usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tafadhali Jezi zenu Maalum za Unbeaten Record ya 50 mlizopanga Kuzivaa leo msizichome Moto Usiku huu Mbeya

    Ama kweli Binadamu tunapanga lakini na Mwenyezi Mungu nae pia anapanga lake / yake vile vile. Kudadadeki Taarifa ikufikie popote pale ulipo kuwa Usiku huu kwa Aibu waliyoipata kwa Kufungwa na Ihefu FC huku kwa Kujiamini kabisa kuwa Unbeaten Record yao itaendelea wanapanga Kuchoma Moto Jezi zao...
  3. JamiiForums Tanzania Faida za kupaka mafuta nyayoni wakati wa kulala (usiku)

    FAIDA ZA KUPAKA MAFUTA NYAYONI WAKATI WA KULALA USIKU 1. Mwanamke mmoja anasema babu yake aliishi miaka 87 bila ya kuumwa na mgongo, viungo, kichwa, meno wala mwili baada ya kufunzwa siri na mzee mmoja wa Kolkata alipokuwa anafanya kazi ya kuweka mawe juu ya reli akamuambia apake mafuta nyayoni...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaohudhuria Uzinduzi wa Baa Mpya Kawe Lugalo (Kwa Maasai ) usiku huu hebu tupeni Mrejesho

    Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini. Mimi...
  5. JamiiForums Tanzania Jobless usiku mwema

    Mungu awatie nguvu
  6. JamiiForums Tanzania Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

    Kwa muda mrefu nilitaka kuandika hili la Sababu za "kitoto" za kuzuia magari yasisafiri usiku, hatimae Mbunge Tulia ameliona Hilo, tusubiri mamlaka zitekeleze. Mimi ni mdau wa safari za usiku sana, kwahio Wacha niwape experience.... 1. Zile Coaster za Arusha zinazuiliwa pale Mkata wa saa Tano...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Foleni usiku huu Morogoro Road Ubungo - Kimara

    Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi. Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Boxing: Usiku wa vitasa

    Karibu katika uzi unaohusu boxing , mubashara kupitia Azam Tv
  9. JamiiForums Tanzania Sasa Saa Nne Usiku: Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali

    Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali Haina mana wote wanatabia ya uvivu. Huu ni ushuhuda wangu mimi. Siku zote Kuna watu wanadhani wao Kwa kuwa hawahusiki na hawaendi hata hapo temeke hospital wakaona weakness za watumishi, tanesco, maji wakaona upumbav wa baadhi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

    Habarini wakuu, Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku...
  11. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  12. JamiiForums Tanzania Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

    Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu.... Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
  13. JamiiForums Tanzania Mingurumo au milipuko usiku huu Dar es Salaam

    Niko Manzese nasikia milipuko muda mrefu mnaisikia au masikio yangu tu? mwanzo nilijua radi ila bado inaendelea kuna nini?
  14. JamiiForums Tanzania Wazee wa usiku

    Habari wakuu. Nimeamua kumaliza UJANA wangu kwa kufanya starehe/kula Bata ndani ya Mwaka Huu mmoja 2022. Kuna uwezekano mkubwa sana nikapata mwenza wa Maisha Mke Mwaka 2023/24. Mipango ya Mungu ikitimia. Swali Naulizia sehemu nzuri ya kula bata? Napenda nimalizie kula mziki. Maua mengi, ila...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenye club figtnes Nzega ujinga uliofanyika usiku wa leo usikubali ujirudie

    Natoka zangu Mwanza nimechoka drive nikasema nipumzike Nzega, Mungu wangu yani mtu ana Birthday yake anaongoza Baa nzima Mmiliki sikujui ujui ila huu ujinga usikubali tena. Nzega siyo kijiji hapo ni senta ya nchi na nje ya nchi miye nimeondoka baada ya huo ujinga so mmiliki wa hilo eneo play...
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kikundi cha kihalifu maarufu kama vibeberu com chabaka wananchi mchana kweupe

    Thread was deleted
  17. M

    JamiiForums Tanzania Usiku wa deni haukawii kucha, kazi kwenu wananchi!

    Usiku wa deni haukawii kucha, Wasudani wanadai shingo ya mtu huko igeuziwe kibra! Mimi simo, ila povu linaruhusiwa!
  18. JamiiForums Tanzania Mikutano ya kisiasa iruhusiwe ukimya uliopo ni mbaya sana

    Labda ni mawazo yangu kulingana na mambo ya hapa na pale yanayotokea kwenye nchi yetu. Wakati sijaanza kukusimulia ndoto yangu. Nikuchekeshe kidogo, utajisikiaje kama utapewa adhabu ya kuto kuongea Kwa angalau siku 7? Ni bora unyimwe chakula au unyimwe zawadi yoyote. Bila shaka kuongea ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Waukraine watanyanduana leo usiku?

    Hi! Naomba kuuliza wakuu, Kuna Waukraine waishio Ukraine watanyanduana leo usiku? Maana sio kwa mabomu haya ya Putin.
  20. JamiiForums Tanzania Dar to ARUSHA Leo usiku kurudi J2 usiku

    Wandugu ni nani Ana mpango WA kwenda Arusha na private leo usiku au kesho? Haka ka mda tukaone Familia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…