usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu tu mabasi kusafiri usiku na mchana sasa hivi hakuna abiria anasafiri na mamilioni cash kwenye basi kama zamani, ziko kwenye akaunti

    Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Natamani usiku ungelikuwa mchana

    Ulikuwa ni usiku wa Jumamosi, uso wa dunia ikiwa umekumbatiwa vilivyo na giza nene. Laiti kama mtu angelitoka kutembea nje kwa usiku ule, pengine asingeweza kuona hata kile kilichokuwa hatua moja mbele yake. Ni usiku huo ambao ulileta mabadiliko katika maisha ya Jabali aliyekuwa akiishi katika...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania BM Coach kuanza safari saa 10 alfajiri

    Majuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/latra-waruhusu-mabasi-kuanza-safari-saa-9-usiku.2093165/ Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ceasefire Sudan inaisha leo usiku saa tano,: Inawezekana Waamerika na Wasaudi watafanikiwa kuleta amani Sudan?

    Wamefanikiwa katika hii ceasefire ya siku saba kuleta amani hapa na pale. Wanawaomba Paramilitary Forces na Jeshi waiendeleza ceasefire na waendelee na mazungumzo ya amani. Naona kama vile there is a glimmer of hope. Lakini Waafrika lazima washirikishwe. Rais Rutto aliaema this is an African...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona Sura za wana Yanga SC zimekosa Ushirikiano Jioni hii na Usiku huu kama vile Wamesingiziwa Kesi?

    Hakika Mwarabu ni Mtu mbaya sana.
  6. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum vs usiku vs boxing

    Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia hata Hi hapo ili tuwe pamoja.
  7. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Usiku mwema jamani

    Bhujiku ng'waka
  8. Ironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vibes na mitoko ya Usiku.

    Hi wanajukwaa Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo. Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni wikend wakasema tukae tule bata na kuinjoi mziki.Tumeinjoi hadi mida ya saa 4 usiku,mie nikaona...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wapiga chini drones 36 za Urusi usiku

    Mifumo ya usalama wa anga za Kyiv ziko salama na imara kama siku zote.... Russian forces carried out overnight drone attacks on Kyiv, officials said on Thursday, continuing a monthlong campaign of air strikes against the Ukrainian capital. Military chiefs said Kyiv's air defenses destroyed all...
  10. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  11. R

    JamiiForums Tanzania NEMC Tanga City wadhibiti Wenyeji na vigodoro vya usiku mitaani, ni kero kubwa sana

    Hii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa. Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda. NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine waangusha drones 35 za Iran kwa usiku mmoja

    Jameni Urusi imeachwa bila kete nyingine, juzi karusha hypersonic ikashushwa, drones za Iran hazina umuhimu tena huku tarehe ya rais kuhutubia nchi ikiwadia, pia Bakhmut imeshindikana...... =========================== Ukraine air defenses shot down 35 Iranian-made drones over Kyiv in Russia's...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dharura: Nimeng'atwa na buibui mweusi usiku huu msaada

    Wakuu ninakosa amani usiku huu nimeng'atwa na buibui mweusi eneo la shingoni nasikia maumivu kama yanavuta, nisaidieni wakuu picha ya buibui nimeipiga nifanyaje huduma ya kwanza.
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Sintofahamu yaibuka kuhusu uwanja wa ndege wa Dodoma kutokuwa na taa za kuwezesha ndege kuruka na kutua usiku

    Sintofahamu hiyo pia imeongezeka baada ya jana Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kutoa taarifa kwamba uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Songwe umewekwa taa na huduma za ndege zinatolewa kwa saa 24. Ukosefu wa taa kwenye uwanja huo ulibainika baada ya ndege ya Precision namba PW 602...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Magomeni Kwa Zito Usiku

    MAGOMENI KWA ZITO USIKU Miaka ya 1970 kulikuwa na mgahawa Magomeni Mapipa si mbali na hoteli ya Butiama ukiitwa Michuzi Mikali. Mwenye mgahawa huu jina lake lilikuwa Shomvi na alikuwa shabiki mkubwa sana wa Yanga. Yeye alikuwa anafungua mgahawa wake mchana kwa ajili ya chakula cha mchana...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Machinga apigwa na Mgambo usiku huu hali yake ni mbaya, polisi watanda

    Machinga mmoja ambae hadi sasa hajafahamika jina lake amepigwa vibaya na mgambo wa jiji la Arusha na hali yake inasemekana ni mbaya. Adha hiyo imetokea mida hii ya usiku baada ya kutokea mabishano kati ya Mgambo Na machinga na hivyo Kupelekea machinga huyo kupata kipigo Kikali kutoka kwa mgambo...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mratibu Simba SC Abbas na Msemaji nimeambiwa mnanisoma mno hapa haya nifikishieni Usiku huu Ujumbe wangu kwa Kocha Robertino

    Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza. Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili afungue Busta zote kwa Kuwaingiza Sakho Kulia na Okra kama yuko Fiti upande wa Kushoto ili...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Huyu kiumbe ananitesa sana usiku

    Yani anakuja anatua karibu na dirishani ninakolala anaanza kulia hovyo. Hapo ni usiku wa manane, anakuja karibu mara 3 kwa wiki. Cha ajabu majirani zangu hawasikii akilia. Namna gani naweza mdhibiti? Maana kiasili huyu si kiumbe mwema
Back
Top Bottom