Mtakie usiku mwema umpendaye

Mtakie usiku mwema umpendaye

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Nawatakieni usiku mwema

1: mnaoanzishaga thread nzuri zinazochukua mda wangu kukuza maarifa binafsi

2: aliyeanzisha grupu la kujifunza kupika iliniokoa siku moja geto na kuonekana mwamba wa mapishi

3: Rick boy Sina la kuongezea wewe ota tu umepewa uteuzi wizara ya mapenzi

Na wengine wooote mlale unono
 
Usiku mwema mpenzi wangu Its Pancho . I love you a million, billion and zillion times, to the moon and back.
 
Usiku mwema Mervin lala unono,Mungu akulinde dhidi ya wabaya,Uote ndoto za kipesa pesa!

Nakupenda sana[emoji3590][emoji179][emoji177][emoji176]
 
Back
Top Bottom