kulipia Azania Bank ilhali Niko NMB na salary inapitia NMB..?
Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa .
CRDB unaweza kumaliza miezi 2 usipate pesa. Na mfumo ukishaingiza makato huwezi kuomba tena benki nyingine.
CRDB ikimbiwe.
I
 
Back
Top Bottom